VURUGU DAR & ZENJ: Terrorism au Acts of Terror?

Bouncer

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
344
247
Heshima mbele wanajamvi.
Kwenye Mauaji ya kimbari ya Rwanda magwiji wa sheria wa International Community walibishana sana kuhusu kinachoendelea huko kama ni Genocide au Acts of Genocide! na ulinzi haukupelekwa coz ilionekana ni "just" Acts of Genocide; matokeo yake wote tunayajua...
Zanzibar tumesikia maafande wawili tayari washauawa, makanisa yamechomwa na wakristu wameanza kukimbia from zenj. Hapa dar au Tz bara its almost the same story, mpaka JWTZ wameingilia.
Najiuliza kwa kinachoendelea Dar na Zenj na hasahasa Zenj ni Terrorism au ni "just" Acts of Terror? na ifike wapi ndo ijulikane kuwa sasa zenj kuna Terrorism?
Kuna issue ya Waislam wenye siasa kali (Muslim Radicals) ambao huwa ni hatari hata kwa moderate muslims; wao mara nyingi wanacreate mazingira ya kuogopwa na kila mtu (Islamphobia) kwani hawaogopi kufa. Uamusho wanafall kwenye kundi hili na tayari washawazidi kete SMZ. Tiba yao ni ipi once and for all?Tuishi kwa amani..
Tumeona Serikali za Uingereza na Marekani zikitoa maelekezo maalum kwa raia wao waliopo hapa nchini ku-take more precausion kwani mazingira yetu sio salama tena. Najiuliza wananchi hatuna amani, wageni hawana amani, wanaofanya haya mambo wengi wao wamekimbia majumbani mwao kuogopa kukamatwa! e.g Ponda alihamia msikitini, kwa maana hiyo hata yeye hana amani! Hivi hiki ni nini?

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
THE PREVENTION OF TERRORISM ACT, 2002

PART II
PROHIBITIONFOR ACTS OF TERRORISM
4(1)No person in the United Republic and no citizen of Tanzania outside the United
Republicshall commit terrorist act and a person who does an act constituting terrorism,
commitsan offence, unincorporated association or organisation;
(2) Aperson commits terrorist act if, with terrorist intention, does an act oromission
which;
(a)may seriously damage a country or an international organization; or
(b) isintended or can reasonably be regarded as having been intended to;
(i)seriously intimidate a population;
(ii)unduly compel a Government or perform or abstain from performing any act;
(iii)seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional,economic or
socialstructures of
countryor an international organization; or
(iv)otherwise influence such Government, or international organization; or
(c)involves or causes, as the case may be
(i)attacks upon a person's life which may cause death;7
(ii)attacks upon the physical integrity of a person;
(iii)kidnapping of a person,
(3) Anact shall also constitute terrorism within the scope of this Act if it is anact or
threatof action which;
(a)involves serious bodily harm to a person;
(b)involves serious damage to property;
(c)endangers a person's life;
(d)creates a serious risk to the health or safety of the public or a section ofthe public;
(e)involves the use of firearms or explosives;
(f)involves releasing into the environment or any part of it or distributing orexposing the
publicor any part of it to;
(i)any dangerous, hazardous, radioactive or harmful substance;
(ii)any toxic chemical;
(iii)any microbial or other biological agent or toxin;
(g) isdesigned or intended to disrupt any computer system or the provision ofservices
directlyrelated to communications infrastructure, banking or financial services,utilities,
transportationor other essential infrastructure;
(h) isdesigned or intended to disrupt the provision of essential emergency servicessuch
aspolice, civil defence or medical services;
(i)involves prejudice to national security or public safety, and is intended, orby its
natureand context, may reasonably be regarded as being intended to;
(i)intimidate the public or a section of the public;
(ii)compel the Government or an international organization to do, or refrain fromdoing,
anyact, and is made for the purpose of advancing or supporting act whichconstitutes
terrorismwithin the meaning of this Act.
(4) Anact which;
(a)disrupts any services;8
(b) iscommitted in pursuance of a protest, demonstration or stoppage of work, shallbe
deemednot to be a terrorist act within the meaning of this section, so long and solong
onlyas the act is not intended to result in any harm referred to in paragraphs,(a), (b), (c),
or (d)of subsection (3).

