1.Kati ya watu wanaokadiriwa kufikia 20000000 waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010,takribani watu 12000000 hawakupiga kura!
2.Siyo watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 na zaidi walijiandikisha kupiga kura
3.Wote waliokuwa na miaka 13 mwaka 2010 watakuwa na miaka 18 mwaka 2015 hvyo watakuwa na sifa ya kujiandikisha kupiga kura.
Swali langu ni Je!matukio ya mauaji,uongozi mbovu wa kitabaka na kupeana,matusi majukwaani,ufisadi ndani ya chama na serikalini,udini mnaopandikiza ndani ya watzania,ukandamizaji wa demokrasia na mengineyo mengi ndiyo njia mliyochagua kuwashawishi haya makundi ili yaweze kuwakubali 2015?
KAZI MNAYO 2015!