Kauli ya Dr Nchimbi ni sahihi? Ni kweli polisi hawatakiwi kuingilia mikutano ya kampeni za uchaguzi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hiyo ni kutokana na Waziri wa Ndani, Dr Nchimbi leo alipoulizwa swali kwa nini siku ile ile ya kifo cha Mwangosi, CCM walifanya mkutano wa kisiasa kule Bububu Zanzibar, alijibu kawaulizeni Tume ya Uchaguzi ndiyo waliruhusu.

Kama sababu ni kuwepo kwa sensa inayoendelea, kwani Zanzibar hakuna sensa? Hii nchi vipi jamani?
 
563232_412978132083302_2133434465_n.jpg ..................?????????
 
Hivi Nchimbi Kitaaluma ni nani au ni sawa na John Komba? maana hana majibu makini kama mtu mwenye upeo wa juu kielimu
 
Hiyo ni kutokana na Waziri wa Ndani, Dr Nchimbi leo alipoulizwa swali kwa nini siku ile ile ya kifo cha Mwangosi, CCM walifanya mkutano wa kisiasa kule Bububu Zanzibar, alijibu kawaulizeni Tume ya Uchaguzi ndiyo waliruhusu.

Kama sababu ni kuwepo kwa sensa inayoendelea, kwani Zanzibar hakuna sensa? Hii nchi vipi jamani?

Nchimbi na shaka na hiyo phd yake kama ni ya kweli ;uwezo wake wakujibu hoja na kujenga hoja inaonyesha kama katoka kwenye malaria ya kichwa.Ninani anayelinda mikutano ya uchaguzi?je hata kama tume ya uchaguzi waliruhusu, je waanda mikutano ni lazima waombe/kujulisha kibali cha kufanya mkutano polisi.je walipofanya hivyo , je mkuu wa kituo bububu ,a na RPC wake je walikuwa hawajui kuwa shughuli ya sensa inaendelea?na je hilo tamko la polisi ni double standard kwa polis bar na polisi unguja hasa kwa chama cha chadema?haiji kichwani kuona dr.slaaa kam chanzo , bali maagizo ya srikali kwa polisi , nani alitoa kibari nguvu kubwa itumike kiasi hicho huku anamlaumu dr.slaa.?nchimbi namkubali kwa pumba , tunashukuru rais kutuonyesha uchaguzi wa mawaziri wake ndo chanzo cha matatizo ya watanzania.
 
Hao ndiyo wanakaa kwenye CABINET wanatoa maamuz ya mustakabali wa nchi hii. Kweli tutazidi kurudi ynuma mpaka 2015 tutakuwa tumeshafika stone age.
 
Picha ninayopata ni kwamba Jeshi la Polisi linaukerektwa mkubwa kutaka Wabara kuhesabiwa sensa luliko lilivyo kwa Wazanzibar. Sababu ya hii anaijua Nchimbi.

Come again Dr, yaani hilo ndilo jibu kweli?
 
Huu ni ukandamizaji mkubwa sana wa demokrasia...yani waziri anatoa majibu mepesi namna hii sasa alirudi kutoka SA ili afanye nn?
 
Nchimbi na shaka na hiyo phd yake kama ni ya kweli ;uwezo wake wakujibu hoja na kujenga hoja inaonyesha kama katoka kwenye malaria ya kichwa.Ninani anayelinda mikutano ya uchaguzi?je hata kama tume ya uchaguzi waliruhusu, je waanda mikutano ni lazima waombe/kujulisha kibali cha kufanya mkutano polisi.je walipofanya hivyo , je mkuu wa kituo bububu ,a na RPC wake je walikuwa hawajui kuwa shughuli ya sensa inaendelea?na je hilo tamko la polisi ni double standard kwa polis bar na polisi unguja hasa kwa chama cha chadema?haiji kichwani kuona dr.slaaa kam chanzo , bali maagizo ya srikali kwa polisi , nani alitoa kibari nguvu kubwa itumike kiasi hicho huku anamlaumu dr.slaa.?nchimbi namkubali kwa pumba , tunashukuru rais kutuonyesha uchaguzi wa mawaziri wake ndo chanzo cha matatizo ya watanzania.

At least najua kwamba Nchimbi ana doctorate degree fake. Lakini kumbukumbu za shule yake huko nyuma zikoje? Je Nchimbi huyu ana uhusiano wowote na aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa kipindi fulani cha Nyerere/Mwinyi? Inawezekana na yeye ni matokeo ya usultani tunaojaribu kuutengeneza Tanzania?

Tiba
 
Tume ya uchaguzi ina maamuzi yao na polisi magamba wana maamuzi yao!!!!! Ushahidi mwingine wa ombwe la uongozi nchini.
 
Dr.Nchimbi ni miongoni mwa waliotajwa kuchakachua elimu. Alikuwa anatumia title ya Dr. kabla hata hajaanza masomo yake ya PhD pale Chamwino (Mzumbe). Hii kisheria inaitwa Slander kwa kujivalisha Cheo/title kabla haujaipata rasmi kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa. Lakini kwa kuwa Makada wake wa CCM pale Mzumbe walimbeba na akabebeka, leo hii ni PhD holder.
 
Je, Fiesta haina athari kwenye mambo ya sensa!!

Sijui kama aliulizwa hili na waandishi wetu....
 
Hao ndiyo wanakaa kwenye CABINET wanatoa maamuz ya mustakabali wa nchi hii. Kweli tutazidi kurudi ynuma mpaka 2015 tutakuwa tumeshafika stone age.

Mkuu, kuna kona moja nimetupia the same idea kabisa. Yaani kama safu ya uongozi wa serikali ya hawa ccm wezi/wauaji/majambazi, imejaa vichwa vibovu vya dizaini ya nchimbi, hakyanani Tanzania itatuchukua muda sana kutoka hapa tulipo, yaani tutegemee another 100 yrs, ndo tuwapate hata wakenya tu kiuchumi. Huyu Nchimbi ni kilaza wa ukweli kwenye mambo ya kijamii, hawa wengine walitakiwa wapewe uenyeviti wa vijiji tu sio majukumu mazito kama haya. Yanawazidi uwezo wanaishia kujidhalilisha tu kwa ajili ya kuendekeza tamaa za madaraka.

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
linapokuja suala la fiesta iliyofanyika mpaka saa tatu usiku hapo ndipo napochanganyikiwa na maamuzi ya hii SIRI-KALI
 
...kauli kama hizi ndizo zinawasogeza zaidi karibu na kutuhumiwa moja kwa moja kuwa wanawatuma polisi kuua raia.
 
Polisi kwa hili sakata la mauaji ya mwandishi hawatoki na watanzania wote sasa wameishajua kuwa polisi huwa wanafanya kazi kwa kupokea maelezo kutoka ccm,machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe vikitokea wa kulaumiwa ni polisi na ccm.
 
Back
Top Bottom