Kijijini Nyololo, Vyombo Vya Habari vinapotosha: Ni Fujo ya Polisi DHIDI ya Chadema na Wanahabari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijijini Nyololo, Vyombo Vya Habari vinapotosha: Ni Fujo ya Polisi DHIDI ya Chadema na Wanahabari!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Not_Yet_Uhuru, Sep 12, 2012.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wana-JF;

  Kumekuwa na KERO sana tangu zinapotokea ghasia na fujo za katika mikutano na maandamano ya Chadema, na kwa vile 'Chama Zee' GOP - CCM imeweka malengo yake kwa kupitia utelelezaji wa POLISISIEMU, kila wanapoanza kuwapiga, kuwatawanya na hata kuwaua wananchi wasio na hatia, CCM huwa ya kwanza kuropoka kuwa ni 'Fujo kati Wafuasi wa Chadema na Polisi'.

  Huu upotoshaji, umefanya hata vyombo vingi vya habari hata vile vilivyo makini kuingia (dragged) katika mtego huo mchafu wa 'Chama zee' CCM kuwa ni 'Fujo kati Wafuasi wa Chadema na Polisi'. HUU NI UOVU AMBAO YAFAA KUUWEKA WAZI! 'Call a Spade, a spade' ...'Kama ni Chepe, iite ni Chepe!...'Kama unaye Mwizi tumtaje kama Mwizi!
  Bahati mbaya, Hadi sasa tumeona na kusikiakuwa, hadi kifo cha Daudi Mwangosi Kijijini Nyololo, TV, Redio na Magazeti mengi yanaandika hadi leo hii kuwa kilichotokea Kijijini Nyololo kimetokana na 'Fujo kati Wafuasi wa Chadema na Polisi' HII NI POTOFU, UHARIBIFU WA UKWELI KWA MAKUSUDI NA INAKERA SANA!!! TUNAUPINGA UPOTOSHAJI HUU KWA NGUVU ZOTE!

  My Take:
  Hadi sasa Vyombo Vyote vya Habari (Nje na Ndani ya Nchi), vimeshajionea, kutambua na kuathirika na CCM na POLISISIEMU na upotofu huo ambao nao wanau-ripoti pasipo kutambua JINSI SAHIHI YA KURIPOTI UKWELI KWA UMMA tofauti na Porojo za KI-CCM na POLISISIEMU.

  Tunashauri kuanzia sasa VYOMBO VYA HABARI VIWEKE HEADINGS SAHIHI KUWA, NI "FUJO YA POLISI DHIDI YA WANA-CHADEMA NA WANAHABARI" na popote katika maandamano na Mikutano ya CHADEMA na Vyama Vingine kinachotokea. Hapo mtakuwa mmewatendea Watanzania haki na kuwapunguzia maumivu wapatayo mioyoni kwa kuripoti vichwa vya Habari Visivyo badala ka Ukweli.
  Msipotoshe au kukokotwa kifikra na CCM na POLISISIEMU tena maana mmeshafumbuliwa macho na Kifo cha Mwangosi.
  NAOMBA KUWASILISHA!

  TUJADILI HILI WADAU...HAKI NA UKWELI VISIPOTOSHWE TENA!
   
 2. N

  Nhundu Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nonses
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wewe ndio unahamasisha mauaji kama ya rwanda wewe.acha bange za kuvutia uchochoroni ambako hauonekani kisha zinakuja kukuumbua hadharani
   
 4. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,731
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mpumbavu. Nani kakwambia GOP ni kama CCM? Kama wewe ni pro-Obama/Democrat usije leta hizi siasa mbuzi kwenye ishu ya USA.

  CCM ni CCM. Ona jinsi ulivyo shallow kisera GOP ni "adui" kwa CCM.

