Kashfa ya Ufisadi Jumuiya ya Washington kuvuruga mkutano wa CCM DMV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa ya Ufisadi Jumuiya ya Washington kuvuruga mkutano wa CCM DMV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saranda, Aug 23, 2012.

 1. S

  Saranda Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi imethibitika kuwa Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington DMV imekumbwa na kshfa ya kuchukua pesa za Chadema ili wafanye sherehe wakati huo huo siku hiyo hiyo ili kuvuruga mkutano wa CCM DMV. Tayari wanajumuiya wamechukua hatua za kisheria baada ya jumuiya hiyo kutofungamana kisiasa.

  Hata hivyo, Katibu Cherehani bado hajasema chochote mpaka sasa. Inasadikika kiasi cha $10,000 wamepewa ili wafanyie sherehe hizo.
   
 2. d

  dmvuno Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Duh ama kweli wametusaliti hapa. Itabidi tufanye uchaguzi upya au iundwe tume huru kuchunguza hayo
   

  Attached Files:

 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Fafanua kidogo hapo juu. Hawajachukua fedha za Chadema.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Zamani nilikuwa nadhani Kijana wa Kitanzania akipanda ndege kwenda ng'ambo basi Ujinga, Majungu, roho mbaya na roho za kishirikina huwa anaziacha pale Airport kumbe sivyo.

  Sasa watu wa namna hii kweli wataweza kucompete nini na jumuiya za watu wa West Afrika, majitu yamekalia majungu na roho mbaya tu, na nasikia siku hizi mlivyokuwa hampendani mmeanza mpaka kusafirisha ndugu zenu wachawi ili muwe mnalogana wenyewe kwa wenyewe!! huwezi kuamini kama wachawi wa ndumba na kuruka ungo siku hizi wanapelekwa Marekani na ndugu zao ili kuwangiana

  Poor all of you, Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
  Mmeshindwa maisha rudini nyumbani mje kuendeleza majungu vizuri pumbavu kabisa.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Kuchunguza nini na uliwahi kuchanga dolar ngapi katika hizo pesa za Chadema? umeshindwa maisha rudini nyumbani mnatia aibu sana.
   
 6. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  teh teh teh. Magamba mshaanza kuhaha. Mkutano wa Jumuiya ulishapangwa hata kbla ya huo uzinduzi wenu.
  Nyie mmeamua kuweka same date ili muwadanganye Watanzania kuwa wanaccm mpo wengi. Tunajua kuwa mnataka ku2mia mku5 wa Jumuiya kwa kuu attach na uznduz wenu wa kikundi cha wahuni mafisadi wa CCM. Aibu kwenu.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Calm down my Man hawa watakimbia wote sasa hivi, niachie mimi hawa vibaraka wa Loveness Mamuya.
   
 8. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nakuona umeweka thread na ID nyngne halafu hapohapo uka comment kwa ID nyngne. M4C inaunguza magamba ee?
   
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Et Benjamin na Yasin ndo viongoz wao. Yani ni zero kabisa. Chama kinaongozwa na walevi
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Benjamini na Yasin hakuna wanalolijuwa, lile tawi ni dili la Loveness, Benjamin Mwaipajah amemegewa pande la ukatibu mwenezi kwa sababu tu ni msema hovyo tangu akiwa Bongo na mshipa wa noma umekufa alikuwa ni konda wa daladala, Uwanja wa Ndege Kariakoo enzi za chai Maharage. sasa hapo Domo bwabwaja kama hilo unategemea nini?
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  ID zote mbili za huyu bwegge zimeingia mitini kabla sijaanza kuzishusha nondo hapa.
  There are currently 1 users browsing this thread. (1 members and 0 guests)


   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  [h=3]Tuhuma[/h]
  [​IMG]


  IMMIGRATION "Home land security" na mkutano wa CCM DMV
  KBHabari za kuaminika ni kwamba Immigration (home land security) wameshataarifiwa kuhusu mkutano wa CCM utakao fanyika J'mosi 8/25/2012. 9700 Martin Luther king HWY Suit A1, Lanham MD 20774. Inasemekana wana CCM wenyewe wamechongeana kwa sababu hawalizishi na mambo yanavyo endeshwa na uongozi wao.Mfano, kutumia misiba, futari, hitma kugawa kadi na mvutano wao na JUMUIYA YA WATANZANIA DMV.


