Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tulisema kwamba hawa walikuwa ni watu wenye njaa wakitafuta nafasi ya kula. Walianza akina REDET ya Benson Bana. Pole pole! Baadaye ikazuka Synovate. Wote wakijinadi ni watafiti lakini theme yao...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.Kauli hiyo ya Dk...
5 Reactions
391 Replies
28K Views
Huu ni mkutano wa kumnadi mgombea wa CDM wa udiwani katika kata ya Mwawaza ulioongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbroad Slaa.Kumbuka huu ni mkutano tu katika mojawapo ya vijiji vya kata hiyo.
12 Reactions
40 Replies
6K Views
Tokea itokee kadhia ya Kudhalilishwa Qur'an na kupelekea kuchomwa na kuharibiwa kwa kamanisa na misikiti huko Mbagala , Tz. Kumekuwa na matamko mbali mbali yaliokuwa yanatolewa na Viongozi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo siku ya jumapili ya tarehe 21 kitakuwa na mkutano wa ndani na wanachama wake ambao utafanyika katika chumba kimojawapo cha kufanyia semina karibu na mabweni ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kutoka katika kikao chetu cha Kamati Ndogo ya Kuratibu Uchaguzi Mdogo wa Sumbawanga Mjini kilichoisha hivi punde. Kikao hiki kiliahirishwa kutoka jana kutokana na baadhi ya wajumbe kutumwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza kabisa naomba niwapepole watu wanaofanyia kazi maeneo ya Kariakoo maana siku ya leo ndo tumejua kwa nini watu wa Arusha ni Majasiri na hawaogopi mabomu ya machozi kwa sababu tu wameyazoea...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kutumia busara nyepesi nyepesi, hivi haya yote yanayotokea ikiwemo; kuuwawa kwa RPC mwanza, Kuchomwa kwa makanisa na mauajaji mbagala, vurugu za kukamatwa muhuni ponda, Vurugu zanzibar...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hatimaye jana mwenyekiti mpya wa ccm mkoa wa kilimanjaro alipatikana.mwenyekiti huyo mpya anaitwa IDDI JUMA aliyekuwa akichuana vikali na mbunge wa zamani wa TLP na baadaye kutimkia ccm na kuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kataa kubali; pigana bisha. Asilimia kubwa ya wanaofanya hizi fujo zinazoendelea kwa Zanzibar na Dar es Salaam ni wanachama wa CUF. Sasa viongozi wa CUF hembu waambieni waambieni wanachama wenu...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Ndg.WanaJF takribani miaka hamsini baada ya uhuru tumeshindwa hata kimojawapo kati ya haya: Kiuchumi, Kisiasa na kijamii(kiutamaduni). Kiuchumi: Mwalimu Nyerere (R.I.P) alijitahidi kukuza uchumi...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Ndiyo wakuu, heshima kwenu.. Katika kutimilika kwa usemi usemao "MJINGA AKIJITAMBUA ,MWELEVU UPO MATATANI " hali si nzuri upande wa ccm katika kampeini zinazo endelea nchi nzima za uchaguzi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi hii hata kama hujasoma, lakini ukibahatika tu kua mwanasiasa tayari umaskini bye bye. Mbunge wa jimbo moja (simtaji) Hakubahatika kusoma hata kuandika wala kusoma English hajui ila analipwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Busara ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Katika kusoma kwangu falsafa kwa muda mrefu nimekumbana na maandiko mengi sana yanayohusudu busara na kuipa thamani ya juu kabisa kuliko kitu...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Waziri mkuu Pinda amefanya ziara isiyokuwa na miguu wala kichwa nchini Uingereza. Akiwa huko alipata habari za uwepo wa mkutano wa wanachadema uliongozwa na Wenje amabye ni mkurugenzi wa mambo ya...
8 Reactions
73 Replies
8K Views
Kuna kila dalili ya kile tulichokuwa tunakiona kwenye nchi za kiarabu kukiona Zanzibar kwa sasa. Serikali isipochuwa hatua kwa sasa,UN wata impose no 'tear gas zone' maana baadae itaonekana madai...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, amemtaka Spika wa Bunge, Anna Makinda, kutumia madaraka na mamlaka yake kutangaza kwa umma kamati nyingine ya kudumu ya Bunge itakayoshughulikia...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Katika kile kinacho ashiria kuwa mwisho wa utawala wa ccm unafikia mwisho, viongozi na makada wengi wa ccm wame ona kuwa matumizi ya nguvu, vitisho na unyanyasaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi huyu tangu achaguliwe kuwa meya wa Ilala kashafanya yepi ya kubadilisha hili jiji? Maana mie humwona Runway, Mafian Lounge na kule kwenye baa ya Rose Garden anauza sura tuu lakini la...
3 Reactions
126 Replies
14K Views
Back
Top Bottom