TBC wana potosha ukweli wana rusha matangazo ya uvunjiifu wa amani wa CHADEMA na nchi kutotawalika

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Angalia tbc wanarusha kampeni za mwaka 2010 za Arusha na kauli za kuwa waliapa kuwa nchi haitatswalika na vurugu wakati wa sensa za makazi na wakati walishakatazwa
 
Muda huu kuna kipindi maalumu kinachorushwa na kituo cha habari cha Taifa yaani TBC1 juu ya vurugu zilizosababishwa na polisi pale Morogoro na Iringa. Cha kushangaza, hiki kituo kimeanza majungu kwa kuweka baadhi ya matukio ambayo Dr Slaa alitamka kuwa kwasababu ya uonevu wa CCM na Serikali yake nchi haitatawalika. Cha kushangaza TBC1 wanasema Dr Slaa alitoa kauli za kichochezi na kuvuruga amani.

MY TAKE:
Hivi ni lini TBC1 imeanza kufanya kazi za mahakama? TBC1 ni janga kwa Taifa.
 
hiyo si channel ya Taifa?
hicho kipindi kimeandaliwa na WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI hapo TBC kama chombo cha Taifa hawana ujanja ni lazima wakirushe,huwezi kukipata kipindi hicho ktk TV za watu binafsi
 
Tbc wanahofia kilichompata tido mhando ndio maana wanafuata masharti ya ccm
 
tru wanaoanisha eti tukio la mwangosi na maneno ya Dakta Slaa aliyoyatoa pale arusha mwaka jana tena wamekanukuu kasehemu kadogo tu kalipoongelea serikali ya kikwete yaweza isitawalike, jamani mbona hii televisheni ya taifa inafanya makosa makubwa kama hayooo!!!!!!!!!!!!!! INAUMA
 
Kimsingi TBC1 wanachofanya ni sahihi ndiyo halisi ya Chadema wanaongoza kwa matukio ya mauwaji ni sifa yao.
 
mkuu, TV yako haishiki channel nyingine? mbona unapoteza muda kuwaangalia wapuuzi hao mkuu?? kama vipi mwanao hajatoka shule bado japo mcheze naye kidogo??
 
No amout of lies can defeat the power of truth and knowledge. Elimu ya uraia itawakomboa watanzania, so TBC wameula wa chuya hapo
 
Ndiyo maana M4C inaumuhimu wake, kuwaelewesha wananchi jinsi CDM ilivyo na kuwashirikisha katika kukiimarisha. Muda wa mabadiliko ukiwadia umewadia hakuna awezaye kuzuia, labda kuchelewesha tu.
 
Kila nikimuona mtu wa CCM Bia zangu zote zinanitoka mwilini. This guys are Bull.hits
 
Kimsingi TBC1 wanachofanya ni sahihi ndiyo halisi ya Chadema wanaongoza kwa matukio ya mauwaji ni sifa yao.

wakati mwingine tuache kuwapa vichwa watu usahihi wao uko wapi? unaweza ukaweka bayana vurugu za CHADEMA ambazo wamefanya ni zipi kama si uonevu wa Jeshi la polisi kupinga kila wanachotaka kufanya mpaka kufikia machafuko na kuua watu wasio na hatia......HAPANA!!! hiyo TV inatumika vibaya kwa sasa
 
Walivyo wapuuzi hawawezi hata kutengeneza matukio yanayoweza kuwapumbaza/kuwaaminisha wananchi. Zaidi wananchi ndiyo wanabaini jinsi gani wanavyotengeneza uongo na kutokuwa naimani nao tena. Kama siyo professional wa kutengeneza uongo, then usitegemee utaweza kupindisha ukweli ulio wazi.
 
nchimbi anapotoshwa na kutumiwa vibaya.
Nchi hii wasio na pesa na uwezo wataumizwa sana.
 
Back
Top Bottom