Tulianza na watu kutekwa,vyombo vya habari vinavyotetea wananchi kunyanyaswa vikifungiwa,wananchi kuuawa kimnyama na then Malawi kuivimbia serikali yetu,yote hayo ni matukio ambayo serikali...
Tarehe 16 & 17 october 2012 zitakuwa ni za kukumbukwa katika historia ya siasa za vyama vingi katani hapa.
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo amefanya mikutano mikubwa kila kijiji...
Imeandikwa na Waandishi Wetu, Dar , Bagamoyo
Jumanne, Oktoba 09, 2012 09:37
Fukuto kubwa limeanza ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, kutokana na baadhi ya...
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliye karibu na vyanzo vya mahakama ni kwamba ile hukumu ya rufaa ya lema itatolewa tar 29/10/2012.
Nazidi kufuatilia na nitazidi kuwapa taarifa kadri...
KEYNOTE ADDRESS BY H. E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DURING THE TANZANIA – OMAN BUSINESS FORUM, MUSCAT, OMAN 16th OCTOBER, 2012
H.E. Khalil Al...
MTOTO wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere amesema taifa linayumba kutokana na viongozi wengi kutumia nafasi zao kujilimbikiza mali kutokana na kukiuka miiko ya uongozi iliyoasisi na Mwalimu Julius...
Mrisho mpoto alisema katika moja ya mashairi katika wimbo wake mmoja "Mtoto akililia ndege inayopita angani baba humwambia asubiri kwanza itue akamletee ingawa anajua kwamba hata baiskeli...
ingependeza akawa anaenda sana nchi za Asia akawatembelee South East Asia, India, China, Russia na kadhalika ili kuwepo balance of power. Si nchi imehodhiwa na nchi za west.
Katka kile ambacho hata mm ckutarajia kukisikia kutoka kiongozi mkubwa kama Manumba n kauli yake ya jana wakati wa kukumuaga marehem Barlow kua watalipiza kisasi kwa yeyote aliyehusika!....
kama...
Pale suwanga timu ya klampeni ni kama Arumeru,mawakala kama Arumeru. Pia sasa hivi bendera chuma mlingoti chuma. Wewe fikiria ccm walipata kura 17328 na cdm kura 17132 walituzidi kura 196.Angalia...
SALAMU ZA CCM
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, alisema Kamanda Barlow alizingatia sana sheria katika utendaji wake wa kazi na alikuwa tayari kuitika wito hata kama ni usiku wa...
Naomba kuuliza wanajamvi wenzangu hivi hizi kata ambazo madiwani wake walikwishafukuzwa na chama siku nyingi na baada ya kesi zao kutupiliwa mbali na mahakama,hizo chaguzi hizo zitaitishwa lini...
Mbunge wa Jimbo la Hai mh. Freeman Mbowe amewatembelea wakazi wa Mtaa wa Lerai wilayani Hai na kuwakuta wakiwa kwenye kikao cha kupanga mkakati wa kujenga Darasa katika shule ya sekondary lerai...
Kiongozi wa Upinzani nchini Dr Wilbroad P.Slaa kesho anatarajiwa kuunguruma mkoani Shinyanga.Kiongozi huyo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA atatikisa katika mkutano wa kumnadi mgombea Udiwani...
Wanajamvi kuna yeyote kati yenu anaefurahia yanayoendelea Zanzibar?Kama hatua zenye busara hazitachukuliwa,kisiwa hiki kitapoteza hadhi yake kabisa.Nilichobaini wapo watu wachache sana wanye...
TUESDAY, OCTOBER 16, 2012
DIALLO MWENYEKITI MPYA CCM MWANZA, MABINA KUKATA RUFAA KUPINGA MATOKEO .....!!!
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, na mbunge wa zamani wa Jimbo la Ilemela...
Ok unataka Zanzibar huru fine! kuwatukana watu ambao wanakuzidi si umri tu bali hata uwezo wa kufikiri naona unavuka mpaka.
Jisomeeni wenyewe alichokiandika kwenye facebook wall yake na muone huyu...
Leo kuna barua nimeikuta ofisini kwetu ikijadiliwa na wakubwa, ni kutoka kwa mdau mmoja wa Nzega anayejiita Maganga Masanja amemwaga data za uraia wa Basha nimeisoma nikashangaa yaani mpaka mtu...
Kuhusu hili janga la udini CCM ndo wakulaaniwa,,walitumia mashek kama njia ya kuiangamiza CHADEMA..mnakumbuka yaliotokea Igunga na kwingineno..mliuasha moto wa udini muuzime sasa..mlijua dhambi ya...
Jana makamu wa kwanza wa rais Zanzibar Seif kasema na nilimsikia kwamba Wazanzibar wanayo katiba Yao kwa hiyo machakato wa Katiba hauwahusu ila tu waseme maoni Yao kuhusu Muungano.
Wadau hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.