Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, Sep 5, 2012.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kauli mbiu ya kwanza ya chama
  Kauli mbiu ya kwanza zilizopitishwa na chama zilionyesha nia ya msingi ya kutumikia wananchi. Nazo ni:

  [TABLE]
  [TR]
  [TH="class: text1 style5, width: 20"]1.[/TH]
  [TD="class: subHead1 style2, width: 234"]CHADEMA …………………....................[/TD]
  [TD="class: subHead1, width: 220"]VEMA![/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: text1 style5"]2.[/TH]
  [TD="class: subHead1 style2"]MWANANCHI………………..................[/TD]
  [TD="class: subHead1"]NAMBARI WANI![/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: text1 style5"]3.[/TH]
  [TD="class: subHead1 style2"]CHADEMA …………………...................[/TD]
  [TD="class: subHead1"]NAMBA TWO![/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: text1 style5"]4.[/TH]
  [TD="class: subHead1 style2"]VIJANA………………………..................[/TD]
  [TD="class: subHead1"]TAIFA LA LEO![/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: text1 style5"]5.[/TH]
  [TD="class: subHead1 style2"]KINAMAMA…………………..................[/TD]
  [TD="class: subHead1"]WALEZI![/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: text1 style5"]6.[/TH]
  [TD="class: subHead1 style2"]WAZEE………………………...................[/TD]
  [TD="class: subHead1"]DHAMANA![/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani.
  Kauli mbiu hizi ziliwekwa kwa msisitizo kuwa chama chetu kinaheshimu kuwa wananchi ndio namba moja na ndio wamiliki wa chama. Ikiwa na nia ya kupingana na kauli mbiu ya CCM ya kujiita nambari wani. Chama kikaanza kazi kwa kasi, kikiwa kinaonekana kuwa na sura ya kipekee. Toka enzi hizo chama kilijijengea heshima ya kuwa chama cha ustaarabu. Heshima ambayo hadi leo CHADEMA imeitunza.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,934
  Likes Received: 9,795
  Trophy Points: 280
  Jiulize chama nini?
  Je ni majengo au wananchi?
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata kwa harakaharaka utaona tu CDM ina uchungu na hii nchi maana imepoteza mwelekeo. NChi imemsahau mwananchi, wachache ndani ya chama wanatafuna rasilimali za nchi hii tena kwa kupeana kifamilia. Disparity kati ya maskini na Tanzania inakuwa kila sekunde. Wananchi kwanza, chama nyuma yao kikitizama maendeleo ya wananchi wao and that is CDM.
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mbona kilichoko kwenye heading na contents za uzi ni tofauti, au sijaelewa
   
 5. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kweli ww ni mchuzi wa bata!
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  huwezi kuelewe kwa ukilaza wako ... waachie wanaojua ideology
   
 7. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,888
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Wachaagaaa...
  Wametukamata pabaya
   
 8. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,420
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hapa chama maana yake kinaundwa na wananchi wengi zaidi ya mmoja/umma wa watanzania hivo maslahi yao kwanza ndipo kwa mwananchi mmojammoja tofauti na chama cha mmojammoja c.cm kinachojali mwananchi mmoja kabla ya wananchi,
   
 9. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,965
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mchuzi wa bata wamekataaaaaaaa!
   
 10. C

  COSTOMER Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  wewe ni mnafikiiiiiiiii ni vyema uatafuta mada zingine za kuweka
   
 11. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,539
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mchuzi wa bata...umelula huko naona umeleta furushi la taka hapa jamvini..poa mchuzi wa bata...asubuhi njema.
   
 12. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,982
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  mbona iko wazi imeandikwa wananchi nambari one! Ukiwa ccm kila unachofikiri ni matope tupu! Hivi huwa tunaangalia tunayoandiaka kwenye media? Au mawazo yetu kama gazet la uhuru?
   
 13. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 43,615
  Likes Received: 9,961
  Trophy Points: 280
  na wamekukamata kweli.
   
 14. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhan labda na mi ni kilaza. Ama vinginevyo mchuzi wa bata umeshindwa kuoanisha mambo.
   
 15. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,905
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Mara huelewi, mara unajaribu kutolea hoja kitu usichokielewa, we vipi! No c.r.a.p on t.a.p
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,792
  Likes Received: 1,581
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mchuzi wa bata umeitoa wapi hiyo? Upo mzee manake siku nyingi nilikuwa sijakusoma hapa jamvini au ulikuwa upo Lupango?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mr Pig how are you?
   
 18. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha mchuzi wa bata....jina lako Na thread yako zinafanana Tehe Tehe Tehe
   
 19. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa likizo bila malipo siunajua ubize ulipungua ila sasa baada ya policcm kuharibu lazima aje asafishe njia.......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pumba???!
   
Loading...