Maandamano ya wafanyakazi wa migodini Afrika Kusini na Jeshi la Polisi la Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya wafanyakazi wa migodini Afrika Kusini na Jeshi la Polisi la Tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Sep 5, 2012.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Leo wakati naangalia taarifa ya habari channel e niliona habari ambayo ilinivutia. Kulikuwa na mamia kadhaa ya waandamanaji ambao walikuwa wakisindikizwa (in fact being closely watched) na mamia ya askari wakiwa na silaha (armed police officers). Walikuwa wakiwa wanawatizama tu na wange-intervene pale tu kungejitokeza vitendo vya kihuni.

  Waliwasindikiza kwa zaidi ya kilometa 4. Hii pia naionaga hata nchi za Ulaya na Marekani yaani Polisi kulinda waandamanaji na si kuvunja maandamano kama ilivyo Policcm. Kama syllabus ya CCP haina kitu kama hii naomba waiweke yaani jinsi ya kusindikiza maandamano.
   
Loading...