Mbinu ya Chadema Kumjenga Lowassa na Kummaliza Sitta yabainika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu ya Chadema Kumjenga Lowassa na Kummaliza Sitta yabainika!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Sep 1, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha Dr Slaa kummaliza kabisa Sitta kisiasa ni mbinu ya kisiasa ambayo Chadema wanategemea itawalipa baadae. Kwa mtazamo wa think Tank za chadema, kama ni urais 2015, ni afadhali kuwa na Lowassa kama mgombea wa CCM kuliko Samwel Sitta au mtu wa kambi yake. Kwa nini?
  (i) Kwanza Samwel Sitta ana mambo ya kuelezea umma kuwa anaenda kuleta changes wakati Lowassa hawezi kuwaamisha watu kuwa anaenda kufanya mabadiliko
  (ii) Pili, Lowassa na kambi yake wana kashfa nzito ambazo ni ngumu kuzifuta vichwani kwa watu kuliko Sitta ambaye hana kashfa. Kwamba alitaka kwenda upinzani utakuwa utetezi wake kuwa alipanga kwenda kuleta changes
  (iii) Lowassa ana nguvu ndani ya CCM ila hauziki nje wakati Sitta anauzika nje na kambi yake ina watu wanaokubalika nje
  (iv) Lowassa ni mtu wa kaskazini hivyo akigombea ile hoja ya ukaskazini haitakuwa na nguvu kwani wagombea wote ni wa kaskazini
  (v) Kwa vile kuna watu hasa akina Sitta waliomtendea vibaya Lowassaa, kuna uwezekano Lowassa akiteuliwa hawa waloiokuwa maadui zake watahamia upinzani na hivyo kuigawa CCM au wataihujumu CCM ili Lowassa asishinde maana atalipiza kisasi

  Ni kwa sababu hizo think tank za chadema zinaona ni afadhali kuwabomoa wafuasi wa Lowassa na ikiwezekana kumsaidia Lowassa awe mgombea ili kuishinda CCM kirahisi. Source, nimetonywa na mtu wa ndani ya system ya Chadema
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  PHP:
  PiliLowassa na kambi yake wana kashfa nzito ambazo ni ngumu kuzifuta vichwani kwa watu kuliko Sitta ambaye hana kashfa.
  Too low for a great thinker!
  Uliza uambiwe kama hujui!
   
 3. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Naona kama ni uzushi,Chadema wana hoja nyingi za kuwaambia watz wakaelewa na kuwapa ridhaa 2015.sidhani kama wana mpango wa kuwaongelea watu.meanwhile aliyeanzisha huyo mnyukano sio CDM ni 6
   
 4. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani nani alianza kumsema mwenzake?
   
 5. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Haina mantiki kwani uwezo wa Dr Slaa na Sita Dr anauzika kirahisi kabisa kwa wananchi kuliko hata huyo Sita unayesema kwani naye ni fisadi kama hao wakina Lowassa wananchi sisi gamba letu ni CCM yote na mfumo wake hivyo tunataka kujivua gamba la CCM bila kuangalia nani anagombea kupitia Magamba kwani ndio Lucefar wetu kwenye maendeleo ya nchi yetu huu mzimu unaoitwa CCM hatuutaki mkuu.
   
 6. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM wanafikiria mambo makubwa zaidi ya hayo uliyotaja. Kimsingi siasa ni game na ili kushinda lazima kujipanga. Kilicho muhimu ni kwamba CCM haina mtu msafi hata Sitta si msafi maana Richmond ilimshinda kuimalizia!
   
