Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa amemshukia vikali Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta kuwa ni mnafiki na asiyefaa kuaminiwa na jamii.
Source: chadematv ya youtube
- Hana Ujasiri
- Haini
- Mnafiki
- mazungumzo kati ya CHADEMA na Sitta baada ya kuondolewa u-Spika
- simu ya Magreth Sitta kwa niaba ya Samuel Sitta
Source: chadematv ya youtube
Last edited by a moderator: