Picha; Sitisho la Mikutano ya siasa kwa ajili ya Sensa na yaliyojiri Nyololo na Bububu!!!!

eumb

Senior Member
Apr 2, 2012
149
70
Picha hizi mbili zote ni matukio yaliyojiri tar 2.9.12. Wakati yanatokea Serikali ilikuwa imetoa wito wa kusitisha mikutano ya siasa kwa ajili ya shughuli ya sensa, sasa walikuwa wanamaanisha CCM hawahusiki nalo? Mbona hao polisi hawakusambaratisha mkutano huo? CDM walikuwa wanafungua matawi wakati CCM walikuwa wanafanya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi.

12.jpg
 
Iko siku wananchi wakichoka, nadhani hao polisi watajua wananachi ni zaidi ya polisi, watawaona makomando zaidi ya wanajeshi wa JWTZ wako mitaani........
 
Picha hizi mbili zote ni matukio yaliyojiri tar 2.9.12. Wakati yanatokea Serikali ilikuwa imetoa wito wa kusitisha mikutano ya siasa kwa ajili ya shughuli ya sensa, sasa walikuwa wanamaanisha CCM hawahusiki nalo? Mbona hao polisi hawakusambaratisha mkutano huo? CDM walikuwa wanafungua matawi wakati CCM walikuwa wanafanya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi.

12.jpg

Kunya ni kwa kuku tu, akinya bata, kaharisha!
 
Kuna siri kubwa hapo mkuu, nadhani polisi walikuwa na sababu zaidi ya moja kumuua huyu mzalendo... But time are moving fast and the end is approaching
 
Polisi wetu akili zao sometimes zinakuwa kichwa panzi, sijui watakuja na excuse gani ya kutokataza huo mkutano wa green and yellow!
 
Propaganda iliyopo ni CHADEMA waonekane ni wauaji NO MORE NO LESS na tatizo kubwa na hatari kwa Tanzania ni Kulindana Polisi wameua sana hadi wanapandishwa vyeo kwa kuua sasa wamejisahau na kufanya hili ni zoezi la kudumu ila watu watakapozoea kufa wao ndio watatafuta pa kujificha.
 
1.jpg Fiesta Fiesta Mwanza

nilikuwa nasikiliza redio one huyo chagonja paul alivyoulizwa kwanini wanazoofisha democrasia akasema wao wanatii maagizo,akaulizwa kwani wanaagizwa kutumia nguvu kubwa hata kupoteza maisha ya watu,akakata cm!!!!siku hizi polis ni chama cha siasa maana kinazuia mikutano ya vyama pinzani lakini mikusanyiko kama fiesta,mikutano ya magamba wala hawahangaiki nayo.
 
Polisi wetu akili zao sometimes zinakuwa kichwa panzi, sijui watakuja na excuse gani ya kutokataza huo mkutano wa green and yellow!

Mkuu Maundumula, panzi wamekukosea nini hata uwadhalilishe kiasi hicho kufikia uwafananishe na policcm?

Panzi hawamuuwi mtu mkuu, ni wapenda haki na si vibaraka
 
Last edited by a moderator:
View attachment 63742Fiesta Fiesta Mwanza
Propaganda iliyopo ni CHADEMA waonekane ni wauaji NO MORE NO LESS na tatizo kubwa na hatari kwa Tanzania ni Kulindana Polisi wameua sana hadi wanapandishwa vyeo kwa kuua sasa wamejisahau na kufanya hili ni zoezi la kudumu ila watu watakapozoea kufa wao ndio watatafuta pa kujificha.
 
Kama tunaruhusiwa kutukana humu niambieni jamani. Nina matusi 20 makubwa kwa serikali na jeshi la polisi.

Naomba kutooa hoja

Usitukane mkuu, utakula BAN nzito sana. Unamjua Invisible? Mimi tangu juzi ilibidi nitukane tu kimoyomoyo, angalau jazba imepungua ndio nimeweza kupost JF.
 
Kama tunaruhusiwa kutukana humu niambieni jamani. Nina matusi 20 makubwa kwa serikali na jeshi la polisi.

Naomba kutooa hoja

mkuu mimi ninayo 30 zaidi mod leo waturuhusu tutukane iwe leo tu, tutoe machungu yote aaah!

tunaomba leo tutukane p,se
 
Back
Top Bottom