Mzanzibari asema: Wanavyotueleza watanganyika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzanzibari asema: Wanavyotueleza watanganyika!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngida1, Oct 21, 2012.

 1. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mtanzania yeyote mwenye nia njema na Taifa lake ana haki ya kusikilizwa, haijalishi ana sababu ya msingi au hapana. Lakini haiwezekani ku-compromise na mtu yeyote mwenye nia ovu lakini anakuja kwa kusingizia kutetea haki za......

  ZANZIBAR NI KWETU: WANAVYOTUELEZA WATANGANYIKA!
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  hivi kwanini zisipigwe kura za siri kwa wazanzibar tujue haya wanayoyasema kina maalim uamsha n.k kuwa ni kweli wazanzibar hawataki muungano au lah manake kila siku tunasikia hatutaki hatutaki wewe na nani? ni bora kila mtu aseme na ukweli ujulikane na sio kulazimishana tu kuwasemea watu....
   
 3. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  takriban miaka kadhaa nipo z'bar ukweli usiofichika wananchi wengi wa z'bar muungano uliopo wa mfumo huu hawautaki ila hawana pakusemea kwani viongozi wa juu wanaulinda kwa kuwa wao wanamaslahi nayo na tunakoelekea juu ya muungano hakuna mwisho mema
   
 4. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  haya tuseme muungano umevunjika na serikali mpya imeundwa,huyo mzanzibar wa kawaida kabisa yaani mkulima atafaidika nayo nini? nijuavyo mimi walau siku hizi wakisoma wana weza kupata kazi huku bara.wakiwa wenyewe kwa wenyewe hawajui hata kutengeneza nafasi za ajira.lakini ni vizuri wakaachiwa wapumue wakimaliza kupumua watajua umuhimu wa umoja.wawaulize waliokuwa UJERUMANI MASHARIKI.
   
 5. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zanzibar iliamshwa pale Serikali ya Kikwete kuwaruhusu wajiite ni Nchi hata hata kuruhusiwa kiandika hivyo kwenye katiba ya 2009. sasa ndio wameshapata nchi sasa wanadai Utaifa, na baadhi ya radio wanaita Taifa (dola) la Zanzibar, wasingeruhusiwa kujiita nchi wasingekuwa na madai haya leo ya kutaka kiti UN.
   
 6. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  "ni kweli uyasemayo Isalia. kusisitiza tu, ni huu Muungano wa kisiasa ndio usiotakiwa (Znz twataka tuwe na mamlaka yetu KAMILI kiTaifa na ki Mataifa). Muungano wa kijamii hatuwezi kuuvunja, tumeingiliana sana, japo kuna waTanganyika hawataki hili, wao kwa kule kudai Mamlaka yetu kamili imekuwa nongwa wanataka tuwe na uhasama! wanahisi nje ya muungano Znz itashindwa kujiendesha, wanasahau Znz ilikuwepo kabla ya hiyo yenye kuitwa Tanganyika. wanasahau kujiuliza nchi kama Seychelles, Muritius wanajiendesha vipi. kwa nini wao waweze na sisi tushindwe?

  nakuhakikishieni uhasama mnaouona unasababishwa na huu Muungano tulionao (muungano wa ccm). Time will tell ....
  Zanzibar Kwanza!"
   
 7. M

  Mzenji73 JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  " ha! ndio upeo wa mwisho wa mtu kufikiri huu!? huko Tanganyika wataka nambia ndo mmejitosheleza kwa ajira (wasomi wote wanazo?) mbona hata huku Znz hivi tunavyozungumza kuna waTanganyika wengi tu wana ajira zao za kudumu huku? Naam na tuwachiwe tupumue kisha ndio utasema na utamuangalia huyo mkulima wa kawaida atakavyokuwa.

  Hamna hata mmoja mwenye akili yake anayekataa Umoja. Ila umoja uwe wa mashirikiano,kuridhiana, kuheshimiana na kila mmoja kujua uhuru wake na wa mwenzake. tatizo wengi wenu hamujui idhilali inayotukuta kwenye hili dubwana muungano.

  Mimi wasi wasi wangu huko kwenu, juu ya kuivika Tanganyika ndani ya Tanzania, kweli mpo salama? miaka 50 hii? hata hapo Dar es Salaam tu ulipo angalia na pima vizuri utaona"
   
 8. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  yahe sisi muungano wa nini? sisi tumelimika, tunapima mambo kisayansi.Bara tunaweza kukaa bila wazanzibar maisha yakaenda. jiulize wazanzibar wote wakirudi kwao na mi used parts ya magari wanayo uza huku bara, huko watamuuzia nani? magari yenyewe 300 hayafiki.maduka yao wakirudi nayo huko wata weka wapi na nani wa kununua? lakini akitakacho mtu ni vizuri akapewa.si kupumua tu!!
   
 9. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Huko ni kujidanganya mkuu,
  Wakazi wameanzia kuishi mainland na kwa kidiri mda ulivyokuwa ukisonga na teknolojia kukua kadri ya mda, waliweza kujitengenezea mashua na mitumbwi kwenda kuvua baharini, na baadae wengine wakaona kwanini tuwe tunarudi mainland mbali na tusijenge huku visiwani karibu na mawindo? ndo taratibu wakaanza ku-migrate kutoka mainland hadi visiwani.

  The VICE VERSA is next to impossible.
  Baada ya mda waarabu na wa iran(shiraz) walikuja na kuwakuta watu wa mainland wamesha seto tayari ktk visiwa hivyo, wakakiita kisiwa cha watu weusi Zanzibar.
  Na hata hivyo nitakubaliana na wewe tu kwa hoja ya neno Zanzibar limeanza kutumika mapema zaidi ya neno Tanganyika, neno Tanganyika limebuniwa tu baada ya vita vya kwanza vya dunia, kabla ya hapo neno tanganyika halikuwepo ni neno lilobuniwa na wakoloni mabebebru. Ndiyo maana mwalimu hakutaka kutumia neno neno la kikoloni.

  Kimsingi, walandalandaji/ wavuvi kutoka nyika ndo walianza ku seto ktk visiwa vya watu weusi yani Zanzibar.
   
 10. Varbo

  Varbo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kutokana na nilivochoka na kelele za huu muungano binafsi sioni tanganyika tunanufaika nini na huu muungano!! Wazanzibar wanalalamika mpaka matusi kwa mwl nyerere! Siku muungano ukifa hata niwe nchi gani nitarudi bongo nitembee kwamiguu kuanzia posta hadi mbezi ya kimara
   
 11. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni moja kati ya siku chache nitakazokuwa na furaha. Siku ambayo tanganyika itarudi na zanzibar itakwenda. Let zanzibar go.
   
 12. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Kila mtanzania visiwani ajijue kuwa yeye hawezi kuwa msemaji wa wenzake.... kura ndio muhimu...
  Mzenji73 Isalia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. M

  M.L. Senior Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Seychelles, Muritius na kwingineko hawana matabaka ya upemba(uhizbu) na Ubara (ukavirondo). Ninyi wa Zenji hamtaishia hapo, mmeisha onja damu na nyama za watu, hamtaacha kumalizana.Angalia Comoro haliikoje? Sijajua" Ila muungano huu SIUTAKI kabisaaaa.
   
 14. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  "Nawachukia Wapemba kuliko ninavyowachukia wauaji wa albino" Mnyisanzu, 2012
   
 15. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Dawa ni kuwaacha waende wakauane kama walivyomuua Mpemba mwenzao Afande Said!
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Ni Kweli kabisa; Lakini ni lini Mzanzibari asiyependa MUUNGANO akaongea kwa hoja zenye POINTS za kueleweka zaidi ya KUONGELEA kuibiwa; BENK KUU; KUIBIWA MALI zao; KUDANGANYWA... Au NGUVU za JESHI Kuwavamia na kuwaua

  1. Lakini Sasa hivi Yamebadilika... Wetafuta Kuwa bora kwa NJIA BATILI, Wameficha KIONGOZI; Wameua POLISI Sasa wao ni TERRORIST na KUNDI LAO kama Serikali ya Zanzibar au Tanzania isipowaficha na kuudanganya ULIMWENGU UAMSHO au KUNDI LOLOTE lililoMKATA MAPANGA POLISI halifai kuwepo na VIONGOZI wao hawatapata Unafuu wa kusafiri kwenda Nje ya NCHI itakuwa kama Walivyowafanyia VIONGOZI wa DINI huko UFARANSA.

  2.Ni Kitu gan Wananchi wa Bara wanafaidikia huo MUUNGANO zaidi ya Wazanzibari 300,000 wanaoishi Dar; na 200,000 Wanaoishi Tanzania Bara... kwa Ujumla 500,000... Au Wafanya BIASHARA waliotajirika Sababu ya kuwa Bara BAHRESSA na Wengine Wengi? Au Waliosomea Bara kama VILE Waziri wa AFYA; Oysterbay; Tambaza; Muhimbili; Pamoja PIA na KUSOMEA NJE ya NCHI...
   
 17. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 280
  Tatizo lipo kwa viongozi wa Tanganyika.
  Tuambieni tunafaidikaje na hawa wazenji mpaka muwang'ang'anie???
  Kwanini wanajeshi wetu wakalinde watu ambao kwetu hawana faida yeyote??
  Waacheni na nchi yao bana!! mambo mengine ni ya kipuuziu aisee!
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Kwani Mtanzania VISIWANI anataka nini cha VISIWANI? EMBU TUULIZE the same Questions to the Zanzibar and Pembas in Tanganyika... FAIDA wanaipata ni IPI???

  Uh... BAHRESSA??? Uh... PALE Namanga OH Nilikuwa nayatamani hayo MADUKA kweli... Wakati wa Utawala wa MWINYI ndipo yalipoanza kujaza vitu ambayo MADUKA yetu hayana... Tukaanza kwenda ku-shop; Mama anasema wow vitu hivi vilikuwepa MIAKA ya 60 au early 70's in Tanganyika...
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  Ni Viongozi GANI wa Tanganyika? au ni CCM na VIONGOZI wake wa PANDE zote MBILI; Unadhani Sasa hivi Utamwambia Waziri wa AFYA Mwinyi arudi kwao ZANZIBAR na KUISHI huko bila kutembelea BARA? Hauoni Utampasua MOYO WAKE?

  This this is not one sided thing it is just like a COIN... the coin has 2faces...
   
 20. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 280
  Completely one sided!!!
  Watanganyika tukiamua kuuvunja muungano, hao kina mwinyi unaowataja watatufanya nini?
  Hivi 2 3rd ya wabunge wakiamua kulivalia njugu hili swala, wazenjibara weatafanya nini?? Hizi siyo enzi za kudanganyana bana, kama muungano wakaungane na wamanga wenzao huko!
   
Loading...