Mgogoro na Malawi: CIA NA Chevron wako ndani ya Malawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro na Malawi: CIA NA Chevron wako ndani ya Malawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by the circus, Oct 10, 2012.

 1. t

  the circus Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mama kama ni karata bas naona anacheza na Queen of Spade.

  Intel niliyonayo tayari advance team ya jamaa watu wa Chevron kwa kupitia mgongo wa jamaa wa CIA wako on the ground kwa kisingizio cha kufanya mazungumzo juu ya uwekezaji

  Lakini kutokana na iterinary yao ni kuwa watatembelea makao makuu ya jeshi la Malawi, watakwenda kutazama hilo ziwa na jamaa wa Chevron lakini ukitazama list ya hao waliokuja toka US ni wazi hawa si wawekezaji bali these guys are in a war mode na mama naona she wont give up easily.

  Sie bado tunatishwa hata kujenga barabara kule serengeti na NGO za Kenya, Je hawa jamaa wa Chevron wakianza kufanya vitu vyao tutawaweza?
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Sijakuelewa
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  sie tuna Mungu
   
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Source please!! ila mama banda hawezi kuachia ZIWA lake kwa dhaifu.
   
 5. S

  Shembago JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesomeka kidogo funguka zaidi!
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mkuu jazia nyama hii thread yako ili ieleweke. mia
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  na hawa jamaa itakuwa ndio wanajua ni kwa nini ramani zote zinazoonekana huko 'duniani' ukiondoa hii ya kwetu tuliyotoa juzi zinaonyesha ziwa lote likiwa Malawi.
  wamefanya timing ya uongozi uliopo na unaona jinsi tunavyojichanganya tayari. ziwa liko most likely kupotea
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  hata mie intels zangu zinasema jamaa wa GAZPROM wapo na KGB kwa ajili ya kuangalia uwekezaji na wako na waziri wa viwanda na biashare pia wako na waziri wa nishati wanatembelea maeneo ya namtumbo na watapita kucheck chanzo cha maji toka lake nyasa na ule mto unaopeleka maji ziwani wanadhani ikiwezekana watau-divert upeleke maji maeneo watakapoanzisha visima vyao in-case mama atachukua ziwa ili uwekezaji wao usikose maji....

  siwezi kutoa source za intels zangu coz they are still on the ground naweza kuwaletea matatizo.
   
 9. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii habari ina uzushi ndani yake mara KGB, mara CIA mara Chavron. Acha uoga pigania haki yako! Huu ni wakati wa kuleta wawekezaji wetu watuchimbie gas na mafuta mpaka katikati ya ziwa
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,613
  Trophy Points: 280
  :A S-coffee:
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  Raisi wao anaweza kufanya maamuzi magumu,
  wetu anachekacheka na kusema eti UPINZANI ndio unataishia vita.
  Muda huu angekuwa kisha kimbilia China na Urusi kuomba waingilie kumsaidia kupata utatuzi wa mpaka wa ziwa KYELA
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Malaria inapaanda weee inapungua, inapanda weeee inapungua!
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180

  Udhaifu wa huyu Vasco ndio unatuponza!!! Inaelekea huyu mama anataka kumpa kichapo huyu DHAIFU ili aongeze kukubalika kwake kwa wananchi wake kwenye uchaguzi wa urais ujao!!
   
 14. T

  Tetra JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kama umeninöng'oneza sikioni peke yangu,,hebu rudia kidogo
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ataliachia tu lol
   
 16. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,917
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Hujaelewa nini?
  [Chevron=CIA]+Malawi =Preparation for war!
  Mafuta lake Nyasa
   
 17. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Marekani hata wakihongwa na Malawi hilo ziwa hata siku moja hawachochea au kuingilia hiyo vita. pigana kinyama bila uoga wa waiswasi.
   
 18. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni taifa huru lenye misingi imara iliyojengwa tangia uhuru wake. Taifa hili linajivunia umoja wake, nguvu kazi yake, na ushirikiano wake mzuri na mataifa mengine yakiwemo majirani zetu. Kwa hiyo katika hii vita, aingie Mmarekani na Muingereza, ni lazima tutawahsind tu. Najua tunasupport ya Mugabe moja kwa moja.
   
 19. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  MI nawasiwasi dhaifu aliisha chombeza kwa yule mama, kwanini anajiamaini hivyo? Isije ikawa naye huwa anaongea na dhaifu akiwa hana nguo?
   
 20. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Utumbo mtupu hapa; bure kabisa!!!!!!!!!
   
Loading...