Naitisha maandamano kupinga kuchomwa makanisa Zanziba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitisha maandamano kupinga kuchomwa makanisa Zanziba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frank m, May 28, 2012.

 1. f

  frank m Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna uhusiano kati ya kudai uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar na ukristu! Serikali ya muungano na CCM si chama cha/serikali ya wakristu na wala wakristu hawahusiki kwa namna yeyote na madai ya uhuru wa Zanzibar.

  Kitendo cha kuchoma makanisa ni ushambulizi wa wazi wazi dhidi ya UKRISTU, mashambulizi bila uchokozi. Unprovoked attack on Christianity!

  Naita maandamano ya amani kwa wote wanaoamini katika uhuru wa kuamini bila kujali kama ni wakristu, waislamu, wahindu au wayahudi kupinga mashambulizi haya dhidi ya ukristu.

  Haya ni mashambulizi dhidi ya uhuru wa kuamini!
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nakuunga mkono! Kilichofanyika ni uhuni.
   
 3. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  na sisi wazee wa ulabu inabidi tufaje maandamano yasiyo na ukomo............!
   
 4. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Tuambie lini? wapi nani atatupokea japo ingependeza JK akatupokea, usije ukawa unapiga tu porojo. Huu ni uhuni kabisa, udai Znz huru ndo ubomoe makanisa?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  kaombe kibali polisi
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nime shaanza kuandamana kupinga "Boko-Haramu" kuchoma Makanisa Zanzibar. Ntaendelea kuandamana kwa maombi mpaka kieleweke!
   
 7. Mibas

  Mibas JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,534
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Kuandamana? Nenda Syria
   
 8. kalwani

  kalwani Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naungana na wewe
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Biblia imefafanua mengi, kuhusu siku za mwisho kuwa shetani atakuwa kazini kupambana naMungu. Hivi watu ambao wanajiita wanampenda mungu huku kila mmoja ana jini unategemea nini! Majini hayapendi kabisa kusikia jina la Yesu.
   
 10. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Lini,wapi na muda gani??. Kibali unacho?? Km huna kibali siji..virungu ctaki.
   
 11. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono mkuu, kaombe kibali polisi na waandamaji watajitokeza.
   
 12. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nami nakuunga mkono.
   
 13. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Maandamano hayo yataongozwa na chama gani?
   
 14. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wala una haja ya kuandamana hizo ni madrasa zimeanza kutoa wakufunzi.
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, leo walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na kusomewa mashitaka ya uzembe, uzururaji na uvunjifu wa amani

  Shitaka jengine walilosomewa mahakamani chini ya Hakimu Mohammed Ali Mohammed Shein hapo ni pamoja na kufanya mkusanyiko usivyo halali ambapo Mbarouk Said Khalfan (45) Mkaazi wa Taveta Meli nne na Mussa Juma Issa (57) Mkaazi wa Makadara wote wakaazi wa Mjini Zanzibar.

  Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar TA

  DUH. KUMBE TAFAUTI TULIVYORIPOTIWA NA VYOMBO VINGI VYA HABARI.
  Vurugu hizi hata waumini wa kikiristo walihusika?
   
 16. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi nakuja na wenzangu wote
   
 17. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chama cha Uamsho na Fujo.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  yataongozwa na mchungaji msigwa?
   
 19. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono aisee.
   
 20. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiambiwa umelewa mbuzi katoliki povu litakutokamdoni kama umemeza sabuni ya unga!
   
Loading...