GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Tumeshuhudia mjini zanzibar cuf wakiwahamasisha wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mchakato wa katiba mpya kuzunguzia muungano wa mkataba,na zanzibar kumekuwa na makongamano tofauti ambayo yanaelimisha muungano wa mkataba ,muungano huu ni kuirudisha zanzibar hadhi yake kimataifa na kitaifa,kuwa zanzibar huru.
Jee chadema ambao walikuwa wakijidai kuwa wanaipenda Tanganyika mbona wako kimpya ? Hata katika uchaguzi ulio pita waliweza kuchukua majimbo mengi kutokana na sera yao wa serikali tatu.
Cha kushangaza katika mchakato huu wa katika wameshindwa kuhamasisha kurudishwa kwa Tanganyika au Jamuhuri ya Tanganyika ,na pia kuwahamasisha wananchi kuchagua muungano wa mkataba ?
Hapa kuna ulakini na chadema kwa sera zao,inaonekana wao wenyewe wanazikwepa. Au JK kawapa fupa ili kulinyamazia hili suala,munaikumbuka hutuba la TUNDU lissu katika bunge alivyo uchana muungano huu wa kisaniii ?