Taarifa nilizozipata hivi punde ni kwamba waziri Mansoor Himid (CCM) ambaye alikuwa waziri asiyekuwa na wizara maalum, ametimuliwa uwaziri na Rais wa Zanzibar Dr Shein.
Kisa cha kutimuliwa ni...
To H.E. President J. M. KIKWETE
United Republic of Tanzania
IKULU, MAGOGONI – Dar es Salaam
Dear Mr. President,
I thank you for reading my previous letter on the Lake Nyasa and its...
Viongozi wawili wa vyama vya cdm na ccm katika wilaya yambeya mjini juzi waliingia katika malumbano kila chama kudai msiba huounakihusu.
Msiba huo ulikua wa mama mmoja anayefahamika kwa jina...
Ndugu wana jamvi, kwa kila mtu anayependa amani, uhuru na mshikamano ambao umekuwepo kwa kipindi chote tangu tupate uhuru, hakika ataanza kujiuliza mara mbilimbili ni wapi tumeteleza nawapi...
Ni afadhari anayethubutu na kuanguka mara kumi na kuwaumiza watu mara mia kuliko yule asiyethubutu hata mara moja,kwani huyu atawaumiza watu milele.Ndivyo unavyoweza kuanza namna hiyo kuelezea...
Hawa tunawaita watu poli lakini ni watu ambao pamoja na umaskini unaowazunguka hawataki kupitwa na usasa uliopo mjini, je, ingekuwa ni utawala wako mtu aliyeweza kubuni kitu hiki ungemfanyia nini?
ukweli utabaki kuwa ukweli!
ni wazi kuwa kada wa ccm haruna masebu, ambaye ni mkurugenzi wa ewura yuko kazini kisawa sawa, masebu ambaye akiwa mkufunzi wa chuo cha ardhi wakati ule, alikuwa pia...
Ni miaka mingi sasa imepita tangu kuanzishwa kwa mamlaka ya ustawishaji makao makuu Dodoma – CDA (Capital Development Authority) huku ikipewa majukumu ya kupanga, kuratibu, kuustawisha na...
Imefikia wakati sasa hii serikali yetu tunayosema sikivu iwe inatekeleza majukumu yake kwa uhalisia na kuachana na mambo ya propaganda. Swala la kupandikiziana chuki za kidini limechochewa pia na...
Ni bint mdogo mno lkn mwenye ujasiri wa pekee,Changamoto aliyoitoa kwa jamii ktk kumtetea mtoto wa kike apateElimu si ya kubezwa hata kidogo,lakini hasa ukizingatia pia mazingira magumu...
Tuliwahi kuandika hapa jamvini kuwa mwishoni mwa siku ZITo ataibuka mshindi, someni nnipashe leo. sakata la wale wabunge wanaotuhumiwa kula rishwa sasa ni wazi limefikia mwisho, na badala yake...
Katika taarifa ya habari leo saa mbili usiku STAR TV wametangaza kuwa kampuni ya magazeti ya serikali TSN inayochapisha Daily News na HabariLEO imepata hasa ya shilingi bilioni 19 na hayo...
Yani hii s..t inaitwa Gangman style inatisha, 10 million views per day hata hatuelewi jamaa anasema nini! PSY - GANGNAM STYLE @ Summer Stand Live Concert - YouTube imeshika ni noooma
Heshima kwenu wana JF.
Nimepata kufatilia mijadala inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani kwa bahati nzuri nikashawishika kutambua yafuatayo
Huwezi kuwa Rais wa Marekani kirahisi kama...
Na Ally Saleh,
Kuna taarifa nyingi za kuwa Rais wa kwanza Abeid Karume hakuwa mstahamilivu kwa wakosaji wake na wengi wa hao walipotea na hawakujuliana hadi leo. Baadhi ya waliopotea ambao...
Nimestaajabia kuona Bahama, ikiwa imejazwa maduka makubwa kwa madogo ya Tanzanite, mengi ya maduka niliyoyashuhudia pale Nasau na hata Free Port yamejazwa madini safi ya Tanzanite katika ukubwa...
Take your time, let us think critically
Wana JF ni wazi sasa Taifa liko njia panda, linaumwa, linatikiswa na udini, ukabila, ukanda, ukosefu wa uzalendo,wizi wa rasilimali za Taifa, utendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.