Yanayoendelea nchini hamna kifungu hapo juu kinachowatia hatiani?

kanisa-limechomwa2.jpg View attachment 68840 church36.jpg 3.JPG waislam wakiandamana-zanzibar..jpg
 
Heshima mbele wanajamvi.
Kwenye Mauaji ya kimbari ya Rwanda magwiji wa sheria wa International Community walibishana sana kuhusu kinachoendelea huko kama ni Genocide au Acts of Genocide! na ulinzi haukupelekwa coz ilionekana ni "just" Acts of Genocide; matokeo yake wote tunayajua...
Zanzibar tumesikia maafande wawili tayari washauawa, makanisa yamechomwa na wakristu wameanza kukimbia from zenj. Hapa dar au Tz bara its almost the same story, mpaka JWTZ wameingilia.
Najiuliza kwa kinachoendelea Dar na Zenj na hasahasa Zenj ni Terrorism au ni "just" Acts of Terror? na ifike wapi au kifanyike nini ndo ijulikane kuwa sasa zenj kuna Terrorism kwa watu wasio na imani flan flan?
Naomba nisaidiwe wana jamvi!

WOTE waliua POLISI kwahiyo NI TERRORISM... Kwahiyo Unajua Rais KIKWETE alisaign ANTI- TERROR Agreements
 
naombeni mniambie...hizi vurugu hazijaanza leo zimeanza siku nyingi...Rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania yuko wapi, waziri mkuu yuko wapi....waziri wa mambo ya ndani yuko wapi...hii nchi ina uongozi? kama haina kwanini tusipige kura kesho tutafute viongozi wa hii nchi? aibu gani hii nchi hivi hatuoni tunachekwa na kudharauliwa na nchi za jirani? Rais wetu ni mpole kiasi hicho mpaka hawezi hata kutoa maamuzi in the interest of national security? hivi leo shekhe afanye kosa la jinai akamatwe alafu aachiwe kwa sababu ya shinikizo la umoja wao hivi ndiko tulikofikia sasa hivi...so viongozi wa nchi mnatuambiaje..kwamba sasa kila mtu anunue bastola akae nayo ndani kwake....ama zao ama zetu sio? The President has to step down the government has to step down wameshindwa kuongoza hii nchi
 
Haya ni machafuko ya kisiasa si terror wala act of terror wala sio genocide, hivi hamjaona wanafunzi wa chuo kikuu wakigoma kwa ajili ya boom la mkopo wanavunja hata gari la Mhadhiri wao!!! ni namna tuu yakuonesha hasira zao!!!
 
Hivi kama ni kuna terrorism inaendelea kwenye ardhi ya Tz na Rais kesha sign Anti-Terror tatizo ni nini katika uchukuaji wa hatua madhubuti ili wananchi tuishi kwa amani!!?
By the way kwa sasa makanisa yote Dar yameimarisha ulinzi hasa nyakati za usiku, kumaanisha kuna terrorism going on nchini; Sasa hii sheria au huu mkataba wa anti-terror mbona hautusaidii!?

WOTE waliua POLISI kwahiyo NI TERRORISM... Kwahiyo Unajua Rais KIKWETE alisaign ANTI- TERROR Agreements
 
Haya ni machafuko ya kisiasa si terror wala act of terror wala sio genocide, hivi hamjaona wanafunzi wa chuo kikuu wakigoma kwa ajili ya boom la mkopo wanavunja hata gari la Mhadhiri wao!!! ni namna tuu yakuonesha hasira zao!!!