 7. i

  ibange JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unaweza usione mantiki kwa urahisi ila kukubalika kwa wananchi peke yake hakutoshi kukufanya ushinde uchaguzi lazima kutumia mbinu pia nyingine za nje ya uwanja. Unadhani kwa mfano CCM wakimsimamisha Magufuli na Lowassa kura zitalingana? Ni sahisi kum discredit Lowassa kwa public kuliko Magufuli, ni rahisi pia kum discredit Lowassa kuliko Sitta
   
 8. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi sidhani kama wewe unamawazo makini ya kupost hapa mezani maana unadhani chadema ni eti wanawasindikiza mafisadi kutimiza tamaa zao za uroho wa madaraka na silika za wizi uliokithiri na usiokua na dawa kama kina sita lowasa na ccm yao iliyooza kama mavi ya shetani!Chadema wanafanya siasa ili waigeuze nchi hii kuwa ya maziwa na asali na kuigeuza machinjio ya mafisadi maana sidhani kama kiongozi makini anaweza kuwaacha akina Dhaifu, riziwani,Chenge ,lowasa maige na majizi mengine yanayolindana kwa mgongo wa ikulu yakabaki salama tena hapahapa na kuendelea kututungia sheria....!!!Hii ni ajabu ya chama kilichoshiba laana za wazazi na ardhi ya waungwana
   
 9. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kungekuwa na kipimo cha uwezo wa akiri ktk kujiunga na jamii forums ingesaidia sana
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  siasa za 'kumbomoa huyu' na kulipua yule'.
  while ardhi inauzwa,madini ,mafuta na gesi vyote on sale
   
 11. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ibange hapo umefikiria mwisho wa pua yako.. maana kama ni mbinu wangeanzisha wao mapambano na Sitta na kumsifia Lowassa lakini mapambano kaanzisha Sitta..
   
 12. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ibange, bange, bangi...mh.lording......
   
 13. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mimi sidhani kuwa majibu ya dr slaa kwa sitta ni mkakati wa chadema kummaliza mzee wa 'speed & standards.' sitta kafanya kosa la kiufundi kui~attack chadema huku akijua fika kuwa wana 'bomu' lake. naamini kuwa sitta angeweza kuwa mshirika mzuri wa akina dr slaa kwa sababu wote wanaongea lugha moja ~ ya kupambana na ufisadi na nia ya kuiletea nchi maendeleo. sitta asijidanganye kwamba anakubalika ndani ya ccm kiasi cha kupewa nafasi ya kugombea urais. hata washirika wake hawana nguvu ya kupambana na cdm
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hata ukifuatilia Gazeti la Tanzania Daima utagumndua linamshabikia lowassa na mhariri wake kaamua kutengeneza kitabu cha kuanika uoza wa Sitta ili tu Lowassa apendekezwe kugombea Urais kwa CCM ili wao hata wakisimamisha jiwe lipite kwani kwa wananchi hasa wapiga kura Lowassa hakubaliki
  Fuatilia thread nyingi za humu ndani JF huyo mhariri utaamini kuwa kuna lengo la kumchafua SITTA kama sio kutumwa kuchafuana na kusafishiana njia ni nini? KITABU CHA SITTA Kwa mbinu hizo ni za kizamanikwani Mgombea URAIS huchaguliwa na Wanachama wa Mikutano Mikuu na sio Waandishi au wachanguiaji wa mitandao
   
 15. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  SITA ni mnafiki
   
 16. k

  kamoja Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndg ibange nadhani na wewe ni gamba lenye makundi kwanini msikubali engine ya chama cha mapinduzi haifai hata kuovehall ni ya kubadilisha nyingine nayo ni chadema mkatae mkubali ccm hakuna jipya zimebaki fitina
   
 17. M

  MTK JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  "Ni kwa sababu hizo think tank za chadema zinaona ni afadhali kuwabomoa wafuasi wa Lowassa na ikiwezekana kumsaidia Lowassa awe mgombea ili kuishinda CCM kirahisi. Source, nimetonywa na mtu wa ndani ya system ya Chadema"[/QUOTE]

  Hatuna haja ya kupingana na njozi zako; maana ni njozi tu hizi!!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Aina mpya ya kufikiri hii kwa mkereketwa wa ccm. . . What a waste.

  Viongozi wa serikali wanaotakiwa kuwa busy kutatua kero za wananchi, wao wapo busy na urais - Sita huyo, mwingine yupo bisy playing oposition politics - Lowassa huyo.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lowassa doesnt need Sitta wala Slaa he is strong enough!
   
 20. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mleta mada anaitwa i-bange
   
Loading...