Yanayojiri Tanzania ni matokeo ya kutothaminiwa kwa ofisi ya raisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayojiri Tanzania ni matokeo ya kutothaminiwa kwa ofisi ya raisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Synthesizer, Sep 4, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,331
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  • Polisi kuua raia ovyo
  • Mawaziri kusema na kufanya wanachotaka, mara nyingine wakipingana
  • Ufisadi wa kutisha unaofanywa bila woga
  • Usalama wa taifa kutuhumiwa kila wakati kutia ndani utekaji wa raia
  • Kutokuwa na imani na uongozi wa bunge
  • Migomo na na dalili za migomo ya wafanyakazi kila wakati
  • Kujitokeza kwa migogoro ya mipaka na nchi jirani
  • Ugomeaji wa sensa ya taifa
  • Kutothaminiwa kwa ofisi zetu za ubalozi
  • Migongano ya kiuongozi ndani ya chama tawala kufikia kutishiana kwa bastola
  • Kukosa imani juu ya utaratibu wa uteuzi wa majaji nchini
  • Wawekezaji toka nje kuonekana wana sauti dhidi ya raia nchini
  • nk, nk

  Hizi ni baadhi ya ishara dhahiri zinazoonyesha kwamba ofisi ya raisi nchini haithaminiwi, na kuwepo kwa "vacuum" (utupu) katika uongozi wa nchi, kiasi kwamba watu wanafikia ahali kuona kwamba hakuna uwajibikaji na kila mtu kujiona yeye ndiye yeye. Ni hatari sana kwa amani ya nchi yeyote ile.
   
 2. s

  siyabonga Senior Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wajifunze kuwapenda raia wao na kuwatumikia.

  Kinachoendelea sasa si ubinadamu, ni unyama.

  Ni mnyama tu, tena si wote, anayeweza kumtafuna mtoto wake. Hata kuku hukumbatia vifaranga vyake!

  Kwa chuki hii, kuwaua raia kila kukicha, wakigeuziwa wao kibao, wasikimbie na kulalamika.
   
 3. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,331
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  Nakubali Mkuu. Kama tungekuwa na utaratibu wa kikatiba wa kumtoa raisi, ningeshauri CCM wafanye hivyo. Lakini kwa sasa, JK akikubali yaishe ajiuzulu, ni kwmba Dr. Bilali ndiye anakuwa raisi. Kama watu wameshindwa kuheshimu ofisi ya raisi iliyo chini ya JK, naona hali itakuwa mbaya hata zaidi ofisi ya raisi chini ya Dr. Bilali.
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Ha ha haaaaa nimecheka mpaka nimekohoa, na mauaji wanayo fanya CDM ni kutokana na nn ? Fedha zao wanazo pata nje ya nchi ili wakishika madaraka hao mabwana wa nje waje na kuwalipa fadhila ama nn? na hili jibu sasa
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Napata wasi wasi na unacho jadili, utii wa sheria ni wa kila mmoja, ww unaelezea upande mmoja tu, je ule upande wa wale wanao acha kutii sheria mbona husemi lolote?. Km GT nilitegemea uwe pande zote za shilingi na ndipo utakapo kuwa GT mahiri wa JF
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  CCM haikuchagua kiongozi bora 2005 walituletea Mtu anayeitwa Kikwete ambaye huwezi kumtofautisha na jini, au pepo la uroho wa madaraka na uuaji wizi sijui nimpe jina gani lakini yeye ndio amefanya taasisi ya uraisi iwe cheap kwa sababu ya kuhongwa suti
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Hakuna Rais bora aliyewahi kutokea Tanzania zaidi ya JK, km wabisha nenda kajinyonge km una hasira na maneno haya
   
 8. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,331
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  Ni wazi kwamba kwa sasa hata kipofu hawezwi kudanganywa kwamba kinachotukia hapa ni polisi kukabiliana na ukosefu wa sheria. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya yanayofanywa nchini ni utumiaji wa chama cha tawala usio wa haki wa vyombo vya usalama. Siku ya tarehe 2/9/2012 CDM walifanya mkutano Nyororo, na CCM Bububu. Kwa nini Bububu hatukusikia virungu?

