NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, SIYO UKRISTO WANGU.
Mimi ni mkristo, niliyezaliwa Tanzania. Najivunia sana utanzania wangu kuliko ukristo wangu.
Naamini kuwa watoto na wajukuu wangu na vizazi...
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin...
WanaJF
Kwa namna upepo wa siasa unavyovuma ndani ya CCM, haina shaka tena EL ndiye atakuwa mgombea Urais kupitia CCM. Kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea, EL amefanikiwa kwa 95% kuweka timu...
Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni...
Wadau, mkutano wa 8 wa Umoja wa Wanawake Tanzania(CCM) ndo umeanza punde Dodoma. Moja ya vitu vya msingi leo ni uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa.
Mchuano mkali ni kati ya Sophia...
Wakuu hapa mnaweza kujua ni jinsi gani bandari yetu iliyooza, angalia habari hii kutoka website ta CNN. Ukitaka uchoke zaidi jaribu kujua nani mhusika halafu angalia hatua gani zitachukuliwa...
Wana jamii na wasomi waliobobea katika mambo ya siasa naomba tuujadili japo kwa ufupi huu mfumo wa "ujamaa na kujitegemea" ambao tunaambiwa na wanasiasa wetu na hata kuambiwa (kama si kufundishwa)...
UWT....kwa maana ya Umoja wa Wanawake Tanzania, ndo wamemaliza uchaguzi wao wa ndani, but binafsi sion sababu kwa nn bado wanaendelea kujiita kua n Umoja wa Wanawake TZ, wakat huo n umoja wa...
Binafsi naomba nikupigie saluti ya ukweli kwa kuonesha uwepo wako katika nafasi yako kama mwenyekiti wa vyama vya siasa. Mimi kama mwana mageuzi ningeshangaa kama sekeseke hili lingepita...
Kutokana na viongozi karibu wote wa CCM wilaya ya Kilindi kutoka katika kanda moja inayohusisha kata za Mkindi, Msente na Mswaki maeneo ambayo kijiografia yapo karibu na Handeni na ambayo hayana...
Mimi nashangaa jmajuzi msafa mrefu ukiongozwa na landrover ya polisi kuzuia magari imewasha taa zote nikadhani waziri au makamu wa rais .kumbe mchungaji kwa jina jo dave .nabii .kisa kupewa...
NI aibu na hatari nchi kutegemea hii CCM ibaki madarakani.CCM yenyewe haijiwezi kila uchaguzi hauna democrasia.Wanapigana kila mahali sasa akina mama wametukanana na pegine kutwangana.Itakuweje...
Sijala kitu chochote kwa sababu hiyo nyumba haikaliwi na mtu lakini hata kama ningeletewa chakula nisingekula kwa sababu siwezi kuwaamini kula chakula chao kwa hivyo nilichokuwa nafanya nikienda...
Jengo la Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam linavyoonekana kwa nje baada ya kukamilika. Jengo hilo linalomilikiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na...
Ndugu zangu,
Yanayotokea katika nchi yetu kwa sasa yanatutaka tufikiri kwa bidii. Kama nchi kuna safari tumeifunga. Na tulivyo Waafrika, tu mahodari wa kufunga safari, lakini si mahodari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.