CCM Tayari ilishakubali Kuondoka na Kuachia Madaraka 2015

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Huo ndo ukweli usiyoweza kupingwa na mtu yoyote aliyejaliwa kuwa na ufahamu wa kutosha, kutokana na nguvu kupita kiasi , mauwaji ya morogoro na Mwandishi wa habari D. Mwangosi yanaonyesha wazi kwamba chama hicho hakiwezi tena kupampana tena na CHADEMA kwa hoja za majukwaani badala yake ni vitisho na kumwaga damu ya watanzania wasiokuwa na hatia.

Wakati CCM inakubaliana na hilo kuwa haiwezi tena kuongoza nchi hii, baadhi ya wananchi bado halijatambua hilo
 
Back
Top Bottom