ITV na Wahariri kanjanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV na Wahariri kanjanja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlyafinono, Jul 18, 2012.

 1. M

  Mlyafinono Senior Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia taarifa ya habari ya itv, eti lead stori ni kuahirisha kikao cha bunge kutokana na ajali ya meli,hivi kuzama kwa meli yenye abiria zaidi ya 200 na kuahirisha bunge ipi stori kubwa.Hovyooooooooooooooo!!!!!!!!!!
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Narudia tena kwa mara 10 jf tuchanginishe tuanzishe kituo chetu "JF TV"
   
 3. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Inategemea unaitizama namba tatu toka upande gani, wewe na muhariri wote mna mawazo sawa kuwa kuzama kwa meli ndio habari kubwa sana, lakini muhariri ameona ili kuonesha uzito wa hiyo ajali ni kuunganisha na kuahirishwa kikao cha bunge maana bunge la bajet ni nadra kuahirishwa! so usimlaumu muhariri wa habari ITV kwa mtazamo wangu bado yuko sahihi!
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi kama habari ya zanzibar ilikuwa haijakamilika ulitegemea nini!
   
 5. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  usibishe wamechemsha
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tanzania hatuna vyombo vya habari, tuna waganganjaa wanaotegemea serikali iwahonge pesa ili wapate cha kutangaza.

  nshawahi kumsikiliza Deo Rweiyunga kwenye kipindi cha malumbano ya hoja sikuona kitu anachojuwa; sana sana nilikuwa naona walaza tu unang'aa kama barabara ya vumbi.
   
 7. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusiwalaumu bure......Na hata pamoja na hili ITV is far better than TBC at least for me
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Tokea saa saba ?
   
 9. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Msiingizwe mjini, hiyo ni chakachua.
  Spika alikataa kata kata kuahirisha kikao cha Bunge.
  Baadaye sana ndio alijiona kachemka, na kuamua kukubali kuahirisha baada ya wabunge wa upinzani wote kutoka.
  Na ndio habari mliyoona ikiwa nusu
   
 10. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,636
  Likes Received: 1,998
  Trophy Points: 280
  Tutawapata wapi wahariri na 'maripota' wasiopenda kujikweza kwa serikari ili wapewe 'vitu maalum' na ukuu wa wilaya/mkoa? Hongera jf!
   
 11. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpaka CDM waingie mjengoni magogoni!
   
 12. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda sana hii. Habari inaweza kuanza vyovyote tu cha muhimu ni ile content yake.
   
 13. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  At least wako juu ya TBC the way i see it..jana walikata kipande cha hamad rashid kuahirisha bunge wakaonyesha cha nchimbi as if makosa hayakufanyika hapo awali...
   
 14. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Habari ingekuwa kuwa SPIKA alazimika kuahirisha kikao cha bunge baada ya wabunge wa Upinzani kutoka ndani ya mbunge na kujikuta quoram haitimii.
   
 15. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hata wewe ungekuwa muandishi/mhariri habari,Si watu wote wangefurahishwa na utendaji kazi wako!Pia kumbuka Saed Kubenea alitendewa nini na wewe ulimpa sh.ngapi kwa ajili ya matibu?Usipende waandishi waitumie akili yako kuropoka,halafu wakipelekwa mabwepande wewe unawaangalia tu bila msaada!Ushauri google kupata Ethics za journalism!
   
 16. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sasa hapo cdm kuingia mjengoni inaingiaje tunajadili kuhusu ukanjanja wa wahariri na siyo siasa
   
 17. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ktk hilo ITV wako sahihi zaidi kimtazamo kuliko wewe kwa kuunganisha tukio hilo na kuahirishwa kwa Bunge.
   
 18. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  mengi ni mwanachama hai wa ccm..asipoipendelea atahesabiwa kodi zote alizokwepa
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  bado ni njia ndefu sana kwa CCM achilia mbali kwa wanawake wa kibongo na uongozi
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mlyafinono nimetazama post zako zote ulizoanzisha....Machozi yamenitoka. Dah! Polisi hawa!!!! Mungu awabariki
   
Loading...