Miaka 13 ya CCM bila Nyerere... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 13 ya CCM bila Nyerere...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Oct 21, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mada ipo hapo juu..Mgeni Mwalikwa ni Mukama.

  Mukama anasema CCM ina wanachama mil 6.2,
  Wajumbe Wa Nec sasa hivi 40% ni wafanyakazi
  40% ni wafanya biashara wadogo wadogo.

  Kuhusu Rushwa:Hajaona mwanachama wala mgombea alielalamika kuhusu Rushwa..
  Kipindi Hamza hour kasongo
  Chanel Ten.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yaaani katika watu wote wa kukaa chini na kuongelea kuhusu miaka 13 bila nyerere wameamua kumueka huyo mzee masharubu...dayuummm
   
 3. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yani ktk muda wa kutokuwepo Mwl ni kwmb mimi ningetamani awe alipokufa na ccm naye ipotelee huko alipo!
  Chama hiki cha ccm ni pigo kwa Taifa tangu Mwl atangulie mbele ya haki!
   
 4. b

  blueray JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kujadili hili la Mukama ni kupoteza muda...
   
Loading...