CHADEMA, msiidharau ADC... Take it from me! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, msiidharau ADC... Take it from me!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Sep 11, 2012.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanabodi,
  Mpangilio wa rangi za chama kipya kilichopata usajili wa kudumu cha ADC unafanana kwa kiasi kikubwa sana na ule wa bendera za chadema.

  Hata wakati anakipatia usajili wa muda, msajili wa vyama vya siasa alilitanabaisha hilo ila akasema anasubiri chadema walalamike ili kuangalia uwezekano wa kuwaambia ADC wabadilishe rangi hizo. Hadi sasa chadema ipo kimya kuhusu suala hilo.

  Nionavyo mimi, kuna uwezekano mkubwa sana bendera ya ADC imekuwa designated hivyo ilivyo kwa makusudi mazima na wala si bahati mbaya.

  Baadhi ya sababu zaweza kuwa hizi:
  1. Kupata umaarufu kupitia mgongo wa chadema ambayo kwa sasa ipo juu katika medani za siasa nchi. Kwamba utakaposema bendera ya ADC imefanana na ya chadema, automatically utakuwa umeitaja na hivyo kuifanya isifutike kirahisi kwenye midomo na vichwa vya watu.

  2. Kuleta mkanganyiko wa makusudi.
  Kwa first impression ni vigumu kuitofautisha bendera ya ADC na ile ya chadema hasa kwa watu ambao ni "colour blind". Impact yake itakuwa kwenye chaguzi. Mtu anaweza akadhani ameipigia kura chadema kumbe kaipigia ADC. Kama chadema itaendelea kukaa kimya basi itarajie madhara makubwa sana katika eneo hili.

  Kwa kuwa inawezekana kabisa uanzishwaji wa ADC ni "mkakati maalum", basi chadema isikae kimya hata kidogo. Ni lazima chadema ipeleke malalamiko yake kwa msajili ili ADC ibadilishe rangi zake. Kama chadema wataendelea kukaa kimya basi wasishangae kuona nguvu kubwa wanayotumia kujenga chama kumbe wanawafanyia watu wa chama kingine bila kujijua.

  bendera ya chadema
  [​IMG]

  bendera ya ADC
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  well said kiongozi and point noted!
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Watanzania hawafuati bendera
   
 4. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  CCM-D! Karibu ktk siasa za Tanzania
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja! Cdm wafanyie kazi hilo swala.
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kuna pointi hapo :spy:
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CHADEMA waliacha rangi zao za asili na kuchukua zile za CUF, viwavi nyinyi hamkusema lolote!
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mchele mmoja mapishi mengi. Hizo rangi tu mpangilio tofauti.
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna watu hawajui kusoma ila wanaweza kukitambua chama kwa bendera na rangi zake. Si vema kuwa na vyama ambavyo bendera zake zinashabihiana kwa karibu mno.
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe na hili la bendera ya ADC ni mkakati maalum wa Tendwa.......maana yangu mimi mwananchi wa kawaida anaijua CHADEMA vizuri kuliko ADC
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watu wanalichukulia hili jambo simpo simpo tu...
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post.
   
 13. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo ya TENDWA
   
 14. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuwezi kupeleka kwa msajili maana hatufanyi naye kazi kiofisi kwa sasa!
   
 15. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bendera hii itawachanganya wananchi siku ya upigaji kura
   
 16. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hii sasa kali, Mnataka haki miliki ya Rangi Nyekundu na Nyeupe, hahaaaa, mtakuja kusema Simba nayo inatumiwa, Nyie hizo rangi pia mtakuwa mmezitoa kwa wazee wa Mchakamchaka Chinjaaaaaaa!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kwani bendera hufuata upepo. Kadhalika alama ya V hainakiliki, so wa cdm watabaki kuwa wa cdm tu
   
 18. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Cdm iwe makini na ninawashauri waendelee kukaa kimya kama wamemwagiwa maji baridi sababu kukilalamikia chama kisichokua hata na mjumbe wa nyumba kumi ni aibu.

  Kwa maono yangu huu ni mkakati maalumu wa kufanya cdm waachane na mabo yao kama m4c na kuanza malumbano yatakayodhohofisha utekelezaji wa mikakati ya chama.

  Cdm inafahamika zaidi kwa alama ya "v" kuliko hata rangi zake na ninashauri picha za uchaguzi zimuonyeshe mgombea wa cdm amevaa gwanda maana kwa sasa nayo ni ishara ya kiongozi wa cdm
   
 19. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ondoa shaka ndugu,... Alama ya CHADEMA ni ''V'' na vazi lake ni 'GWANDA'
   
 20. maghambo619

  maghambo619 JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  hili jambo co la kupuuzia ndugu!, hii nimeshaiexperience mimi mwenyewe. Mimi ni mkazi wa keko niko karibu kbs anapoishi katibu mkuu wa adc bw limbu. Siku moja nilivaa skafu ya chadema nikawa napita nayo mtaani, ndugu flan wakaniuliza, eti hyo ni skafu ya adc au chadema? Kiukweli inabidi 2kubali kua hizi rangi zinachanganya na chadema lazima walione hili kua ni tatizo 2cwe 2kawa 2nachota maji kwenye tenga.
   
Loading...