Dr. Kingwangalah awa ‘‘pirton’’ kwa Ridhiwani Kikwete

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,095
103,345
''Mheshimiwa'' Dr. Hamisi Kingwangalah ameendelea kuwa katika wakati mgumu katika jimbo lake la Nzega. Hivi karibuni afisa uhamiaji wa wilaya ya Nzega aliwakamata Wanyarwanda ambao hawakuwa na kibali cha kuingia nchini, kutokana na uvunjifu huo wa taratibu za uhamiaji, Dr. Kingwangalah aliingilia na kutia nguvu katika kuhakikisha sheria zinachukua mkondo wake. Ajabu ni kwamba Dr.Hamisi alipokea ujumbe mkali toka kwa Mtoto kipenzi cha rais aitwaye Ridhiwani Kikwete kuwa aachane na hao Wanyarwanda, ni watu muhimu sana kwake. Dr. Hamisi alitii agizo hilo haraka sana…………..Wananzega wamekuwa wanamdhihaki mbuge wao, na wameonelea kuwa kuna haja ya kuongozwa na Kamanda toka M4C
My Take: Maskini Dr.Kingwangalah
 
Huyo jamaa toka abainike kuiba jina la Hamis Andrea, hana amani ya kweli moyoni. Anaishi kwa matumaini, anaogopa kuwakorafisha akina Riziwani wasije wakammwaga na kutoa hadharani madudu yake ambayo wanamlinda nayo mpaka sasa.
 
''Mheshimiwa'' Dr. Hamisi Kingwangalah ameendelea kuwa katika wakati mgumu katika jimbo lake la Nzega. Hivi karibuni afisa uhamiaji wa wilaya ya Nzega aliwakamata Wanyarwanda ambao hawakuwa na kibali cha kuingia nchini, kutokana na uvunjifu huo wa taratibu za uhamiaji, Dr. Kingwangalah aliingilia na kutia nguvu katika kuhakikisha sheria zinachukua mkondo wake. Ajabu ni kwamba Dr.Hamisi alipokea ujumbe mkali toka kwa Mtoto kipenzi cha rais aitwaye Ridhiwani Kikwete kuwa aachane na hao Wanyarwanda, ni watu muhimu sana kwake. Dr. Hamisi alitii agizo hilo haraka sana…………..Wananzega wamekuwa wanamdhihaki mbuge wao, na wameonelea kuwa kuna haja ya kuongozwa na Kamanda toka M4C
My Take: Maskini Dr.Kingwangalah

Viwanda vya kufua uongo ndio kama hivi.
 
Hivi huyo RIdhwan ni kama nani na anaifanya Hii Nchi kama yake mali yake ila Mshenzi siku zake zitafika M***** mkubwaa huyo
 
Jamani pamoja na kwamba mimi si kipenzi cha Kigwangala lakini kwenye sakata hili napenda kusema kama mfumo wa kisheria unazingatiwa mbunge hana wajibu kabisa wa kuingilia masuala ya uhamiaji, labda nikiri kuwa mfumo umekufa kila mtu anafanya lake ajuavyo........UDHAIFU
 
Sasa hapa mbona sioni "upiriton" wa Kigwangala hata kama uongo uliouandika nitauchukulia kuwa ukweli?
 
Source please, kabla sijachangia!!!

Chanzo ni mimi mwenyewe niliyepata taarifa hii toka kwa wadau tukiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na then nikapata comfirmation toka kwa afisa huyo. Ndo maana naendelea kuiweka kama tetesi mpka nitakapo pata supporting documents
 
Viwanda vya kufua uongo ndio kama hivi.

Chanzo ni mimi mwenyewe niliyepata taarifa hii toka kwa wadau tukiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na then nikapata comfirmation toka kwa afisa huyo. Ndo maana naendelea kuiweka kama tetesi mpka nitakapo pata supporting documents
 
Jamani pamoja na kwamba mimi si kipenzi cha Kigwangala lakini kwenye sakata hili napenda kusema kama mfumo wa kisheria unazingatiwa mbunge hana wajibu kabisa wa kuingilia masuala ya uhamiaji, labda nikiri kuwa mfumo umekufa kila mtu anafanya lake ajuavyo........UDHAIFU

Mkuu ni kweli kabisa, na mimi hoja yangu hapa ni kuwa mbunge ana wajibu wa kama Dr.K aliona sio busara utaratibu wa sheria kuvunjwa(kuhakikisha jimbo lake linakuwa salama), iweje ajitoe kuhakikisha hili baada ya ujumbe wa Riz
 
JK+RIDH.jpg
 
Chanzo ni mimi mwenyewe niliyepata taarifa hii toka kwa wadau tukiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na then nikapata comfirmation toka kwa afisa huyo. Ndo maana naendelea kuiweka kama tetesi mpka nitakapo pata supporting documents

Acha uhuni,unadhalilisha tu majina hayo uliyojibandika ya wachezaji wa simba
 
Nimeipenda post ila umeimaliza kwa ushabiki wa wazi mno ambao inabidi niwe na mashaka na post nzima
 
''....... Hivi karibuni afisa uhamiaji wa wilaya ya Nzega aliwakamata Wanyarwanda ambao hawakuwa na kibali cha kuingia nchini, kutokana na uvunjifu huo wa taratibu za uhamiaji, Dr. Kingwangalah aliingilia na kutia nguvu katika kuhakikisha sheria zinachukua mkondo wake. Ajabu ni kwamba Dr.Hamisi alipokea ujumbe mkali toka kwa Mtoto kipenzi cha rais aitwaye Ridhiwani Kikwete kuwa aachane na hao Wanyarwanda, ni watu muhimu sana kwake. Dr. Hamisi alitii agizo hilo haraka sana…………..
Kwani mbunge ndo anafanya uhamiaji wafanye kazi zao? Kwa hiyo huyo Afisa Uhamiaji wa Wilaya aliacha sheria ibezwe kwa vile Kigwangala kaufyata kwa Kikwete juniour?
 
Back
Top Bottom