Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mwenezi wa CCM Taifa Nape Nauye, alisema wakati umefika kwa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara Zanzibar (JUMIKI) kufutwa na mrajisi wa serikali Zanzibar. Kwani kuwepo kwa kundi hilo kuna zidi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Salaam! A public servant is someone who holds government position, either by being elected or appointed. He is a person who serves you when you visit a government health facility; a person...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Robert UG says: I believe some of you will have come across this piece which has been floating around for sometime now via forwarded emails. Apparently its Genesis is an observation read on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wana Jf.Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa wenye ufahamu naomba mnijuze cos hizi ni nchi tajiri sana lakini naona misaada yao ni misikitini tu tofauti na nchi za ulaya ambazo zinatoa misaada...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Hivi kuna mtu anayo nondo aliyodonsosha Jenerali Jumatatu ya leo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Source AMKA NA BBC Kama kawaida yao Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kimelaani vurugu zilizotokea jana mara baada ya kukamatwa Kiongozi wa Uwamsho Sheik Farrid na kusema waliofanya fujo hizo ni...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
prof.lipumba yupo nchini ivory cost toka tarehe 16/10 kwa mwaliko wa rais wa nchi hiyo. Lengo kuu la kuitwa kwake ni kupanga mkakati wa kiuchumi utakaoisaidia ivory cost kukua kiuchumi.
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya...
5 Reactions
252 Replies
18K Views
Wakuu, Kuna vijana wengi hawana kazi, wanasubiri chochote kitakachotokea mtaani ili wachukulie faida (advantage), leo hii mimi nikitaka naweza kabisa kuwajaza ujinga vijana wa kimachinga...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pundits sceptical after Mo Index plaudits for Tanzania Sunday, 21 October 2012 11:49 By Sylivester Ernest The Citizen Reporter Dar es Salaam. As Tanzania basks in the glow of a...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Mtanzania yeyote mwenye nia njema na Taifa lake ana haki ya kusikilizwa, haijalishi ana sababu ya msingi au hapana. Lakini haiwezekani ku-compromise na mtu yeyote mwenye nia ovu lakini anakuja kwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau wa JF naomba msaada wenu, nahitaji kuonana na Profesa Mbwiliza aliyewahi kuwa Mkuu wa chuo cha CCM Kivukoni walipokuwa wananolewa makada wa CCM enzi zile za Mwalimu Nyerere. Nafanya...
4 Reactions
24 Replies
10K Views
Heshima mbele wanajamvi. Kwenye Mauaji ya kimbari ya Rwanda magwiji wa sheria wa International Community walibishana sana kuhusu kinachoendelea huko kama ni Genocide au Acts of Genocide! na ulinzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KATIKA HALI YA KUSHANGAZA VIJANA WAWILI WALIVAMIA MKUTANO WA CHADEMA KTK KATA YA DARAJA MBILI ULIOHUDHURIWA NA MAMIA YA WANANCHI KUTOKA MITAA YA SANARE, DARAJANI, JAMUHURI NA MITAA MINGINE YA KATA...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mada ipo hapo juu..Mgeni Mwalikwa ni Mukama. Mukama anasema CCM ina wanachama mil 6.2, Wajumbe Wa Nec sasa hivi 40% ni wafanyakazi 40% ni wafanya biashara wadogo wadogo. Kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajameni tangu zoezi la kuhesabu watu kumalizika Mi binafsi sijawahi kusikia idadi yetu tuko wangapi! Mwenye kujua hebu atuanikie hapa jamani! JF BOMBA!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamvi, nimekutana na ujumbe huu kwenye facebook. Sina hakika kama kuna ukweli wowote bali ninaomba kuuleta jamvini. Kama kuna anayefahamu authenticity yake labda atusaidie kufafanua. Binafsi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii. Kwanza atambue...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Tulijuwa na kweli imekuwa je tutegeme nini 2015 ni mawazo yangu binafsi nikiunganisha na mawazo ya wazee wetu waliokwisha tangulia mbele za haki. Taifa letu Tanzania ktk kipindi hiki linapita...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa ya utawala bora iliyotolewa na taasisi ya utafiti ya kimataifa ya Ibrahim Mo imemtaja Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuvunja record ya utawala bora kwa kuiingiza Tanzania kwa mara ya kwanza...
4 Reactions
89 Replies
8K Views
Back
Top Bottom