  Halafu hivi huwa mnakuwa mmevuta nini? Yeah, ninyi ambao huwa mnaandika hizi diarrhea.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Matatizo ya kunywa uji wa dengu
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Kama wahandishi wenyewe ni wa Category ya Maggid Mjengwa unategemea wataripoti nini? ila hapa JF Maggid Mjengwa alituletea hizo porojo za Nyololo tumemkimbiza hapa na hajakanyaga tena mguu hapa.
   
 7. a

  adolay JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Palipo na ukweli tuuseme ukweli. Na nimakosa makubwa kuubadili ukweli kwa propaganda na kuwahadaa watanzania.

  Umenena vema mkuu na umekemea vema upotoshaji unafanywa kwamakudi.
   
 8. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ccm ni janga la kitaifa kiukweli.
   
 9. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  EWE CHAKUBANGA 'Reagan':
  Hata jina lenyewe la ku-copy tu hujui umekosea!! (unaajita Ronal) badala ya Ronald Reagan! Shame on you[SUP]1[/SUP]!
  Katika Hoja nzima wewe ni GOP tu umeona ya kusimamia? Useless mind, na baseless![SUP]2[/SUP] Na ktk hoja hapa sijataja GOP ya USA (REPUBLICAN), nimemaanisha OLD USELESS PARTY[SUP]3[/SUP].
  Of course GOP ya USA, haiwezi kusapport CCM ya WEZI watupu, na CCM haiwezi kusapportiwa na Chama Chochote cha au taasisi yoyote ya wenye akili timamu, labda tu watu kama wewe ambao wameshapoteza matumaini ya uhai wao na wa nchi yao.!
  NAJUA UKWELI UMEKUUMA SANA...JITAHIDI UNYWE TINDIKALI (Conc H[SUB]2[/SUB]SO[SUB]4[/SUB] ) unaijua hiyo? Na sidhani kama unaweza hata kuyasoma maneno yaliyo ndani ya mabano (Conc H[SUB]2[/SUB]SO[SUB]4[/SUB] ), maana nahisi wewe ni kilaza wa KEMIA na Sayansi kwa ujumla wake sawa tu na kakaako Nchimbi! Nadhani sio siasa tu huijui, bali kuwepo kwako CCM ni njaa! unafuata kuvizia 'mkono wa mwananchi udondoke' ushibe kama CCM wote walivyo, maana ndio DHULUMA hiyo inayokulisha wewe na wenzako kwa jasho la umma! Ndio maana umekuja kwa lukipuka kwa Jazba kwa kuumia ulipousikia UKWELI WA CCM KUPOTOSHA NA KUITUMIA POLISISIEMU KUUA na kubadilisha UKWELI! NO MORE USELESS MIND! TO HELL!
   
 10. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Coward and illogical mind....!
  HAKUNA CHA RWANDA, UDINI WALA UKABILA HAPA! Acha ukilaza, fikiria vyema! Tofautisha Hoja ya kujadili na kupepesa maneneo bila mchango! Bange wanavuta wanaotuma Polisi kuua raia na polisi wakakubali pasipo kufikiria ndani ya familia yake yupo kaka,dada, mama, baba, watoto nk. na wengineo ambao tatizo kubwa likitokea wao ndio waathirika wa kwanza na sio polisi 'watumwa'!

  Think harder...This is a Thinkers Panel, na sio Porojo!
   
 11. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni wazoefu sana kwa mambo hayo kwani hata fedha zilizoibiwa katika ununuzi wa radar sasa hivi wamezibatiza jina la chenji ya radar badala ya rushwa.
   
 12. D

  Deo JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umesema kweli. Ukweli mtupu. Ukweli mchungu ndio maana wana shambulia

  Lakini hawataki kukuelewa.

  Je katika vyama vyao hawaangalii haya na kuonyana? Au ni mbele kwa mbele, liwalo na liwe!

  Makosa kama haya huwadhalilisha zaidi kwa umoja wao na huwafanya rahisi kunulika. Angalau kama ni wa Udaku au wa sisiemu wanaeleweka.
   
Loading...