  Nilishasema wazi, nakubali kwamba, zaidi ya maelekezo ya serikali ya CCM, ukandamizaji kwa Chadema wa ma-RPC na hata IGP Mwema unatokana na kujua wanajua wazi kwamba CCM ikiondoka watapoteza kazi zao. Hivyo ni kama wameamua kulipiza kisasi chao mapema. Niambie nani katika Chadema atamtaka IGP Mwema, au Shilogela sijui wa Morogoro, au huyu RPC wa Iringa? Huyu wa Iringa aliua Songea, na sasa kaua Iringa. Sijui sasa watamhamishia wapi.

  Nakumbuka sababu mojawapo ya kusulubiwa sana JKJ na wale green kwanja ilikuwa kwamba hata ukija kuwa raisi nitakumbuka kwamba kuna wakati nilikusulubu.
   
 9. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hata samaki wana matabaka, Vitoga, kamongo, perege, papa, tasi, mchena, changu, vibua na wapo wenye sura za kutisha kama pweza n.k. Katika kundi la wanadamu wenye kasoro zaidi kiakili, wewe ni genius brain.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,539
  Likes Received: 81,973
  Trophy Points: 280
  Yanayojiri Tanzania kwa kifupi yanasababishwa kwa asilimia 100 kutokana na kuwepo na ombwe kubwa la uongozi. Uongozi uliokuwepo madarakani umeshindwa kabisa kuiendesha nchi na hivyo haustahili kuendelea kuwepo hadi 2015.
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Huo ni mtazamo wako ila ukweli ndio huo, hapa JF ambao GT ni wachache sana nasikitika kusema ww kwenye GT haumo ila mie nimo, sasa hapo huoni samaki gani ni bora kati ya mie na ww?
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilitegemea useme wameshindwaje ? ili hali wananchi bado wana imani nao na wanashirikiana nao ispokuwa wale wachache ambao wameziba pamba masikioni na hawataki kutii sheria na kusababisha mauaji
   
 13. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sasa kama mtazamo wangu sio ukweli, iweje mtazamo wako uwe ndio ukweli? Lakini hata shetani hujiona ndie mkweli, na siku zoke hudhani anaonewa tu.
   
 14. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kushindwa hutokana na matokeo. Sasa kama wewe huyaoni matokeo ya kushindwa endelea kulala, kwani wahenga walisema, alalaye usimuamshe, na ukila na kipofu ushimshike mkono. Na vipofu wawili wakiongozana, hutumbukia shimoni.
   
 15. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60

  hakuna cha kujinyonga hapa. labda mniue kwa kunisambaratisha utumbo wangu kwa hiyo NORINCO Model NARG 38 yenu ya kichina kama mlivyomfanyia D.Mwangosi. nitayaendeleza mapambano mpaka huyu fisadi/uaji/jambazi/muongo wa kutupwa kiwete na li ccm lenu bovu muachie madaraka. kafie mbali ZUZU wa kutupwa wewe.  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliong'oe madarakani nili li serikali la ccm MAONGO/MAJAMBAZI/MAFISADI/WAUAJI.

   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,539
  Likes Received: 81,973
  Trophy Points: 280
  Eti genius brain!!!! Hebu niondolee akili zako za kimagambamagamba!!!! Ungekuwa ni genius brain kamwe usingeandika ***** kama huu.....eti wananchi bado wana imani na Serikali DHALIMU ya Kikwete!!!!

   
 17. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Mnazungumzia nini? hii Nchi haina Raisi, Nchi inajiongoza yenyewe kwa Kufuata Upepo tu kama Bendera
   
 18. s

  sad JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi haina kiongozi , hata wewe unafaidika na mfumo wa c.c.m ndio maana unatetea. Hata wasaidizi wa kikwete wanalala usingizi kwani wanajua kwamba anapita tu, kazi kwenu kumpata rais mwingine mwaka 2015 kwani kwani kisu cha mpasuko wa udini, ukanda, urafiki na mitandao itawamaliza kabla c4m kuwamaliza. Kisu mulichonoa kitawachinja wenyewe
   
Loading...