Uchaguzi UVCCM TEMEKE vurugu tupu imechochewa na Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi UVCCM TEMEKE vurugu tupu imechochewa na Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Sep 2, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Wenye habari zaidi watuhabarishe yanayojilia hiko Temeke, kwani uchaguzi UVCCM ni patashika ya nguo kuchanika na ile ya Nchimbi(ism) kuchukua mkondo wa kuiba na kukimbiza masanduku ya kura. Kazi kweli kweli.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Habari haieleweki ni nini unataka kueleza acha ushabiki uliokubuhu.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Soma kichwa kikuu cha Habari ya gazeti yalyojilia uchaguzi huo, je kisingizio cha machafuko hayo katika uchaguzi wa UVCC Chadema yahusika? Kwani serikali na CCM machafuko yo yote yatokeayo kisingizio ni Chadema, we unaonaje?
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  magamba bana ,sasa unamind nini wakati habari iko waazi ,mimi sala zangu msambaritike kama somalia,Na Mungu atadhirihisha hilo before 2015!
   
 5. s

  sad JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila kitu kusingizia chadema. hata kama mwana c.c.m kakosa usingizi kisingizio chadema
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  sasa unataka na gazeti akununulie? au akusomee akuwekee kwenye youtube magamba hampendi kujishughulish nyinyi ni wavivu sana
   
 7. k

  kundaseni meena Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  title haiendani na content, go to hell magamba!
   
 8. Dr F. Ndugulile

  Dr F. Ndugulile MP Kigamboni

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Taarifa hizi si za kweli! Uchaguzi uliisha salama na leo kuna uchaguzi mwingine wa Jumuiya ya Wazazi nao ni wa amani kabisa.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Heading na Content mbingu na ardhi.
   
 10. c

  change is must Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha yauane kwani hayana faida kwetu.
   
 11. BEDO NYALUTOGO

  BEDO NYALUTOGO JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,324
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  content na taarifa mbona tofaut sana! kila vurung chadema mkutano wafanye magamba then vrng wa coz cdm is true! tafakar,,,, teh
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Gazeti la Majira ndilo la kulaumiwa maana taarifa iliyonukuliwa ni kutoka gazeti ambalo limekuwa published. Au vipi mdau mwenzetu Ritz
   
 13. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hapakuwa na bastola ?
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  UVCCM wamefanyaje shughuli za chama wakati sensa haijaisha watu wanatakiwa wawepo kwenye sensa? Mbona sijasikia FFU wamefika kurusha mabomu na risasi kwa mkutano huu lakini wa CDM ruksa? Wananchi tumechoka na impact ya fujo za SSM na jeshi lake la polisi tutaiona 2015.
   
 15. a

  andrews JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbwa kaamka
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nini Temeke Leo kimenuka Kinondoni kama kawa hii dhambi ya ubaguzi,rushwa,matabaka hazita waacha kamwe
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ufalme umefitinika, hatapona mmoja kati yao.
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  afadhali mbunge wa kigamboni umejiunga humu, nitarudi na maswali kwako......
   
 19. m

  mtaullah New Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka uvccm inauliwa na m2 mmoja
   
 20. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Akija kujinyea mavi stela manyanya jukwaani kwa ugonjwa wa kuarisha watasema chadema wamevuruga tumbo lake......cccm mfa maji hachomoki safari hii
   
Loading...