Hapo kwenye Red.. kama ni machafuko ya kisiasa kwa nini wanataget makanisa bhana?
 
Hivi kama ni kuna terrorism inaendelea kwenye ardhi ya Tz na Rais kesha sign Anti-Terror tatizo ni nini katika uchukuaji wa hatua madhubuti ili wananchi tuishi kwa amani!!?
By the way kwa sasa makanisa yote Dar yameimarisha ulinzi hasa nyakati za usiku, kumaanisha kuna terrorism going on nchini; Sasa hii sheria au huu mkataba wa anti-terror mbona hautusaidii!?

Yeah Umeona JESHI lilihusishwa na naona CIA; MI5 wametambulishwa
 
heshima mbele wanajamvi.
Kwenye mauaji ya kimbari ya rwanda magwiji wa sheria wa international community walibishana sana kuhusu kinachoendelea huko kama ni genocide au acts of genocide! Na ulinzi haukupelekwa coz ilionekana ni "just" acts of genocide; matokeo yake wote tunayajua...
Zanzibar tumesikia maafande wawili tayari washauawa, makanisa yamechomwa na wakristu wameanza kukimbia from zenj. Hapa dar au tz bara its almost the same story, mpaka jwtz wameingilia.
Najiuliza kwa kinachoendelea dar na zenj na hasahasa zenj ni terrorism au ni "just" acts of terror? Na ifike wapi au kifanyike nini ndo ijulikane kuwa sasa zenj kuna terrorism kwa watu wasio na imani flan flan?
Naomba nisaidiwe wana jamvi!
ni islamphobia imepiga hodi tz kwa nguvu sanaaaa
 
kama unataka msaada nenda kwa padri aliyekutuma umezoea kuona kila tukio la maandamano linalofanywa na waislamu basi ni ugaidi ila wakifanya wagalatia wenzenu unaona ni sawa
 
Punguza jazba yakhe!! kwani ugaidi mpaka yatumike mabomu na mlipuko ndo tukio lihesabike huo ni ugaidi? na unaweza kunambia vitendo vinavyoashiria ugaidi au tukio linalohesabiwa kuwa la kigaidi linakuwa na sifa gani?
 
kama unataka msaada nenda kwa padri aliyekutuma umezoea kuona kila tukio la maandamano linalofanywa na waislamu basi ni ugaidi ila wakifanya wagalatia wenzenu unaona ni sawa
WAGALATIA WAMESOMA issue ni nyie kina MWANGAJINI shule hamuendi,nabii wenu kafa hakufufuka basi nyie kuua ni kitu cha kawaida tena mna ua katika jina la MUNGU,ili waka msaidie jamaa kaburini kubeba mafurushi yake au,kilamtu atabeba mafurushi yake nani alimwambia a oe watoto? AYA BEBE TU.
 
kama unataka msaada nenda kwa padri aliyekutuma umezoea kuona kila tukio la maandamano linalofanywa na waislamu basi ni ugaidi ila wakifanya wagalatia wenzenu unaona ni sawa
padre hamtumi mgalatia kuchoma msikiti wala kukwapua vitu vya watu,tatizo magaidi wanatamani damu za watu hata mwanasheria wa shehena alipotaadhalisha magaidi wasiandame bado kiu ya damu ilikua kooni mwao,eti imamu mmoja mitaa ya magomeni alichezea bakora kisa kuwakataza magaidi wasiandamane,hii ni hatari.
 
Tukisubiri hali hii iendelee, tutaangamiza taifa letu. Wanaoshangilia mambo haya watashuhudia mwisho wake. Ma self ni muslim nasema yaliotokea yanaashiria ugaidi. Uislamu haujaanza leo, na hautakwisha.yanayofanyika muda huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine!
 
Kwa yanayoendelea hapa nchini ni total terrorism kama Sheria ya ugaidi ya JMT inavyotafsiri.

Back
Top Bottom