Nape na Mwigulu Nchemba wako kijiji cha Nkinga-Igunga leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na Mwigulu Nchemba wako kijiji cha Nkinga-Igunga leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuchasoni Kuchawangu, Sep 12, 2012.

 1. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mwigulu Nchemba leo anatarajia kuanza mkutano wake hapa Nkinga hivi sasa Nipo uwanjani kuwaletea kila kitu.endelea kufuatilia.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Je ni maandalizi ya uchaguzi mdogo au ni kuimarisha chama!!!
   
 3. B

  Baba Kimoko Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huko walikula nyama ya mtu. walinyea kambi. kama kuna mtu yupo karibu nao awaambie wanapoteza muda.
   
 4. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mbona Mwigulu alilalamika sana kwamba wabunge wengine kutoka majimbo mengine walivamia jimbo lake la Iramba na kuendesha kampeni za kisiasa! atuambie sasa yeye huko Igunga ni kwake?
   
 5. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hiki chama kwisha sasa,watu walioongoza vurugu,mauaji na matendo ya kihuni na kusababisha chama chao kipoteze kiti cha ubunge mahakamani,wanatumwa tena Igunga?!
   
 6. B

  Baba Kimoko Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwigulu hamnazo
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,839
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Hiviii CCM bado wapo kweli, wale chama cha upinzani baanaaaaaaaa siku izi, kulalamika kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi utadhani TLP
   
 8. K

  KINUKAMORI Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu fuatalia mkuu utupe newz, wanafanya nini na je waandishi watakua salama? :bolt:?
   
 9. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  "Ni ujinga kudhani kuwa unaweza kutumia nguvu ile ile,watu wale wale na kupambana na tatizo lili lile ambalo kwa kutumia nguvu ile ile na watu wale wale ulishindwa kulitatua"
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Tuambieni kama kuna ubwabwa tuanze kujongea, tukipiga mpunga tu tunaanza kutawanyika.
   
 11. s

  shenchonge Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa tufahamishe yananayoendelea
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee babaaangu u2pe picha mkuuu umesema mwigulu na pepi watakuwepo igunga???
   
 13. papason

  papason JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Waache wajipendekeze pendekeze tuu, kivumbi kikianza tuna wa overtake kama wamesimama!
   
 14. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nyimbo za Komba zinapigwa na vikundi vya akina mama wanaimba watu ni wachache sana.Ninashindwa namna ya kutuma picha mtaalamu wa kutuma picha kwa simu anisaidie.natumia nokia200 Asha.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Hakuna taarifa zozozte za kiitelijensia za kuwepo uvunjifu wa amani ili huo Mkutano upigwe marufuku na Jeshi la Magamba?
   
 16. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hali ni swari kabisa watu bado ni wachache sana.wanaJF nisaidie namna yakutuma picha kutumia simu niwaletee hapa jamvini.
   
 17. Confederate Spy

  Confederate Spy JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uwezo wa Nape ni mdogo kisiasa.
   
 18. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  jiandae kwa matusi......
   
 19. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
   
 20. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Toka ónline piga picha nyinginyingi, zisave kwenye images yaani kwenye phone memory af ufungue mtandao unapo post utaona sehemu imeandikwa attachments. Bofya hapo kuna sehemu inakuja browse fungua hapo utaona folder la images unachugua moja moja unaupload. Zitakuwa online.
   
Loading...