Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

''Mheshimiwa'' Dr. Hamisi Kingwangalah ameendelea kuwa katika wakati mgumu katika jimbo lake la Nzega. Hivi karibuni afisa uhamiaji wa wilaya ya Nzega aliwakamata Wanyarwanda ambao hawakuwa na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa Jemadari wa CCM Selaman Jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete Mnyika wa CHADEMA kwa kuwasilisha muswada kuhusu fao la kujitoa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kifo cha kujitakia cha aliyekuwa kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow kimeonyesha kuwa Tanzania inatumia sheria kibaguzi. Baada ya Barlow kuawa kutokana na kinchoonekana kuwa wivu...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Tumeshuhudia mjini zanzibar cuf wakiwahamasisha wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mchakato wa katiba mpya kuzunguzia muungano wa mkataba,na zanzibar kumekuwa na makongamano tofauti ambayo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
WASIWASI umetandakuwa huenda kuna watuwanataka kumuuwaSheikh Farid. Hiyo ni kutokana na kile kilichojiri hivi karibuniambapo watu waliokuwakatika gari walifukuza gariyake na kuipiga risasi...
1 Reactions
124 Replies
14K Views
Ajabu PCCB hawaoni haya mambo Rushwa yavunja uchaguzi CCM Pwani Send to a friend Wednesday, 17 October 2012 21:40 Na Julieth Ngarabali, Kibaha TUHUMA za kushamiri kwa vitendo...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Malawi and Tanzania have disagreed over their border since independence Malawi's President Joyce Banda has asked the African Union to intervene in the country's border...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni habari katika Tanzania daima la leo Afya ya Spika yazua utata na Ratifa Baranyikwa KUNA taarifa za kutatanisha kuhusu afya ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, ambapo inadaiwa...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Haikumbukwi ni lini mara ya mwisho JK alikwenda Visiwani kama ziara ya kutembelea maeneo yaliyo chini ya utawala wake. Kwa nini anaogopa kwenda Visiwani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chama cha ADC kimekumbwa na mgogoro mkubwa baada ya wanachama na baadhi ya viongozi wake kuandika barua kwa msajili wa vyama vya siasa nchini na kusema hawamtambui Hamad Rashid kama mlezi wa chama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zilizotufikia hapa ni kwamba siku ya jumapili saa2 asubuhi,Rais wa watanzania,mheshimiwa wetu WILBROAD SLAA atawasili katika mji wa kakola ulio mita 500 kutoka mgodi mkubwa wa dhahabu wa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Huyu mama kama ni karata bas naona anacheza na Queen of Spade. Intel niliyonayo tayari advance team ya jamaa watu wa Chevron kwa kupitia mgongo wa jamaa wa CIA wako on the ground kwa kisingizio...
11 Reactions
54 Replies
6K Views
Masako yuko hewani, karibuni muangaliewageni yuko shekhe mmoja, prof lwaitama wameanza kwa kuweka , recorded ya mwalimu alipokuwa akizungumzia maswala ya udini na ukabila mambo ya watanganyika wao...
0 Reactions
117 Replies
9K Views
Makamanda siukubahatika kusikiriza hotuba ya Ester wassira kwenye mdaharo uliofanyika kwenye ukumbi wa Nkuruma siku ya kumbukumbu ya kifo cha MWL. Nyerere. Tafadhari kama kuna mtu anayo basi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
viongozi wa ccm wamelete katiba lakini bado ni ndoto ya watu kuweza kusema wanacho kitaka kama wazanzibar hawataki muungano wache waseme ikiwa uamsho au nani sasa kutia fitina za kidini au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna uhusiano kati ya kudai uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar na ukristu! Serikali ya muungano na CCM si chama cha/serikali ya wakristu na wala wakristu hawahusiki kwa namna yeyote na madai ya uhuru...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Matatizo makubwa kwa sasa hapa kwetuTz ambayo ni kuliko MALARIA+HIV ni; 1. Mahusiano ya karibu kati ya chama cha kisiasa na dini (CUF + WAISLAMU) 2. Udini (ambao kiuhalisia haupo, ila wasomi...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Omani Women’s Day celebration at ROHM Thu, 18 October 2012 MUSCAT — Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania, his wife and the accompanying delegation attended yesterday the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bado Bunge linapeleka hii mambo ya Pension Kidhaifu dhaifu Hawa wabunge inatakiwa waone kuwa kuna hatari Hii serikali imekuwa onevu sana. Wamechakachua Huduma za afya, wao wanaenda kutibiwa...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Maandalizi ya halaiki kwa ajili ya sherehe za kuzima mwenge yaliigharimu serikali kiasi cha shilingi milioni mia moja (mil 100). Pamoja na kugharimu kiasi hicho cha fedha ni dhahiri kuwa wanafunzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom