Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Zanzibar amwachisha kazi Mh Mansoor Yussuf Himid Rais wa zanzibar Dr.Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amemwachisha kazi Waziri...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa mwendo huu wa tume na mambo ambayo watanzania wa kiu ya kuyasema kuhusu huu muungano tunatengeneza tanzania ingine ya kusadikika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau leo katika kipindi cha inside Africa, ndani ya kituo cha CNN, mmoja wa wadau waliokuwa wanafanyiwa interview ni Ismail Jussa, anasema Zanzibar lazima irudishiwe sovereignty yake iliyopotea...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kikwete apingwa • Ashauriwa kudhibiti mfumo badala ya kutajana na Edson Kamukara Tanzania Daima SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete, kuwataka wananchi kuacha kulalamikia...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
CDM kata ya mtibwa inachanga mbuga balaa,ipo chini ya kamanda Aly Bananga na pia Alikuwepo Mh Cecilia Paleso. Leo wamefanya mkutano kambini kwa wavunaji na wamechangiwash elfu 80. Hali inakwenda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
inasemekana mtoto wa mkulima anayejiita hivyo anamiliki hisa kunako kampuni ya sumry kwa kiasi kikubwa sana kupitia kampuni moja hiv iliyoko arusha
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Tena publicly na kuonyeshwa live na TV ? tazama hapa chini: Theresa May trembles and tumbles over Raed Salah - YouTube!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHANZO cha Halmashauri ya Ngara kupata hati chafu kwa miaka miwili mfululizo imeelezwa kuwa imesababishwa na watumishi kufanya kazi kwa mazoea. Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Constantine Kanyasu...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa Tanzania, ambalo linatakiwa kukutana kila wiki kufanya tathimini ya Hali ya Usalama nchini huwa rais. Hali ya Ulinzi na Usalama ni mbaya wiki hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema mamlaka kamili ya Zanzibar yatapatikana kwa kila Mzanzibari kuhakikisha anaweka mbele mapenzi yake kwa nchi yake na kuweka...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Mara nyingi chama au kikundi chochote cha kijamii na hata timu za mpira huwa mashuhuri kutokana na mashujaa wake. Tunapozungumzia "mashujaa" hapa tunamaanisha watu wanaokifanya chama au kikundi...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni kwamba tunaendelea na harakati na mikakati ya kukomboa kata mbili za Ipole na Kiloleli ndani ya jimbo/wilaya ya Sikonge - Tabora. Haya yote ni kuelekea kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani ndani...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Chadema mbona hatuwaoni uku wilaya ya Manyoni kwani vijana tuko tayari kwa ukombozi na tunahitaji m4c ije iamshe hari kwa baadhi ya watu ambao bado wamelala. Uongozi wetu bado hauko sawa wapo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu wote heshima mbele, Kama tunavyojua miezi michache ijayo CHADEMA itaingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga. Ni muda muafaka tutafakari kwa pamoja na kumshauri...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
hivi ndivyo pilika pilika za kisiasa za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya DARAJA MBILI Arusha hali ya mwitikio wa wananchi wa eneo hilo katika kuja kusikiliza sera za vyama hivi vitatu...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Ukweli husemwa: Kwa miaka sita mfululizo, Mo Ibrahim foundation imekuwa ikifanya fahirisi katika nchi zote za Afrika katika maswala ya utawala ambapo mwaka huu imefanya utafiti katika nchi 52 za...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Katika hali ya kutaka kushindana na safari za Kikwete nje ya Nchi, sasa Chadema wao wamebuni njia mbadala za kutuma muwakirishi wao nje ya nchi kwa kupiga kambi huko na kutumia pesa nyingi za...
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Nyamagana wamevunja ukimya na kueleza kile kinachodaiwa ni mahusiano kati ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, na mwalimu...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
"Tunawahakikishieni tutawakamata waliomuua Barlow!" duh! Kama mna hakika kwa nini msiwakamate kwanza kisha ndio mtujuze? Kama mna uhakika, kwa nini mnakimbilia kutafuta msaada Interpol? Kauli...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakati makamanda wakuu wako huko kusini wakiendelea na ile ‘twanga kote kote' nasikiavyo hapa Dar makamanda wengine – Mabere Marando na Prof Safari le wametema cheche kali &#8211...
0 Reactions
114 Replies
12K Views
Back
Top Bottom