Uhuru wa maoni ya wananchi kutengeneza katiba mpya yapo wapi?

paul vicent

Member
Jul 13, 2012
44
4
NASHANGAA KUONA KABLA YA WATU WA TUME YA KATIBA KUFIKA ,ZINAGAWIWA MIONGOZO YA MAPENDEKEZO YA KATIBA MPYA TENA IKIWA IMECHAPWA NA MWANASHERIA WA SERIKALI,JE HII NI HAKI KWA RAIA AMBAO WANA MAONI HURU NA YENYE TIJA KWA TAIFA LAO?MAONI YANGU; kungewekwa utaratibu wa kugawa katiba ya zamani kwa raia kabla ya tume husika kuja,na si kugawa mapendekezo ya mtu tena aliyepo kwenye system ambayo ina utata,hii ni kwa kuleta usawa,Mapendekezo haya ya mwanasheria wa serikali ,Jaji WALEMA yangewasilishwa kwa tume husika na si kwa wananchi kwani na wao wana ya kwao wanayotaka kuwasilisha
 
Back
Top Bottom