Muziki wa CDM, Magamba watauweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muziki wa CDM, Magamba watauweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlyafinono, Jun 16, 2012.

 1. M

  Mlyafinono Senior Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha za mkutano wa cdm leo Kihesa manispaa ya I cdm3.JPG zito.JPG ringa cdm1.JPG
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Cheza mpaka gwanda likuvuke.
   
 3. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Picha za maktaba kazini; but tujulishe mambo yaliyoongelewa zaid ya hizo picha
   
 4. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi picha tunahitaji na taarifa maana hawajaonyesha ktk taarifa ya habari.
   
 5. M

  Mlyafinono Senior Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bajeti iliyosomwa na Dk. mgimwa.Fedha zinazotokana na kodi zetu kwaajili ya mpango wa maendeleo ni asilimia 0%.Zito kabwe anasema bajeti hiyo inakwenda kinyume na mpango wa maendeleo ambao ulipitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Anasema mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliopitishwa na bunge uliitaka serikali kutenge asilimia 35 ya mapato ya ndani kwaajili ya miradi ya maendeleo.
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  mkuu hizi picha sio za mkataba..mkutano ulikua mzuri sana na watu wengi mno walikuepo mpaka magari yakazibiwa njia ikabidi askari wa usalama barabarani waingilie kati kwani uwanja ulikua mdogo japo mkutano ulikua wa kushtukiza sana
  kimsingi kusini inaanza kuondoka hivyo
   
 7. M

  Mlyafinono Senior Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm hawana utaratibu wa kutumia picha za maktaba.Wanaofanya hivyo ni magamba kama ilivyokuwa kwenye kamapeni za ubunge Arumeru
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aliyetengeneza software za picha duka anafaa kusifiwa.
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Is this the only thing remain in your mind!? Poor U!
   
 10. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  ilo unalo had 2015 utabaki mwili ka unakwashakoo,. Chadema itakukela sana
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kama picha imetoka maktaba basi tuonyeshee ushahidi
   
 12. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  ...ha ha ha kusoma hujui hata picha huoni?endeleeni kusubiri,kusini hiyoooooo,hongra zitto!
   
 13. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  ...mkuu sio inaanza,ndo ishaondoka!hongera Msigwa na timu nzima ya cdm!
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
 15. Kanolo

  Kanolo Member

  #15
  Jun 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Magamba wabishi sn kukubali ukweli km wanavyong'ang'ania kufanya uongo kuwa ukweli, bisha utaona 2015 km hizo ni picha za maktaba au live:rockon::rockon:
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mpaka 2014 hakuna hata gamba litakalo baki.. Maana Lowasaa na Mkapa mwaka jana wametoka kapa kule Arumeru Mashariki, na kusini nayo ndo kama hivi tunavyoona kweli Magamba wana hali mbaya na tete sana
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mwaka 2016 bado mtakuwa mnacheza muziki wa sauti kali, lakini yote maji ya moto, nyumba hakuna kuungua.
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Wacheze wafe..
   
 19. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  T2015CDM @it's escape velocity(i.e 11.2km/s). Gamba utanikabidhi uhai tu hata kwa kuchelewa.
   
 20. B

  Bob G JF Bronze Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CDM wazidi kuwa haribia SIKU CCM na Kafu hizi picha zinawakosesha amani
   
Loading...