Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Sep 5, 2012.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanabodi,

  Mda si mrefu kupitia television ya EATV (chanel 5) kutakuwa na mada inayosema...JE SIASA ZA MALUMBANO NI UKUAJI WA DEMOKRASIA? Kipindi kitaendeshwa na Dada Prudence wa 5 CONNECT from EATV kuanzia saa moja
  kamili jioni hii.

  Wageni waalikwa ni

  Ndugu Nape Nnauye kutoka ccm.
  Ndugu John Mreme kutoka Chadema
  Ndugu Benson Bana kutoka chuokikuu cha DSM
  Ndugu Hemed Msabaha kutoka NCCR-Mageuzi na
  Ndugu Antidius Rweyengoza kutoka AFRON.

  Karibuni tuwaangalie hawa waheshimiwa watasema nini kuhusiana na hii mada.
  Pia tuone ni nani atachemsha na ni nani atakuwa mkweli - Nawasilisha
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Nape mchemfu kulikoa maji ya kuchemshia gongo. Hapo ataropoka tu si utaona!!! Ila tu namuonea huruma maana 2015 kama kambi yake haitapata kibali cha kugombea ataula wa chuya. Amekubali kutumiwa, asubiri shuruba lake.
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  tupe updates
   
 4. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kipindi ndiyo kinaanza sasa
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED, that guy there is simply just but more of a square peg in a round hole in that team of your speakers today.

   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Muongoza kipindi anauliza malumbano haya hadi lini? sasa anawatambulisha wageni
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nape anasema malumbano hayana maana kwavile wapinzani uwelewa wao ni mdogo
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Tunaomba kinachoendelea wakuu. Halafu hawa EATV kwanini wamemkaribisha Bunsen burner. Simpendi kama nini. Watu wengine bwana.
   
 9. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nape anasema wapinzani wanajitafutia umaarufu tu nothing more
   
 10. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Anasema malumbano gani hayana maana? Watu wengine bwana.
   
 11. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hajui kama umaarufu ndiyo mpango mzima. Watu wengine bwana.
   
 12. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Johni Mreme anamjibu kwa kumwambia Nape kuwa huo ni uongo wa propaganda kutoka ccm
   
 13. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  ana wadudu kichwani huyu
   
 14. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  John Mrema anaendelea kwa kusema wanaoleta fujo ni ccm na sasa wamefikia hatua ya kuua watu
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Nilisema hapo juu kuwa Nape hana jipya, ni mfinyu na mdhaifu kama wadhaifu waliomchagua kuwa hapo alipo. It is a strength to CDM. Yaani Nape chiboko!!!
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ni kweli tupu mkuu.
   
 17. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa anafunguka vizuri sana hapa kwa hoja mzuri....nafikiri huyu ndiye msabaha kutoka NCCR
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Tena wanaitwa Siafu mkuu, wakikupandia kule maeneo utasaula kabisa. Mweupe kama karatasi ya nyeupe.
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  With due respect, tell him to try taking care of his body size and lack of physical exercise before he would certainy be considered competent enough to say a thing of some levels of meaning about the opposition in the country.

   
 20. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Muongoza kipindi anauliza...kwanini imefikia hatua ya kuuana? kweli hii ni demokrasia?
  Kwanini wameua muuza magazeti pale Morogoro na juzi mwandishi kule Iringa?
   
Loading...