Naomba kuelimishwa hapa
Baba wa Taifa mwl JK Nyerere kuhusu ubadhirifu mbona hakuonekana kulisimamia saana kama Waziri mkuu wake mh Hayati Edward Moringe Sokoine.
Je hakuwa mpiganaji saana...
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amezitaka nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kupambana na makundi na kuwalipua wala rushwa na wapokeaji kwa kuwachukulia hatua.
Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar...
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea...
Aliyevaa skafu na kofia katikati ni Asenga Abubakar mwenyekiti wa wanaccm wa vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam akiwa na wagombea wenzake kabla ya kuingia kwenye usaili wa nafasi wanazogombea...
Written by ibnially // 10/09/2012 // Habari // 6 Comments
Na Masoud ali
Waislamu nchini Zanzibar wamehimizwa kuwa na umoja na mshikamano katika kudai maslahi ya nchi yao. kwani umoja wa...
The Chadema National Chairman said failure by the government to take the steps to address the spate of killings and hold those responsible accountable, the opposition party will call for a...
SERIKALI YAFANYA MABADILIKO YA WAKURUGENZI NCHINI‏
Masoud Masasi,Dodoma
SERIKALI imefanya mabadiliko katika halmashauri hapa nchini kwa
kuwateua wakurugenzi wapya 14 huku ikiwavua...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 11/09/2012 // Habari, Matangazo // 3 Comments
MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR KUKUTANA NA WANANCHI WAISHIO UK
Jumuiya ya ZAWAUK kwa kushirikiana na...
Nimesoma habari kutoka sources tofauti kuwa TBC1 wanaandaa kipindi maalum cha kuiponda CDM, ikiwa ni pamoja na kutoa siri za viongozi wa CDM,Kwa mtazamo wangu,kabla ya kufanya wanachopanga kufanya...
John Billy Tendwa,Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,amegeuka mwanasiasa wa chama cha Mapinduzi. Tendwa,mhitimu wa Shahada ya Kwanza ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,hatumii vyema...
CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa Mwangosi
Views
TAWI LA UK
CHADEMA TAWI LA UK LACHANGIA HARAMBEE YA KUMSAIDIA MJANE WA MWANGOSI
Tawi la chadema UK jana walijiunga na wanaharakati wengine...
SERIKALI ilihalalisha ada iliyoliwa na chuo, ada kutoka HESLB-mikopo kwa wanafunzi kisa/sababu hawajasaini vitabu,
1. ilichuguza ukweli huo?
2. kawambwa/Serikali awe makini na S.mlacha vs...
Ndugu wanajamvi, kama mnavyojua ni takribani miezi miwili imebaki kukamilisha miaka miwili ya awamu ya pili (ya miaka mitano) ya raisi wa JMT, Mh J. M Kikwete.
Kwa maoni yangu ni jambo la busara...
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM), umesema hautasita kumuengua mgombea yeyote atakayebainika kutumiwa na makundi yanayodaiwa kuwania urais ndani ya chama hicho mwaka 2015.
Katibu Mkuu wa Umoja huo...
Jamani wana JF najiuliza TZ tunaelekea wapi na rasilimali zetu!!! Ile hofu ya mungu na uelewa kwamba kila aishiye ataonja mauti imepotea kwa wanasiasa wetu..! Nchi imegeuka pango la walowezi na...
Kigoma North Member of Parliament (MP), who is also the shadow Minister for Finance, Mr Zitto Kabwe said in an opinion paper to congratulate the decision by the Minister for Energy and Minerals...
TRL
Treni hizi zitasimama kwenye vituo sita (6) vifuatavyo:
Stesheni ya Dar es Salaam, Kamata, Buguruni kwa Mnyamani, Tabata Matumbi, Mabibo na Ubungo Maziwa. Kila treni itakuwa na mabehewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.