BBC News - Malawi 'refers lake border dispute with Tanzania to AU' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC News - Malawi 'refers lake border dispute with Tanzania to AU'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Luggy, Oct 18, 2012.

 1. L

  Luggy JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 2,114
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Malawi and Tanzania have disagreed over their border since independence


  Malawi's President Joyce Banda has asked the African Union to intervene in the country's border dispute with Tanzania, state media has reported.

  The southern African nation broke off talks with Tanzania earlier this month over the border on Lake Malawi, which is potentially rich in oil and gas.
  Malawi disputes Tanzania's claim to half the lake - Africa's third biggest.
  It has accused Tanzania of raising tension by allegedly intimidating Malawian fishermen on the lake.
  Last year, Malawi awarded oil exploration licences to UK-based Surestream Petroleum to search for oil in the lake, which Tanzania calls Lake Nyasa.
  In July, Tanzania asked the company to postpone any planned drilling.
  [​IMG]
  Journalists warned Mrs Banda asked the AU to help resolve the dispute in talks with its chairman, Benin's President Yayi Boni, the Malawi Broadcasting Corporation reports.
  After Malawi withdrew from the talks with Tanzania, Mrs Banda said she would refer the dispute to the International Court of Justice for a ruling.
  The neighbours have disagreed over their border since independence, but tension escalated last year amid reports that the lake had vast oil and gas reserves.
  Meanwhile, Malawi's Information Minister, Moses Kunkuyu, said the government would not tolerate journalists who used their freedom without exercising "responsibility".
  He was reacting to the arrest of of a journalist who reported that Tanzania's ambassador to Malawi, Patrick Tsere, had been expelled because of the border dispute.
  The government dismissed the report as a fabrication.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  A non-starter move ...!!!!
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mara Waziri wa Mambo ya Nje anatuambia wataanza mazungumzo Oktoba 27 mara Joyce Banda anasema ataipeleka Tanzania ICJ, Mara waziri wake wa mambo ya Nje anasema watapeleka malalamiko UN apatikane msuluhishi. Mara leo amekuja na kali anasema ataenda AU. Binafsi naona wamalawi wanaogopa kuujadili huu mkataba Anglo-German Treaty au famously known as Heligoland Treaty. It appears walijiona wao ndio washindi na Ziwa Nyasa lao but it turn out wameingia mchomo kwani huo mkataba unasema ijapokuwa wakoloni wamekubaliana but wananchi wanaoishi pembezoni mwa ziwa nyasa ndio wanasauti ya mwisho. Swali je ni lini Tanzania (Tanganyika) na Malawi walikaa chini na kukubaliana hicho kitu ati Ziwa Nyasa lote ni la wamalawi?

  Nachokiona sasa Banda she is looking for support from the International Community na everywhere she goes anakuta JK na Membe ameshapita. Tunamtakia kila la kheri ila mwisho wa siku atarudi meza ya majadiliano. Na binafsi yangu nawapa pongezi JWTZ waendelee kujipanga maana huyu mama ni kigeu geu hachelewi kubadilika badilika. Ni vema jeshi likawa tayari kwa lolote. Vile vile mipaka yetu ni paramount akitokea mtu akachezea ni wa kupiga iwe fundisho kwa wengine. Hivyo waendelee na mazoezi ya kupasha moto kama wachina na wajapan wanavyofanya kule Diaou Island.
   
 4. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,058
  Likes Received: 4,630
  Trophy Points: 280
  Hawa ni kupiga tu.... Ndio watashika discipline.... otherwise they won't...!!!
   
 5. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Lazima watanzania, na hasa viongozi kwa niaba ya wananchi, waonyeshe kwa maneno na vitendo kuwa wana dhamira ya dhati ya kulinda mipaka yetu, likiwemo eneo la maji la ziwa Nyasa hadi katikati ya ziwa.
  Kwa hili waziri Membe ameonyesha uwezo. Rais Kikwete naye aache kuchekacheka na yule mama Banda.

  Watanzania kamwe tusikubali matakwa binafsi au udhaifu binafsi wa kiongozi aliye madarakani kwa wakati huu usababishe kuporwa kwa mpaka wetu. Akishindwa apishe wengine wanaoweza kuilinda nchi na mipaka yake.
  Mbona Mwalimu Nyerere aliweza kumkomesha mbabe Iddi Amin, hadi akasababisha 'regime change' huko Uganda?
   
 6. F

  Fenento JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Mdondoaji,Kwenye mchango wako umesema kuwa Mkataba wa Anglo-Gerama au Heligoland treaty umeeleza juu ya nafasi ya wananchi wanaoishi pembezoni mwa Ziwa Nyasa ndio wenye sauti ya mwisho mbali na makubaliano ya wakoloni. Je unaweza kutuwekea hapa jamvini huo mkataba au link ya sehemu ambayo tunaweza kuusoma vizuri kulingana na maelezo yako.
   
 7. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wameahirisha ICJ? Huyu mama anatangatanga tu kama siyo raisi. Angalia mama wakameruni watakusumbua sana ukosane na sisi dungu zako.
   
 8. epson

  epson JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 508
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hii issue inaweza kutupeleka kwenye vita, juzi wakati natoka A town kwenda mafinga nilipofika Ipogolo kama majira ya saa 12 jioni kuna mwanajeshi mmoja alikuja kuomba lift akidai kwamba anaenda songea, alisisitiza ni lazima aripoti songea usiku huo huo, kwasababu kulikuwa na nafasi kwenye gari nikamwambia twende kwa sharti kwamba sifiki songea naishia mafinga, akasema okay akifika mafinga atatafuta usafiri mwingine. on the way tukajikuta tunazungumzia suala la mgogoro wa tz na malawi. alinipa full story juu ya huu mgogoro na jinsi tz ilivyojinadaa kuhakikisha kwamba haichukuliwa na malawi, lakini pia alinieleza dhumuni hasa ya safari yake na umuhimu wa kufika songea usiku ule. siwezi paste all information here maana zaweza wasaidia maadui zetu, but generally speaking ni kwamba lolote laweza tokea kama malawi watakaidi warnings walizopewa na tz ikiwa ni pamoja na kuvuka mpaka au kuendelea kufanya utafiti wa mafuta upande wa tz.
  mchana huu jamaa yangu wa mbeya anasema ndege mbili za kijeshi zimeelekea mpakani na malawi, zimefuatiwa na ndege nyingine mbili majira ya saa 7 hivi. mi na huyo jamaa yangu tumepanga kwenda matema beach so tunajitahidi kufuatilia hali ya usalama ikoje na kama ni unsafe tutacancel.in case kuna useful updates nitapost
   
 9. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mmmh wanasumbua hadi nawaonea huruma wapuuzi hawa.
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu Feneto,

  Upo Jamvini huo mkataba hebu upitie katika thread ya Dispute border between Tanzania and Malawi.
   
 11. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Pamoja na hayo yote, ni kweli mafuta yapo tena mengi na gesi ipo nayo ni nyingi sana, upande wa ziwa wa tanzania ndiko kwenye hizo rasilimali na upande wa malawi hakuna kabisa!
   
 12. M

  MALKIA WA DUNIA Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyojua, huyu mama ameamua kulishikia hili suala kidedea kwa sababu ndio turufu yake ya kurudi madarakani baada ya huu muda wa mpito kuisha. Anataka kuwaonyesha watu wa malawi kuwa yeye ni jike la ukweli linaloweza kupambana na midume iliyolegealega.
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ndo maana malawi wanalitaka kwa nguvu zooote!
  BARAKA ZA MUNGU KWA TANZANIA IMEKUWA LAANA!
   
Loading...