Tume huru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume huru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BMT, Sep 4, 2012.

 1. B

  BMT JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  hivi wanajamvi na wachambuzi wa masuala ya duru za kisiasa naomba kujua idadi ya TUME HURU na zitajwe toka dk Kikwete kuingia ikulu 2005,maana imekuw too much jamani
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Tume Hii ya nchimbi nimeikubali ni huru kweli, maana ina mchanganyiko wa wajumbe
   
 3. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hili suala la kuunda kama sasa limekuwa ndiyo njia ya kupotezea ukweli. Hivi kwa mfano hili suala la Mwangosi kuna kitu cha kuchunguza? kama huyo polisi alokosea si angesema tu, bomu lililipuka kwa bahati mbaya kuliko kuendelea kupoteza fedha na nguvu kazi? tumeona hadi picha za aliyerusha hilo bomu sasa unachunguza nini?
   
Loading...