CCM yaenda kinyume na marufuku ya Polisi

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,521
870
JANA polisi walizuia chadema kufanya mikutano Iringa kwa madai wamezuia mikutano ya siasa kupisha zoezi la sensa lakini wakati huohuo CCM Jana imezindua kampeni Zanzibar kama inavyoenekana pichani. Dkt Bilal Azindua Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Jimbo La Bububu-Zanzibar

Makamuwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimnadi Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) wakati alipokuwa akizindua Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji mjini Unguja jana Sept 02, 2012.

Msanii wa muziki wa Taarab, na mkurugenzi wa kundi la Taarab la Jahaz Modern Taarab, Mzee Yusuph, akishambulia jukwaa kwa vibao vyake vya sebene la Taarab, wakati wa sherehe za uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012. source Mjengwa Blog.
 
Hkuna sensa kwa wana CCMabwepande: Kuna sensa vifo wanavyotengeneza kwa ajili ya kafara ya 2015!
 
Kwa mtu mwenye upeo mdogo ni ngumu kuona uhusiano wa mauaji yanayosababishwa na polisi na kifo cha CCM. Ukweli ni kwamba Polisi wanakichimbia kaburi CCM, na inawezekana CCM ikatoweka kabisa hapa TZ kama TANU , kwa sababu idadi ya watanzania wanaokichukia kutokana na mauaji ya polisi inaongezeka kwa kasi kila siku. Nawaasa CDM endeleeni na moto wenu wa M4C mpaka kieleweke....
 
Ni maagizo kutoka juu mimi nakaribia kustaafu msiniaribie - KAmhanda, Chadema kinakaribia kusambaratika - NApe&Wasira.
 
Zanzibar ni dola na ina maamuzi yake haingiliwi na Bara hivi maelezo yote aliyotoa Lissu akinukuu katiba mpya ya Zanzibar wadau hamkuyaelewa??Zanzibar sio sehemu ya Jamhuri ya muungano ni dola kamili ndio maana haitii chochote kinachoagizwa na Jamhuri ya Muungano!
 
Labda huko Bububu wameshahesabiwa wote!

Ha ha ha ha ha! Mkuu ilitangazwa Bungeni kwamba asilimia 100% Zanzibar ni moslems na waislamu walitangaza hawatashiriki sensa na VP ni moslem sasa la ajabu hapo nini? Hii nchi bwana, vichekesho kwa kwenda mbele. CCM kweli wameishiwa busara kabisa!
 
Zanzibar ni dola na ina maamuzi yake haingiliwi na Bara hivi maelezo yote aliyotoa Lissu akinukuu katiba mpya ya Zanzibar wadau hamkuyaelewa??Zanzibar sio sehemu ya Jamhuri ya muungano ni dola kamili ndio maana haitii chochote kinachoagizwa na Jamhuri ya Muungano!
hili nalo neno
 
Temeke kule walikuwa wanayukana UVCCm sasa hizo si kazi za kisiasa,kagera Sitta anaendelea,Kimbisa alikuwa morogoro,Shinyanga,Tanga mambo yalikuwa kwa kwenda mbele halafu CCM na serikali yake kwa kutumia jeshi la polisi wanandhani sisi wananchi ni mapunguani ukweli wanazuia kazi za chadema
 
Hakika mpaka tugote hapa 2015 hakika hawa mafisadi watakuwa wametuonyesha manjonjo ya kila namna na itawapa wakati mgumu wamini na wasiamini
 
Ni maagizo kutoka juu mimi nakaribia kustaafu msiniaribie - KAmhanda, Chadema kinakaribia kusambaratika - NApe&Wasira.
Niemöller is perhaps best remembered for the quotation:
First they came for the Socialists, and I did not speak out--
Because I was not a Socialist.

Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out--
Because I was not a Trade Unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out--
Because I was not a Jew.
Then they came for me--and there was no one left to speak for me. .............
 
