Maandamano ya wafanyakazi kushinikiza Bunge litengue sheria ya Mafao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya wafanyakazi kushinikiza Bunge litengue sheria ya Mafao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jul 26, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Bado Bunge linapeleka hii mambo ya Pension Kidhaifu dhaifu

  Hawa wabunge inatakiwa waone kuwa kuna hatari

  Hii serikali imekuwa onevu sana.

  Wamechakachua Huduma za afya, wao wanaenda kutibiwa India

  Sasa wameona mterenko, wameingilia mpaka chumbani.

  Watanzania tunangoja nini tena...?? Ama nitaje hapa halafu Mods wanipige ban?

  Maandamano ya wafanyakazi wote wa sekta binafsi na Umma ni Muhimu.

  Serikali hii imechoka sana, waondoke tu.

  Tupange mikakati ya Maandamano jamani.

  Kulalamika tuu kila siku bila kuchukua hatua ni kama kipofu.
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Duuu Tanzania kumepoozaaa. Wafanyakazi tuungane
   
 3. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huu ni upepo utapita. Duh, umepita kweli
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  aisee ni muhimu sana! Hii serikali imeshakufa zamani sana!
   
 5. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Maandamano muhimu tena iwe mapema kabisa, cha msingi hapa ni kukubaliana tarehe
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Titembee Dar Hadi Dodoma.
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Serikali ya Mabwepande imetumaliza. Jamani nani ameona masharti ya NSSF kukopa kupitia SACCOS??

  Jamani wafanyakazi tuungane vipi, tumekaa kimya saaana.

  Zile mesage za upendeleo kwa viongozi wa vigogo tulitumiana vizuri. Nilituma message 45.

  Sasa tuanze message nyingine kwa ajili ya madai ya NSSF.
   
 8. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tuvunj TUCTA kwanza, wamelala.
   
 9. k

  kausha Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Shida ni kutojiamini lini wafanyakazi wa tanzania waliandamana kudai maslahi yao? waambie kuadamana MEI MOSI au Kuzima MWENGE utawapata
   
Loading...