Kipima joto ITV: Kauli ya Mwalimu Nyerere juu ya maswala ya udini na ukabila

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
Masako yuko hewani, karibuni muangaliewageni yuko shekhe mmoja, prof lwaitama wameanza kwa kuweka , recorded ya mwalimu alipokuwa akizungumzia maswala ya udini na ukabila mambo ya watanganyika wao wazanzibar .....
 
Una haraka kupost,ati sheikh mmoja,HATA Humjui Sheigh salum,shekh mkuu wa dar? Huna idea na current affair hata?
 
shekhe anafunguka, anasema kuna chembe chembe za udini kati yatu, anasema udini ni hari ya mtu kumnyima mtu haki yake kisa ni dini tofauti na wewe, lakini anasema kama mtu anaililia dini yake au anaipenda dini yake huo si udini, anasema mtu apewe kazi kwa sababu ya uwezo wake wala si kwasababu ya dini yake
 
Mkuu lama, asante kwa kuweka jina sawa, nashukuru tuendelee kuwajuza wasio kuwa karibu tv zao
 
Thanks commited
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum anatoa ufafanuzi wa udini. Kwamba udini ni kumnyima mtu fursa kwasababu ya utofauti wa dini/imani yake na yako pamoja na kwamba ana uwezo na vigezo.
Anasema ukabila ni kidogo sana lakini udini bado unashamiri.
 
Last edited by a moderator:
Thanks commited
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum anatoa ufafanuzi wa udini. Kwamba udini ni kumnyima mtu fursa kwasababu ya utofauti wa dini/imani yake na yako pamoja na kwamba ana uwezo na vigezo.
Anasema ukabila ni kidogo sana lakini udini bado unashamiri.

Eeh tata Maranya, huyu sheikh Musa Salum ni mmoja ya viongozi wa dini nnaowaheshim sana, he ia very rational. Huwezi ukamfananisha na wahuni kama anayejiita Ponda!
 
Last edited by a moderator:
Sheikh anaoneka ni mzuri wa Elimu Ahera! .Ila ana Busara sana kama marehemu sheikh Gorogosi anafaa kuwa mrithi wa MUFTI.
 
Huyu sheikh huwa namkubali, nadhani atakuwa amekwenda shule ya maana ndo maana huwa siyo mtu wa kulalama. Anaongea facts tu!!!!!
 
aisee kuna majitu manafki.... sheikh anaongelea issue ya udini vere sensitive wakati wao ndo wadini namba moja
 
Aliongea sana aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Shekh mkuu wa mkoa wa Dar salaam ni mmjawapo wa mashekhe ninaowakubali sana tzz, ni tofauti na wale uchwara.
 
Huyu mzee Darus Abeid anakumbusha kisa cha mwalimu Nyerere kukemea udini mwaka 1958 pale alipomkemea mjumbe wa kamati kuu ya TANU sheikh Takadir hadi wananchi wakasusia duka lake lililokuwa kariakoo.
Nimekumbuka masimulizi ya sheikh Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Eeh tata Maranya, huyu sheikh Musa Salum ni mmoja ya viongozi wa dini nnaowaheshim sana, he ia very rational. Huwezi ukamfananisha na wahuni kama anayejiita Ponda!

Kumfananisha Sheikh Salum na Ponda ni kumkosea adabu. Sheikh Salum ni kiongozi mahiri nadhani watu wengi tunakubaliana katika hili, na hata wasiokuwa waislamu bado wanamkubali sana.
 
Namkubali sana Dr Lwaitama ni (Gwanji).

unamaanisha nini mkuu, unaponena ni "gwanji". Maana udogoni nilipata tumia aina fulani za sabuni zilikua zinaitwa hivyo. Watu wa hali ya chini sana ndo'tulifaidika nazo sana.
 
Back
Top Bottom