Rais wa tanzania kuwasili bulyanhulu jumapili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa tanzania kuwasili bulyanhulu jumapili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir M.D.Andrew, Oct 18, 2012.

 1. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari zilizotufikia hapa ni kwamba siku ya jumapili saa2 asubuhi,Rais wa watanzania,mheshimiwa wetu WILBROAD SLAA atawasili katika mji wa kakola ulio mita 500 kutoka mgodi mkubwa wa dhahabu wa bulyanhulu,watu wana hamu na shauku,kuna ujumbe wa aina mbalimbali unasambazwa hapa ili kufanya maandalizi ya kumpokea rais wetu,hata hivyo kuna tetesi kuwa meneja wa mgodi ametoa rai kwa wafanyakazi kuwa yeyote atakayeshindwa kufika kazini atachukuliwa hatua maramoja,habari za uhakika kutoka ndani ya mgodi zinasema kuwa wafanyakazi kupitia uongozi wao wamesema wako tayari kufukuzwa kazi,kwa upande mwingine wananchi wa kawaida wana hamu kumuona mheshimiwa slaa:niko maeneo hay nitawapa taarifa kadri zinavyopatikana,pia nitatuma picha za matukio yote-karibuni bulyanhulu
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Nchi yetu ina rais mmoja tu ambaye ameapishwa kututawala hadi 2015. Nchi zenye marais zaidi ya mmoja ni kama DRC ( rais mteule; Tchisekedi na M23!
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mods ondoa hii kitu
   
 4. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu, inawezekana tukawa tunampenda sana Dr. W. Slaa, lakini bado si Rais, ...kama Jamhuri ya Muungano tunaye Rais mmoja(Mh. JM Kikwete)..ni vizuri tukamheshimu hata kama hatumpendi, mkuu.

  Then, katika Mada..nadhani si vibaya hata huko migodini wakihamasishwa na pia kero zao kusikilizwa kwani Serikali yetu "sikivu" ndiyo imesikiliza na kutatua kero hadi mwisho!
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  viva our new presidar!
   
 6. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Usimchulie mabaya padre wetu.. watu 'Watamchacha wangwe' kabla ya kututumikia vya kutosha...Urais kwa kupitia chama hicho una wenyewe na wewe unawajua; ndio maana msukosuko humkumba mwanachama yeyote anayewazia kuuwania kupitia jamvi hilo!
   
 7. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mods muko likizo habari ya uchochezi kama hii bado inapeta tu
   
 8. MchukiaUonevu

  MchukiaUonevu JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wakati mwingine unaweza usiamini kama posts nyingine huandikwa na watu au robot..Of course ni mtu kaandika hii!! Mapenzi na mtu hadi dung unaita keki.!
   
 9. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu ndiye rais ninayemjua mimi,huyo mwingine unamjua wewe...rais vasco da gama..karibu rais wetu bulyanhulu wa kwao yuko nje kupanda farasi
   
 10. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sasa mkuu, kila mtu akiandika Rais(ambaye yuko madarakani ki-KATIBA) tutafika?!!
   
 11. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hehehe..nzuri sana hii..hasa hapo kwenye robot, na mwishoni!
   
 12. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  dah! inakera!
   
 13. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rais ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje!unamtetea rais wako sioni ajabu...achana na hii post kama inakukera nenda kasome ya zanzibar walivyochinjana
   
 14. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Hii post itawaliza wengi,mimi rais wangu ni dr w.slaa.!
  ! Huyo anayekula tende na kuvutwa a vitoroli vya farasi ni wenu
   
 15. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli, watu wanaanza kurumbana juu ya nani rais halali kwa mtizamo wangu slaa ni rais wa watanzania halafu kikwete ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania!
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndiyo matatizo ya kuwa na rais wa nec badala ya rais wa mioyo ya watu. Maoni ya Katiba bado haioni ni tatizo.
   
 17. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  tih tih tih tih tih
   
 18. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona Tenga naye ni Rais? Marais ni wengi kama walivyo madaktari!
   
 19. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kwa nini mkuu?
   
 20. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hivi katiba inaruhusu rais kuishi na mke wa mtu bila ndoa?
  Nyie mpeni kichwa tu kama hawa kum chacha wangwe, cdm inawenyewe walio iunda na wanao toa fedha zao kuigharamia.
   
Loading...