Nape aeleza mikakati ya CCM kukabiliana na mfumuko wa bei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape aeleza mikakati ya CCM kukabiliana na mfumuko wa bei

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlyafinono, Jun 18, 2012.

 1. M

  Mlyafinono Senior Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha mapinduzi CCM kimetoa ufafanuzi kuhusu hatua ambazo serikali ya chama hicho inachukua kukabiliana na mfumuko wa bei ya vyakula na mfuta.
  Katibu wa itikadi na uenezi Nape nnauye akihutubia mkutano wa hadhara mjini Iringa amesema mikakati hiyo ni pamoja na kufufua kinu cha usagishaji kilichopo katika manispaa ya Iringa lengo likiwa kuongeza upatikanaji wa unga ambao utauzwa kwa bei nafuu ili kuwawezesha wananchi kumudu gharama za maisha.
  Hatua nyingine ambazo serikali ya chama hicho inachukua kukabiliana na mfumuko wa bei ni pamoja na kudhibiti soko la fedha za kigeni kwa kuwataka wafanyabiashara kuuza bidhaa zao kwa shilingi ya Tanzania badala ya dola ya kimarekani.
  Nape amezungumzia pia tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta na kutahadharisha kuwa mwezi ujao ( saba) huenda bei ya mafuta ikapanda zaidi kutokana na mgogoro uliopo kati ya nchi ya Iran na mataifa ya magahribi kuhusu mpango wake wa nyukilia.
  Hata hivyo amesema serikali inaendelea kuchukua hatua zaidi za kuhakikisha bei za mafuta hazipandi kiholela ili kuzuia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na mfumuko wa bei.
  DSCF3571.JPG
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Wamchague Mbunge wa viti maalum sorry no kuchanguliwa kwa huruma za raisi ili akanene huko bungeni kama mwakilishi wa CCM bungeni sio vijiweni.
   
 3. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape kasomea nini jamani mbona hana mawazo mbadala anaahidi kana kwamaba anafungu mahali? wakimtuma vitu kusema hachekechi? mbona anaondea ***** sana? yaani hata mtu akinipa million kiseme ***** huu kwenye mikutano ya hadhara siendi naapia kwa imani yangu! wametawala miaka hamsini wakauwa kinu hicho leo wanataka kukifufua...eti kusaga unga hivi jamani tatizo ni kusaga au ni upatikanaji na dhamani ya fedha? hivi ni kweli mafuta yanatoka Irani tu?serikali inatoa misamaha kwenye migodi ili tupate nini? mbona uchumi na maisha ya irani hauna matatizo na hawajatangaza kuadhiri soko la nje kwa Africa kama kama mropokaji WA GAMBA anavyosema?
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nape nape nape,aisembona unahangaika hivi??maji yameshamwagika,mlikuwa na nafasi hiyo kubwa tu lakini hamkuona mkajidai mnajua kuiba.
   
 5. I

  Iramba Junior Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Inategemea ni nani walikuwa wanamsikiliza, na inategemea ni wapi amepata hiyo elimu ya uchumi na kwenda kuwaambia laymen kitu ambacho serikali imekishindwa kwa miaka 7, inaanza kujaribu kufanya leo.
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ama kweli mambo magumu, unapeleka habari za nyuklia Iringa!! With respect, jamani wananchi wa kawaida hawaelewi migogoro ya mashariki ya kati, wanachotaka ni kuona maisha yakiboreka, I repeat kuona maisha yakiboreka.

  Haya mambo ya Middle East tuleteeni sisi huku town, ili tuwabane vizuri. Bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa imejaa kodi za ajabu ajabu, TRA, TPA, barabara, EWURA.., just to mention a few. Na kwa sababu ni rahisi kuipata, kila mtu anaitaka hiyo hiyo, waende kwenye madini na makampuni ya simu kuchukua kodi ili wapunguze kwenye mafuta.
   
 8. v

  vngenge JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mbona kila siku tunaendelea kuchukua hatua mambo yanazidi kuharibika. Mbona hana kipya?
   
 9. ndinga

  ndinga Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgogoro wa Iran uningiaje hapo? Si mnadai mafuta yapo mikoa ya kusini na Znz kweli Nape unapoteza mvuto na unabomoa chama chenu.
   
 10. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ningekuwa mimi ndio naambia maneno hayo hapo hapo na react na kumuuliza kwa nini mlikiua hicho kinu?na kila siku ni kutolea matamko na hakuna utekelezaji?
   
 11. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hahaha...mhehe na migogoro ya iran...mfa maji.?
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  sasa hii mikakati ipo kwenye bajeti?
   
 13. D

  Deofm JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :sad:Nape ana akili sana, anajua kupima aina ya watu anaoongea nao.
   
 14. R

  RMA JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape ni mtaalamu wa Uchumi? Tanzania ni nchi ya kuhurumia!!! Fani nyingine zote hazina maana kwa kuwa zimemezwa na wanasiasa uchwara!! Wahandisi na wanauchumi hawana kazi tena Tanzania kwa kuwa wanasiasa ndio wana majibu ya kila kitu. Bado tuna safari ndefu!!!
   
 15. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Watu wenyewe wachacheeeeee anawatangazia kwa mic nne mkononi tena anavyopaza sauti hadi msuli ya shingo imetuna. Kweli CDM inawakimbiza kasi duh!
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mlyafinono nimetazama post zako zote ulizoanzisha....Machozi yamenitoka.Naomba Mungu hisia zangu zisiwe za kweli.... Dah! Polisi hawa!!!! Mungu awabariki
   
 17. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaaaaaaaaa napita tu..........
   
Loading...