tatizo ni weledi wa polisi na waliowatuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo ni weledi wa polisi na waliowatuma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by juni, Sep 5, 2012.

 1. j

  juni Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inaelekea baada ya kuona awaiwezi kasi ya chadema uksukwa mpango wa kuwauwa mashabiki wa cdm. wakaambiwa polisi hakikisha mnavuruga mikutano na kwenye vurugu ua angalau mwananchi mmoja.

  anayebishi atafakari angalizo la napr nnauye kabla ya tukio la morogoro kwamba chadema wameandaa kuganya vurugu katika mkutano wa morogoro. yeye nape alijuaje? na kweli hii inaingia akilini kwamba cdm waandae kufanya vurugu kweny mkutano wao?!

  vilevile kauli ya nchimbi kwamba chadema injisiliaje kila wakifanya mkutano mtu anakufa.

  hii yote ni kudhihilisha mpango huo wa kishati wa kuua wananchi ili kuipaka mstope cdm.

  bahati mbaya pplis waliopewa jukumu hilo hamnazo kama si wavuta bangi maana wanaua hata pale ambapo kila mtu anaona.

  inaelekea yule askali alipoona wenzakr wanatandika virungu akasema awa wanamkawiza hawajui jukumu tulilopewa kwa ahadi ya vyeo na rushwa. akamfumulia mbali. mskini hakujua kuwa alikuea mwabgosi mwandishi wa habari. pengine ishara ya honi ya rpc ndiyo walidhani anawakumbusha walichopanga.

  vyovyote iwavy huu ni mbinu za kitoto maana kila kitu kiko wazi na wala hakuna anyeilaumi cdm badala yake inati huruma... na kama alovyouliza nchimbi wanajisikiaje. wanasikitika na kukasirika na kupata ari ya kupambana zaidi.

  hivi ccm na serikali yake hawana intelligensia ya kupima matukio wanayoandaa kabla maana kwa vyovyote sasa eanalaumiana na pengine ndo maana wanapigana vikumbo wasijue waseme nini. kila mmoja anaunda tumu. huo ni mpamgo wa mungu kutaka kuwaumba
   
Loading...