Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sophia Simba, amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), amekuwa akisemwa wakati mwingine kwa mafumbo kuhusu masuala ya mahusiano ya kimapenzi aliyopata kuwa nayo...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
Waziri wa Uchukuzi, Dr. Mwakyembe, amethibitisha kuwa anachakachua ripoti ya Tume aliyoiunda kuchunguzz tuhma za bandari baada ya kuwaambia waandishi wa habari kwamba leo ndio amepokea baada ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SUNDAY, OCTOBER 21, 2012 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika uwanja wa ndege mjini Quebec, Canada tayari kwa kuhudhuria mkutano wa 127 wa chama cha Mabunge Duniani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tunakubaliana kuwa Tanzania tuna kila kitu cha kuweza kutufanya tuwe engine ya maendeleo Afrika. Na tukijitahidi kuhubiri umoja tukiungana na DRC, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya na South Sudan...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
leo ndio leo ambapo wanachama wa chadema tawi la SAUT TABORA watakuwa na mkutano wao wa ndani utakaoongozwa na mwenyekiti wa mkoa wa chadema hapa tabora
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natangaza nia ya kugombea Jimbo la Longido (Arusha) 2015, kupitia CHADEMA maana Mbunge aliyepo hakuna kitu anafanya si maji, shule, wala bara bara. Wadau naomba support yenu
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawapenda wana JF wote wa jukwaa la Siasa,LAKINI SIKILIZA HAPA: KIDUM - KIMBIA (OFFICIAL HD VIDEO) - YouTube
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Igunga Dr. Dalaly Peter Kafumu kwa tiketi ya "Magamba"(CCM) ambae alivuliwa Ubunge na Mahamaa Kuu Kanda ya Tabora mwezi Agosti, 2012, pichani juu kulia, "amefumuka" kwenye...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Katiba itamuke wazi kuwe na taasisi maalumu za kuteua jaji mkuu na majaji wa mahakama kuu,kueua makatibu wakuu wa wizara,mkuu wa majeshi,polisi,magereza,wasiteuliwe na raisi,vilevile wenyeviti wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SIKU chache mara baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani wa Kata ya Mpepai iliyopo wilayani Mbinga na Mletele wilayani Songea mkoani Ruvuma zikiwa zimeanza, wafuasi wa Chama Cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
toka zaman enzi za chama kimoja umoja wa wanawake wa CCM wamekuwa wakiuuita umoja wao UWT sasa ni vyma vingi imefika mahali wauuite UWCCM Kama ilivyo UVCCM .INAUDHI mkiendelea kuita UWT
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Ndugu wana Jukwaa, heshima kwenu wote. Nimelazimika kuanzisha mada hii ili kujaribu kuwekana sawa katika vitu vidogo vidogo ambavyo tunakosea. Kwa muda sasa kumekuwa na chokochoke za mpakani kati...
17 Reactions
29 Replies
5K Views
Mtakubaliana nami kwamba wafanyakazi na wafanyabiashara wengine hapa Dar wanatokea mkoa wa pwani na kurudi kila siku kiasi kwamba imekuwa vigumu kutofautisha mikoa hii miwili. Wakati mwingine...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wale tuliowakabidhi jukumu la kulinda ama watu au Rasirimali zetu kuua Raia wasio na Hati, Askari wa wanyama Pori wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wamemuua kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Khabari za uhakika nilizozipata sasa hivi ni kuwa Sheikh Fareed asharudi na yu mzima wa afya. Nitazidi kukujuzeni Ni kweli huyu hapa akiingia nyumbani kwake usiku huu. Hapa ameingia ndani...
4 Reactions
388 Replies
42K Views
Mwenendo Kampeni za udiwani kata ya Lwenzera mkoani Geita jana zilichukua sura mpya baada ya kuwepo matukio yafuatayo: a. Vijana wa usalama wa ccm(redbrigade) jana saa 9 mchana walimteka kijana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imepiga marufuku mihadhara yote inayochochea vurugu za kidini na kutangaza kuwakamata wote wanaofadhili vikundi hivyo. Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali inayonishangaza watanzania ni watu wakalimu sana kwa watu wa mataifa mengine, mgeni anapokuja tanzania uwa anapewa heshima kubwa sana, tena wakati mwingine hata isiyostaili, tofauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari. Ameonya pia dhidi ya...
7 Reactions
206 Replies
19K Views
lazima muelewe hapa imetafutwa mbinu ili kupooza harakati za M4C.wanataka kutusahaulisha juu ya M4C. wanataka kuwaambia wananchi kuwa amani ya nchi iko katika hatihati,kama mnabisha tutasikia...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom