Ujumbe wa kamanda Mbowe kwa watanzania kuhusu mauwaji ya kinyama ya Mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa kamanda Mbowe kwa watanzania kuhusu mauwaji ya kinyama ya Mwangosi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzito Kabwela, Sep 4, 2012.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,524
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  katiba yetu hii mbovu tuliyonayo inasema wazi,

  "Uhuru wa Maoni, Sheria ya 2005 Na. 1 ibala ya 5 inasema"

  Kila mtu
  (a)anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake;

  (b)anayo haki ya kutafuta, kupokea na kutoa habari bila ya kujali mipaka ya nchi;

  (c)anao uhuru wa kufanya mawasiliano na haki ya kutoingiliwa katika mawasiliano yake; na

  (d)anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu masuala muhimu kwa jamii.

  Ndg zangu watanzania sheria hii iko wazi kuhusu uhuru wa mtu kufanya kile kilichosemwa kwenye katiba bila kuingiliwa, Nimesikitishwa sana tena sana kwa mauaji wanayoendelea kuyafanya kwa wananchi wa Tanzania wasio na chembe ya hatia, kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi kinawaeleza wazi dhamira ya serikali kwa wananchi wake kuwa nikuwauawa wote kama siyo kuwauza.

  Napenda kuchukua nafasi kutoa salamu zangu za rambirambi kwa familia, ndugu na marafiki wa marehemu kwa kupotelewa na mpendwa wao aliyekuwa akitafuta haki ya kupata habari, nasema nipo nao katika kipindi hiki kigumu cha majonzi damu yake iwe chachu ya kupinga uonevu na ukandamizaji wa haki za Watanzani unaoongozwa na serikali ya CCM kwa kulitumia jeshi la polisi

   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Haya mnyika tumeona ujumbe
   
 3. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ccm wana jakaya mrisho kikwete chadema wanamwenyekiti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  asante kwa taarifa, walaaniwe wote watumiao nguvu kukundamiza wapinzani nchini.
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hivyo vifungu ni kuvihifadhi ili kuwapandisha mahala panapo staili kwa kuwa wanavikiuka makusudi wapuuzi hawa kwa kuwa mwaga utumbo nje raia wema
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Wagonjwa wengine huwa wanasumbua kwenye kutibu!

   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  no name calling,.hope mods will do the needful,i once was banned for this.
   
 8. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mmmmmmhhhhhh........zile kauli zinazotolewa kwenye mikutano kwa nguvu.......Hakuna kulala mpaka kieleweke ndo ingekuwa mahali pake hapa.....ila kwa hiyo red kazi ni tete sana!!!!!

  Watanzania wenzangu siungi mkono mauaji ya kinyama kama haya ila kwa reaction ya chama na viongozi kwa matukio ya Moro na hili imefikia kipindi sasa kwa wapenda siasa mjiulize mara mbilimbili uzito mnaopewa na vyama vyenu na uzito mnaovipa vyama hivyo hivyo.

  Naumia kuona ambavyo wananchi hujitoa kwa hali na mali ku support vyama ila linapokuja suala la wananchi wa kawaida kutaka nguvu ya chama mambo huwa tofauti sana na matarajio haswa yangu.....the reception is too cold.....!!!!!! Hivyo vipengele vipo na vinajulikana........chama kinavitumiaje kwa sakata kama hili????? Yeye kama mwenyekiti msimamo wake ukoje mbona Alhamisi huwa anauliza burning issues kwa expected tone???? Mustakabali wa familia unakuwa wapi?????.......hizi premises zinapelekea kwenye dhana kuwa mwananchi ni mtaji wa chama kwa manufaa ya "wenye nacho.........."

  Huwa najiuliza swali moja; Hivi vitendo kama hivi vingetokea kwa mmoja wa viongozi (top ranks).....could the reactions be the same???? Same statements would come out......from a distance.......??????
  This is why I never support political movements.....as they are class based.....double standard......segregative.....few to mention!!!!!

