Udiwani mvomero ndani ya CCM ni balaa

Sep 3, 2012
26
3
DIWANI WA MAGAMBA ALIYETOA KINGI NA KUPATA KURA NYINGI MUSA KINGU ALALAMIKIA NJAMA ZA KUMUENGUA KWENYE KAMATI YA SIASA YA MAGAMBA YA MKOA. Taarifa za ndani zinasema msela amekamiwa kuondolewa kwa kuwa ni kabila moja na Mbunge na hivyo ataleta ugumu wa kampeni. Wapinzani wa Musa wanafurahia sana kwani wao wanaona ni nafasi yao kupewa nafasi hiyo.Lakini wengi wanaamini wagombea wawili waliokuwa wanavutana sana kwa kugawa pesa -Manyanga, Salumu (Kocha wa Kagera na Mtibwa Sugar wa zamani) na yeye Musa ndio wanastahili japo ngoma huko mbele ni balaa tupu.

Wanaompinga Mayanga wanasimamia katika hoja kuwa yeye ni mtumishi wa kiwanda cha sukari ambacho kimsingi ni chanzo kikuu cha matatizo ya wakulima wa miwa na wafanyakazi. Ila wanaompenda wanadai jamaa anafahamika zaidi.Acha tuone,.............."Only time will tell"
 
daah, mkuu ulifikiria nini wakati ulipokua unaandika hii statement maana it is just so candid and very much to the point?

The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in street.

Ukabila na CCM
 
CCM is rotten with corruption, Uwezo Tunao you know that, even the big fish, Mr. Corrupt Kikwete he knows that.
 
Back
Top Bottom