nguvu bila ya maarifa hazisaidii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nguvu bila ya maarifa hazisaidii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdul 28, Oct 18, 2012.

 1. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  viongozi wa ccm wamelete katiba lakini bado ni ndoto ya watu kuweza kusema wanacho kitaka kama wazanzibar hawataki muungano wache waseme ikiwa uamsho au nani sasa kutia fitina za kidini au kukamata watu bila hatia itasaidia nini sasa viongozi wa tanganyika munayo yachochea zanzibar basi hayo yatakuja kwenu mwanzooHatari ya Mfumo Kristo Tanzania part 4 - YouTube
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  pelekeni watoto wenu shule acheni ujinga..
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Huu mfumo kristo si tanzania peke yake ni dunia nzima.
  Ukiendesha gari ni mfumo kristo,ukipokea mshahara mwisho wa mwezi ni mfumo kristo,ukiwasha umeme ni mfumo kristo,ukitumia internet ni mfumo kristo,ukihesabu miaka ni mfumo kristo.

  Jamani hakuna haja ya kupigana na kivuli chetu.
   
 4. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Sioni facts, nadhani anaongea na watu ambao uelewa wao wa mambo uko chini sana, chini sana chini sana.
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Peleka watoto shule wapate elimu,maisha magumu eehh!! Vunja mifupa kama meno ipo!
   
 6. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  bora ukose mali upewe maarifa
   
Loading...