Hamna njia ya kumkato kuufikia ukombozi, tusife moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamna njia ya kumkato kuufikia ukombozi, tusife moyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nazjaz, Sep 4, 2012.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Tanzania,safari ya kudai ukombozi si lelemama.Safari ya kufikia maendeleo ya kweli si kazi rahisi.Historia inatufundisha kuwa ingawa tawala dhalimu nyingi hazikudumu madarakani,lakini haikuwa rahisi kutoka.Iliwagharimu wazalendo kupigania taifa lao na kuwa tayari kwa lolote wakati wowote.Sisi si wa kwanza ingawa inawezekana tusifanane na yeyote.
  Tusimame imara,hasa katika kipindi hiki ambacho
  unatengenezwa mpango wa kuzima vuguvugu la mabadiliko kitu ambacho ni sawa na kusimamisha muda kwa kufumba macho,haiwezekani,kwani ukifumbua macho utakuta jioni tayari imefika.CCM,hawawezi kuzuia mabadiliko,.hawawezi kushindana na jua,hawawezi kusimamisha wakati.Kama iko siku waliingia basi wajue kuna wakati wa lazima wa kutoka.
  Kwetu Si wakati wakurudi nyuma,,.ni wakati wa kukumbuka damu ya wazalendo ilyomwagika,.Arusha,Igunga,Arumeru,Morogoro,Nyamongo na sehemu nyinginezo nchini.Tusimame imara tupinge kuonewa,tuwaambie watawala kama hatukufa leo ipo siku tutakufa,wasitutishe.TANZANIA USIOGOPE.
   
 2. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ipo kama hiyo ya kutoa watu makafara. I wish M4C ihamie Moshi nako mpate msukule 1
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  nawe kajitoe muhanga basi.
   
Loading...