Dk Ulimboka, kwanini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
771
Dk ulimboka,kwa nini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?au na wewe umeshakuwa fisadi?nani ataona tena matatizo ya hospitali zetu?umepewa kiasi gani mpaka umesahau mateso uliyopata kule mabwepande?
View attachment 63502
ulianza kutetea hawa waliolala chini
View attachment 63504
na hawa pia
View attachment 63505
hata hawa pia!
View attachment 63506
mkaanza mijadala ya kututetea
View attachment 63507
wakaanza mambo yao,utafikiri wanatibiwa ulaya!
View attachment 63508
wakakufanya hivi!
View attachment 63509
na pia ulionekana hivi!
View attachment 63510
hospitali ulizokuwa unatetea zikashindwa kukutibu,na wwe ukapelekwa ulaya!
View attachment 63511
ukarudi hivi!
Nakuuliza tena umepewa nini huko ulaya?mbona umewasaliti wenzako?na sisi maskini kwa ujumla?
Nimesikitika sana!na kama wamekupa hela ujasiri wako uliouonyesha hauna maana asilani,na bora ungetulia kimya tangu mwanzo!
 
Hapa kwa hili nami nina mashaka na huyu Dk. Ulimboka. Je, amezibwa mdomo kwa yale yote aliyojifanya kuyapigania? je, kipigo kimemfanya asahau yote au ni nini? Pia inasemekana hayupo nchini kwa sasa.
 
...umejifungia na mke wako chumbani mmezima na taa,upo ndani ya blanket,nje umefunguli mbwa wakali na kuna uzio wenye geti kali..
Unawasha ka PC kako na jina lako hatulijui hatapicha yako haippo.,.

Wamuamuru DK. aendelee hatarisha uhai wake na familia yake...

Nakushauri.. Toka hapo kwako saasa hivi nenda TBC waambie wewe ni activist unataka endelea alipoachia DK.. Angalau tukufahamu
 
Hapa kwa hili nami nina mashaka na huyu Dk. Ulimboka. Je, amezibwa mdomo kwa yale yote aliyojifanya kuyapigania? je, kipigo kimemfanya asahau yote au ni nini? Pia inasemekana hayupo nchini kwa sasa.

Kwa nini nyie msimalizie alichoanza au hamtaki kuwa kwenye historia ya mashujaa ya taifa hili?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sasa ndio amekuwa Mzalendo haswaa! huwezi kuwatetea watu wanaotaka 7m kwa Nchi maskini na yenye watu maskini. huwezi watetea watu wanaotaka kushindana na wabunge kwa Posho na Mishahara ukawaacha wanaJWTZ POLISI na Mgambo Amefunguka baada ya kumtaja aliyekuwa nyuma ya migomo yote ya MaDr na kuona kuwa wote ni wasaliti kwa maslahi binafsi Ameangalia Mustakabali ya maisha yake na familia yake kwani yeye sio mwajiriwa wa serikali, Ameipenda Nchi yakeAmeamua kupumzika na kuachana na Media Amepata kazi Nje ya Nchi
 
ndugu zetu wa Mbeya wanakuwa kama wana unafiki fulani,Mwakembe naye huko huko Mbeya,tuachane nao wanaona ccm kama mama yao
 
Hapa kwa hili nami nina mashaka na huyu Dk. Ulimboka. Je, amezibwa mdomo kwa yale yote aliyojifanya kuyapigania? je, kipigo kimemfanya asahau yote au ni nini? Pia inasemekana hayupo nchini kwa sasa.
Alishaongea kny clip yake iko Youtube na amesema kila kitu, je unatarajia atabadili kauli yake? Je ulichukua hatua gani aliposimulia? Acheni kupenda kusikiliza story na udaku then mkae kijiweni mpige soga tu. Pumzika Dkt.washakusaliti wenzio
 
bahatisha Dkt Ulimboka hakutibiwa ulaya alikuwa afrika ya kusini. halafu ni mapema sana kumuhukumu kwamba ameacha mapambano, bado anahitaji muda wa kupemzika ili afya yake iimarike zaidi.
madaktari ni wengi, wananchi tunaopata tabu mahospitalini ni wengi kwa nini tumuachie dkt ulimboka pekee alionesha njia hatukumfuata mpaka wakamjeruhi nusura kumuua, WATANZANIA tuamke sasa tuache kulaumu na kutegemea kwamba fulani anaweza na kumuachia atende peke yake HATUTAFIKA TUNAKOTAKIWA KUFIKA.
Dk ulimboka,kwa nini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?au na wewe umeshakuwa fisadi?nani ataona tena matatizo ya hospitali zetu?umepewa kiasi gani mpaka umesahau mateso uliyopata kule mabwepande?
View attachment 63502
ulianza kutetea hawa waliolala chini
View attachment 63504
na hawa pia
View attachment 63505
hata hawa pia!
View attachment 63506
mkaanza mijadala ya kututetea
View attachment 63507
wakaanza mambo yao,utafikiri wanatibiwa ulaya!
View attachment 63508
wakakufanya hivi!
View attachment 63509
na pia ulionekana hivi!
View attachment 63510
hospitali ulizokuwa unatetea zikashindwa kukutibu,na wwe ukapelekwa ulaya!
View attachment 63511
ukarudi hivi!
Nakuuliza tena umepewa nini huko ulaya?mbona umewasaliti wenzako?na sisi maskini kwa ujumla?
Nimesikitika sana!na kama wamekupa hela ujasiri wako uliouonyesha hauna maana asilani,na bora ungetulia kimya tangu mwanzo!
 
Alichokifanya dr uli ni sawa kabisa,amechagua maisha kwa sababu maisha ukishayapoteza huyapati tena.Kwa nini ahangaike peke yake? Anateswa hafu watu tupo tu tunalalamika kwenye magazeti na mitandao.Kwa nini hatujajitokeza barabarani tuandamane kutetea alichokuwa anakitetea dr ulimboka.Kama sisi tunaogopa kuingia barabarani na kuandamana kutetea kile tunachoamini basi dr ulimboka yuko sawa kuwaacha wafu wazike wafu wao
 
Kesi ipo mahakamani unataka azungumzie nini? Au unataka aingilie muhimili mwingine wa mahakama afungwe!
 
...umejifungia na mke wako chumbani mmezima na taa,upo ndani ya blanket,nje umefunguli mbwa wakali na kuna uzio wenye geti kali..
Unawasha ka PC kako na jina lako hatulijui hatapicha yako haippo.,.

Wamuamuru DK. aendelee hatarisha uhai wake na familia yake...

Nakushauri.. Toka hapo kwako saasa hivi nenda TBC waambie wewe ni activist unataka endelea alipoachia DK.. Angalau tukufahamu

Bahati mbaya Mobile haina kitufe cha Like, ila chukua Like mkubwa
 
Dr.Ulimboka amesha aidiwa Ubalozi anchosubiri UPEPO UPITE aapishwe. kwani Dr. Mwakyembe alikuaje? alipopewa Uwaziri wa Uchukuzi na mjadala wa afya yake akaufunga. Uroho wa Madaraka UTATUANGAMIZA WENGI
 
Usifanye mchezo na mabwepande halafu si nasikia kina igondhu wamevunja korodani sidhani kama kitu mnara nasikia mtalimbo doro,ni kweli?
 
Back
Top Bottom