Kwa mtu mwenye upeo mdogo ni ngumu kuona uhusiano wa mauaji yanayosababishwa na polisi na kifo cha CCM. Ukweli ni kwamba Polisi wanakichimbia kaburi CCM, na inawezekana CCM ikatoweka kabisa hapa TZ kama TANU , kwa sababu idadi ya watanzania wanaokichukia kutokana na mauaji ya polisi inaongezeka kwa kasi kila siku. Nawaasa CDM endeleeni na moto wenu wa M4C mpaka kieleweke....

Well said mkuu! I concur with everything you have said.
 
Zanzibar ni dola na ina maamuzi yake haingiliwi na Bara hivi maelezo yote aliyotoa Lissu akinukuu katiba mpya ya Zanzibar wadau hamkuyaelewa??Zanzibar sio sehemu ya Jamhuri ya muungano ni dola kamili ndio maana haitii chochote kinachoagizwa na Jamhuri ya Muungano!

Hilo nalo neno mkuu.Ila kuna fiesta nayo ilifanyika jana Mwanza na bado inaendelea kana mikutano ya kampeni nayo inavyoendeea kule Zenji,sijui Mwanza nayo ishapewa dola kamili?.Mi nadhani polisi wanapaswa kujitazama mara mbimbili na kutambua wajibu wao kwa raia.Wakumbuke kuwa kabla hawajapata hiko kibarua walikuwa ni moja ya hiyo jamii wanayoiarasi sasa na isitoshe hakuna kazi wanazowezakufanya pasipo kuwa na ushirikiano wa hao wananchi wanaowaona 5th class.Viongozi wa kisiasa ktk nchi hii hawafikii 5% ya watanzania wote na huo uongozi wala haukai milele miongoni mwao.Yule anayekutuma kuua leo usishangae baada ya miaka 5 mbele utamkuta na bahasha zake anaombaomba.ebu zishughulisheni akili zenu.Kule Tandahimba wenzenu wanaishi kwenye mahema ktk makambi baada ya wananchi kutoa ilani kuwa raia yeyote akipangisha askari polisi atachomewa nyumba yake na ata mahitaji yao wanachukuliwa kwa pamoja kama wakimbizi kwani raia nao wametoa ilani kuwa mmiliki wa duka yeyote atakayebainika anamuuzia askari polisi bidhaa atachomewa duka moto.haya sasa hao watoto wenu watacheza na nani na watasoma wapi?.
 
Ha ha ha ha ha! Mkuu ilitangazwa Bungeni kwamba asilimia 100% Zanzibar ni moslems na waislamu walitangaza hawatashiriki sensa na VP ni moslem sasa la ajabu hapo nini? Hii nchi bwana, vichekesho kwa kwenda mbele. CCM kweli wameishiwa busara kabisa!

Ili kuiondoa hii nchi madarakani inabidi tuijengee hoja katika majukwaa ya kimataifa kwa kutumia ushahidi kama huu...iweje ndani ya nchi moja chama tawala kinafanya mkutano chini ya ulinzi wa polisi halafu upande mwingine chama pinzani kinafungua tawi raia Mtanzania anauawa na polisi
 
Niemöller is perhaps best remembered for the quotation:
First they came for the Socialists, and I did not speak out--
Because I was not a Socialist.

Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out--
Because I was not a Trade Unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out--
Because I was not a Jew.
Then they came for me--and there was no one left to speak for me. .............

Alikuwa ndio nani huyu Niemölle
 
Huu ni upuuzi kabisa!hawa policcm washa tuona sisi wajinga
kwani hii nnchi si ya wote!kweli
JJM alipo sema baba mwana asha dhaifu hakukosea!yaan baba mwenye nyumba yeye kazi kuzika
masela wake ila hapa ndani misiba ya raia wake haimhusu maana ame kaa kimnya uta zani hili jambo liko mahakamani!
Labda angekufa msanii...
 
Dhaifu endelea kuuwa kwa sababu liwalo na liwe ameshasema!
 
Back
Top Bottom