Prof.LIPUMBA yuko IVORY COAST kwa mwaliko wa raisi wa Nchi hiyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof.LIPUMBA yuko IVORY COAST kwa mwaliko wa raisi wa Nchi hiyo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWIBA WA KATANI, Oct 20, 2012.

 1. MWIBA WA KATANI

  MWIBA WA KATANI Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=5]prof.lipumba yupo nchini ivory cost toka tarehe 16/10 kwa mwaliko wa rais wa nchi hiyo.

  Lengo kuu la kuitwa kwake ni kupanga mkakati wa kiuchumi utakaoisaidia ivory cost kukua kiuchumi.

  Lipumba.jpg [/h]
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  ivorians .... watch out .... this dude is a complete failure .... he is very good in imaginary economics
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Na nyie na mchumi wenu wa dunia khaaaaa,ameitwa wapi bwana ameenda kuomba msaada....
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee simtofautishi na wale wazee ya Nchi ya Kusadikika, ni matembezi kama vasco akijinadi kama mganga wa kienyeji
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Prof Lipumba anafanya consultancy, kwa hiyo huko Ivory Cost alipeleka proposal na imekubaliwa. Ni mtafutaji (kazi) kama watafutaji wengine. Ngonjera za kualikwa na rais wa Ivory Cost zielekezwe kwa wapambe wake.
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mgombea wa kudumu wa Urais Sultani Lipumba.
   
 7. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jembe endelea kuwasaidia wanaothamini mchango wako na sio magamba hawa
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Mnamwona YEYE anavyofurahia MAISHA? Anapata PESA za MZUNGU lakini Hamkemi...
  Sasa kaalikwa Ivory Coast; Nadhani kila mtu anajua historia yake; ya WATU wasiopenda DEMOKRASIA kuanza kuua wenzao na kufanya FUJO; Sasa yeye anapokwenda HUKO anaongea NINI???

  Anaongelea ya CUF na UAMSHO??? Au anaongea kama STATEMAN with Knowledge of PEACE, LOVE and HARMONY?

  Lakini Majority Wanaomsupport; Bado hawaambiwi ni JINSI gani wataweza kufanya kazi KUJINASUA na UMASIKINI ULIO-BOBEA
   
 9. m

  mishalejuu Senior Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa, he is a world resource person. any one is free to utilize the brain. Wamemwona anafaa. hapa kwetu hatuoni kama anafaa.... kwa kuwa ni mtu wa kusimamia haki na kiboko ya wala rushwa
   
 10. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  So what? haya ni mambo yake binafsi.
   
 11. N

  Ndapo New Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All the best bro,fanya kazi
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ccm B on line
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  sasa ndo mnajiandaa kumpokea uwanja wa ndege au?
   
 14. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  haaahaaahaaaa!! Kweli amedumu afu hajawahi kuibiwa kura.
   
 15. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ya mwake yamemshinda vipi ya jirani atayaweza? Lipumba hana jipya bora hao ivory coast wangeombA ushauri kwa drogba kuliko huyo kilaza ambaye hata uchumi wake binafsi unayumba
   
 16. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni ulimbukeni wa ccm kutokuthamini watalaam waliopo Tanzania eti kwa kuwa ni wapinzani. Huyu mzee mpeni wizara ya fedha na uchumi atumike pale kwa manufaa ya nchi. Hakuna mchumi kumzidi ya Prof. Lipumba hapa bongo.!
   
 17. C

  Concrete JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Anafuata nyayo za sultani Jakaya, anafanya mazoezi ya kusafirisafiri ili tukimkabidhi nchi awe ameshazoea kabisa.

  Tunaomba tujuzwe kabisa anarudi lini ili tujiandae kwa mapokezi makubwa ya kishindo.
   
 18. C

  Concrete JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni sawa na kumkabidhi fisi butcher.
   
 19. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kuwa mchumi haimaanishi kufanikiwa katika uwanja wa siasa. Amehangaika kwa mihula mitatu kugombea urais na kuishia sasa kuzidi kupoteza mvuto aliokuwa nao. Maalim anamtumia tu huyu bila kufikiria future yake, ona Seif amesharidhika na kiti cha umakamu kule Zenj, zile choko choko zimeisha na moto wa CUF ndio huo unazimika, Lipumba anatoa puvu la bureeeeee!

  Huyu bwana katika uwanja wake wa uchumi ni mchumi kweli na tunashindwa kumtumia, tukubali ukweli huu kwani kinachotuharibia ni itikadi zetu za kisiasa. Mwinyi aliweza kumtumia kipindi chake cha awali kuwa mshauri wake na alifanikiwa kuleta mwelekeo wa mabadiliko ya uchumi nchini Tanzania hadi kufikia watu kuanza kujigonga kwenye vioo kuangalia vizuri ndani ya majengo ya biashara. Mengi tuyaonayo nchini katika biashara huria ni matunda ya huyu Lipumba. Angejikita kwenye taaluma yake badala ya siasa. Anafaa sana kuwa Gavana wa bank au waziri wa Fedha, hali kadhalika biashara na viwanda, nafasi ambazo anaweza kujihakikishia akijiunga na Chama makini Chadema.

  Lipumba angeniomba ushauri, ningemwambia mvuto wa kisiasa na mbinu za kisiasa vinazidi kumwelemea, kinachomsaidia ni barakhashia, hiyvo bora angeunganisha nguvu na Chadema akawa mchumi ndani ya Chama makini anaweza kuwa na nafasi ya kuujenga uchumi wa nchi hii akiwa ndani ya chama makini. Kuendelea kung'ang'ania huko aliko na Maalum Seif wake atabaki kuendelea kula vinavyoanguka masazo ya Seifu kule Zenj. Yakhe! chukua hii nawe punguza njaa.
   
 20. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa kwa nini hatusaidii hapa kwetu now that he is CCM B!
   
Loading...