JENERALI ULIMWENGU PRESENTATION AT OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA - MORAL DECAY Tanzania

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,911
Jamani naomba mpate wakati wa kusikiliza Jenerali akiwa Open University. Presentation ni ya Kiswahili. NIMEIPENDA
SIKILIZA TAFADHALI
Then toa maoni yako. KARIBU
 

Attachments

  • FASS DAY JENERALI ULIMWENGU'S PRESENTATION FASS DAY.mp3
    19.7 MB · Views: 4,042
Ahsante ndugu "Maarifa".....
Tutasikiliza, wengine tupo kwenye vitochi, hvyo mpaka turudi kwenye pc.
 
Kwa Kweli ni muhimu kuisikiliza,narudia mara ya pili kusikiliza.Sijui tunakwenda wapi ?
 
its imperative that all members of this forum listen to Jenerali's SERMON, and find a way to have their children understand the content,

Wakuu, ni bora kila mwanajamvi atenge muda kusikiliza HUBIRI la Jenerali, na watoto wetu wasiachwe nyuma katika kupata mantiki ya kinachozungumzwa
 
Maarifa, this is the best wake up call to all of us. Thank you for sharing
 
Well said Mkuu. Amezungumza mambo yanayotia Uchungu kuyasikiliza na Hamasa ya kufanya kitu. Pamoja na kunichekesha aliposema kwamba ni vyema kumwita Daktari wako siku ukiamka mwenye afya njema ili akueleze nini cha kufanya ili uendelee kuwa na afya hiyo, lakini ukingoja mpaka umelala kitandani, house girl wako ndiye atakuwa daktari wako maana ataanza kukueleza kwamba hata bibi yangu kule Mahenge alikuwa anaumwa hivi hivi na tulikuwa tunampa mizizi hii.

All in all jamaa ni kichwa na si mwoga.

 
Ulimwengu kasema upana wa neno ufisadi. Nimelisema jana hapa.

Namsikiliza.
 
Kumbe ndiyo maana Dikteta Mkapa alijaribu kumfukuza TZ (eti siyo raia). Huyu jamaa ni hatari sana kwa maendeleo ya ufisadi TZ.
 
Hii hotuba inafaa isikilizwe na kila Mtanzania. Ni kama saa moja na dakika chache lakini ina-worth huo muda. Iliniuma sana pale alipozungumzia suala la kuuzwa kwa nyumba za serikali. Viongozi walitumia hela za serikali kufanya matengenezo ya milioni sabini, halafu wakajiuzia hizo nyumba kwa milioni kumi. Halafu Mkapa anajifanya mtu msafi! Mkapa ni mwizi mkubwa na huo wizi wake umesababisha "clueless" Kikwete kuwa rais.
 
Jamaa mbona kama hajui ung'eng'e bana, mpaka atafute maneno kwenye recycle bin
 
Kwa mliosikiliza Thank you and Big Up ni vema tukatunza kumbukumbu kama Hizi. Maana jamiii ya leo sijui tumelogwa na nini???? ama Huyu jamaaa ukimsikiliza sana nu NYERERE TUPU!!
 
Back
Top Bottom