  My advice to my critical and matured country men......political activities are to be taken with great precautions and with a conscious mind...because when there is a congregation only minds of the few will dominate the conscious being of the majority.......only to come and realize when it is either late or too late that the destination is not commonly shared

  We should critically participate in politics but we should never love political parties.......never be followers and funs of political leaders.......we should love our freedom, our humanity, dignity and unity, the human race should be our bond.....and this is when we can move forward and face the common enemy....these very political parties

  A ghost is a ghost but a slight difference on the intensity of the effect upon the victimized body......!!!!!!!!
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa atakuwa amefurahia nini kifo cha huyu Mwandishi, mbona anasema kifo hicho kiwe chachu ya kuendeleza vurugu? Kweli umaarufu unatafutwa kwa gharama yoyote. Tangu vifo vianze kutokea katika maandamamno na mikutano ya CDM mbona sijasikia viongozi wake wakiwaasa Washabiki wao kufanya maandamano yasiyo ya vurugu?. Hivi ni kweli kwamba wafuasi wa CDM huwa hawafanyi fujo zinazopeleka Polisi kutumia nguvu?
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yaani mpaka hivi sasa nasubiri nione statement itakayotolewa na Zitto Kabwe kuhusu haya mauaji...au bado yuko na KIKWETE ethiopia?
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ahsante tumekusikia, walaaniwe wote wanaotumia uhuru wa maoni kuanzisha fujo na vurugu zisizo na tija nzuri.
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  jina lako nadhani umekosea, ulitakiwa kuitwa Zombi (msukule)
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wale wanaopitishiwa bakuli la mchango kusaidia chama halafu fedha zinakopwa kujengea nyumba ya bibie utawaitaje?
   
 14. Babarita

  Babarita JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Pensheni ya nape inakusumbua
   
 15. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu
  naomba nikukumbushe wale wabunge wa mwanza walivyokatwa mapanga, reaction ya CHADEMA ilikuwaje?
  binafsi nilitegemea kuwa CHADEMA wangetoa matamko makali sana, lakini wapi.

  so i think mtazamo wako waweza usiwe sahihi. Inawezekana CDM wanaona waTZ bado hawajawa tayari na matukio makubwa kama demonstration (ofcourse we all know kwamba kama ikitokea, damu zaidi itamwagika).

   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,524
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  NYUMBA YA MWANGOSI

  [​IMG]

  KAMANDA SLAA AKIWASILI MSIBANI TRM-IRINGA

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  MJANE WA MAREHEMU AKIPEWA POLE

  [​IMG]

  MTOTO WA MAREHEMU AKIFARIJIWA NA KAMANDA SLAA
  [​IMG]


  [​IMG]

  PILIKA PILIKA MSIBANI

  [​IMG]

  OFISI YA DAUDI MWANGOSI ILIPO REDIO COUNTRY FM YA IRINGA

  [​IMG]

  MAREHEMU MWANGOSI
   
 17. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  CDM pia ni Watanzania my ndugu na ukweli ni huo unaousema.......kuna watu wananakoka moto na hali hawana cha kupika wala kuchemsha......hali ya joto so hata kuota huo moto pia hauwezekani

  Thus we should all think on what we want, how.....when.....through which means......who is to participate......questions of the likes

  If you wanna eat a toad choose the juicy one......................................
   
 18. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  umewahi kusikia au kuona Cdm wakiwafuata polisi kwenda kuwahutubia,acha ujinga.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Soma post yangu vizuri nilichokiandika, au unajishuku? kwani chadema huwa wanaanzisha fujo?

   
 20. T

  TERREL Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Why are u interested on zito's statement on this issue? He was not there! Why should he have to coment? Do u think his statement would change peoples minds regarding the brutality of the government against innocent civilians? Jusg give ur comments and do not wait for someone outside the country to do it for u. Are u not touched by what is happening in this country??? Play your part now!!!
   
Loading...