  Zaidi, vyanzo vinasema kumekuwa na chuki kubwa kutoka kwa wanachama kwenda kwa uongozi. Kikubwa inasemakana wanapinga mwenedo wa Mwenyekiti wao Loveness Mamuya. Pia inasemekana watanzania wanao ishi out of DMV wame cancel ticket zao na kuhairisha safari ya kuja DC.


  Hili swala la Immigration litatuasili sana sisi ambao hatuna makaratasi, kwa wale ambao wapo powa inabidi wawe waangarifu sana kutokana na kwamba makaratasi ni privilege. Yanaweza kuvuliwa anytime.


  Chanzo hicho cha habari kutoka ndani ya CCM, DMV kimeongeza kuwa, zile habari kwamba mwanamziki mashuhuri Diamond anakuja ni ndoto na hawezi kuja tena. Haileweki sababu ya mwanamziki huyo kuchomoa. Zaidi, Abdulrahimu Kinana hawezi kufika pia.
  Inawezekana kweli Immigration wakaja na likawa balaa, ushauri wangu kama hauna MAKARATASI kaa nyumbani na kama unayo, kuwa muangarifu siku hiyo.
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kwani memberz wengine wanakimbiaga baada ya kusema maneno yao mbovu mbovu?
  Si wasubiri majibu ya maneno yao?

  Hili kwa member wenye tabia hii wajirekebishe chap chap!
   
 14. d

  dmvuno Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tupe ushahidi wa upuuzi wako huu. Fikira fupi huko Bowie hama kama maisha magumu. Virus zimeingilia akili yako.
   
 15. d

  dmvuno Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muhimu ni kutafakari undani wa Kashfa hii, je wahusika ni kina nai, pesa wapewa vipi na wapi, je katiba imekiukwa, uchunguzi ufanywe na wawajibishwe? Maana jumuiya haina chama wala dini.
   
 16. d

  dmvuno Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh hata wewe ama kweli dunia imeisha! kijana mtulive umepotea Nicas Mtei
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. S

  Saranda Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wa DMV ajiuzulu
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tunakujua una ajenda zako. Wewe ni muongo na mchonganishi. Hakuna cha kujiuzulu hapo. MIpango yenu ya CCM/DMV inaanza kusambaratika sasa mnatafuta mchawi. Vipi Diamond anakuja? Vipi Kinana anakuja? Sandaly anafanya kazi nzuri sana na ana sifa na heshima kuliko yule kandidate wenu mliotaka kutulazimishia. Kajipange upya, bibie.
   
 19. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  hapa ni upuuzi mtupu hivi watz na kupenda amani na uvumilivu wetu hivi kweli kulikuwa na haja ya kuanzisha malumbano kweli kwa hili na kuwa kituko? Hivi imeshindikana nini kwa CCM kuahirisha sherehe yao na kuruhusu ya Jumuiya kama kweli tunaenzi utaifa kwanza? Hivi itawezekanaje kuwa na kikao cha jumuia na SIKU hiyo hiyo kuwe na cha CCM then utegemee member hao hao wa jumuia ambao baadhi yao ni CCM kuhudhuria Jumia na sherehe ya CCM?

  Kweli na kubali usemi usemao SISI WATANZANIA NI WAMOJA TATIZO NI CCM
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mnajidhalilisha sana watanzania type yako

  Na ukirudi tanzania (kama unarudi) huwa unaheshimika kwenu?? maana tulidhani kukaa huko kunanufaisha hata matabia yetu yale ya majungu-majungu
   
Loading...